Mtoto wa Ngeleja anaitwa nani? Nataka kutunga singo aongee na mshua wake!

Mizizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,271
390
Wakuu, nina idea ya kutunga singo ya kumpelekea ujumbe Ngeleja, nilipenda nitumie strategy ya kama "naongea na riz 1" pia naomba wadau waniongezee mistari katika wimbo huo!
Asanteni
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,942
4,399
Wakuu, nina idea ya kutunga singo ya kumpelekea ujumbe Ngeleja, nilipenda nitumie strategy ya kama "naongea na riz 1" pia naomba wadau waniongezee mistari katika wimbo huo!
Asanteni

duh hii kali Ngeleja ndo nani mi nimemsahau kabisa au yule wa megawaiti?
 
hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,566
2,815
ngoja nikumbuke jina lake....ana mtoto flani hivi wa kike alipigwa mimba form two
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,173
3,331
Wakuu, nina idea ya kutunga singo ya kumpelekea ujumbe Ngeleja, nilipenda nitumie strategy ya kama "naongea na riz 1" pia naomba wadau waniongezee mistari katika wimbo huo!
Asanteni
Ama kweli ukistajabu ya Mussa yatakukuta ya firauni! Dogo hiyo single yako bila la jina la mtoto wa Ngeleja haitoki? Kama ana watoto wengi unataka jina lipi sasa au bora mtoto wa Ngeleja tu? Duuuh kweli JF kuna kazi,
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Wakuu, nina idea ya kutunga singo ya kumpelekea ujumbe Ngeleja, nilipenda nitumie strategy ya kama "naongea na riz 1" pia naomba wadau waniongezee mistari katika wimbo huo!
Asanteni

Wewe kichwa ngumu mkuu...singo haitoshi kwa hawa viongozi wetu,suala ni kufanya kama Libya tu ndio watatia adabu..
 
Bakeza

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
348
191
Akili za mbwa hizi

Mi mbwa ya ccm bana sometimes inakera sana. Ina maana ww hata kama unaipenda ccm ishu ya umeme haikugusi? Afu unaleta matusi si ukae tu kimya kama hauna la kuchangia. Stu****d
 
Bakeza

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
348
191
Akili za mbwa hizi

Mi mbwa ya ccm bana sometimes inakera sana. Ina maana ww hata kama unaipenda ccm kiasi gan ishu ya umeme haikugusi. Alafu unaleta matusi kama hauna la kuchangia si ukae kimya. Stu****d
 
Mizizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,271
390
nipeni mistari ya kuongezea basi wakuu!!
Nimeanza hivi!
Naongea na cha usiku, Mtoto wa ngeleja
mwambie mshua, mbona giza kila siku lini litaisha?

Mtaani umeme hakuna, kazi zimesimama
Bila umeme kuwaka, uchumi wetu unakwama.
Dogo, mwambie mshua, tumemchoka!
Naanza kwa ustaarabu, kwa kumtungia wimbo.
Aondoke kwa taratibu, kabla hatujamtoa kwa fimbo
dogo, babako anazingua, mwambie atoke.
Hakuna alichosaidia, tutaja mtoa kwa mateke.
Mchana kiza usiku kiza, asituletee mapepe.
Ametudanganya richmond, dowans na sasa simbion
bado umeme hatuuon, hadi sasa tupo gizani

dogo mwambie mshua aende, uwezo wake mdogo
ajjaribu kazi ingine, na akili zake ndogo
aache kutudanganya, asituone wote madogo.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom