amefunguka leo ndani ya supermix ya e.africa radio
amedai ameoteshwa na mungu na ameambiwa ataanza kutenda muujiza mpya soon, tena utakua wenye nguvu kuliko kile kikombe maarufu kama kikombe cha...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi bila kupata majibu. Hivi unaposema fulani ni star au super star ktk eneo fulani kama ni film industry au ktk soccer...what does this means? Katika...
Januari 29, 2012, Sugu atawaongoza wanaharakati kibao katika shoo babkubwa itakayofanyika kwenye Klabu ya New Maisha, Oysterbay, Dar es Salaam.
Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook...
Huyu mtangazaji wa muda mrefu tena mwenye haiba kubwa katika fani hii.
Jana nilimwona kwa mechi ya Twiga Starz, akiwa amenyoa KIDUKU a.k.a 'bwenzi'
Huyu bwana, kulingana na uzoefu wake na umri...
nakumbuka huko nyuma mch. rwakatale wa mikocheni B assemblies of God aliwahi kutumia mtindo wa kununua vitambaa (leso) vyeupe na kuviombea kisha anawapa watu ati wakivitumia kama kuviwekwa kwenye...
Nimesoma maandishi ya Mohamed Said na nimegundua kama kila mtu angekuwa kama yeye nchi hii isingefika hapa ilipofika. Mohamed Said ni shujaa anayethubutu kusema yale ambayo wengi wetu wanayaogopa...
nimefurahi kuona kituo cha matangazo cha DTV kikiwapa airtime VINEGA sio tu kupiga nyimbo zao hata kuwafanyia interview na kupata kuwaelewesha wananchi madhumuni ya vinega. safi sana. ova
Katika hali isiyo ya kawaida msichana 1 kutoka mkoani Kirimanjaro aliyejitambukisha kwa jina la Yusra Bakari amejitokeza hadharani kuwa anampenda Diamond kupita kiasi, na yuko radhi kuoldwa nae...
Nilisikia wakiwa morogoro walileteana zengwe na 20 akamtukana sana Walter cjui ndo alikua nyasi au alikua tungi..? Embu niupdate jaman wats goin on naw btn the 2?
Jaman me nina cku nyingi sana cjamckia wala kumuona Lulu magazetini,hvi bdo yupo kweli au ndyo kashaenda kumfuata Justin Beiber mbele mbele coz na yeye haishiwi na matukio?
Nimeona videos na kusikia nyimbo mpya za wasanii wenye majina makubwa bongo kama kina Matonya, AY, Mr. Blue, Prof Jay, Jaffarai, Amani, TID na kadhalika na sijapenda nilichokiona. Kwa ufupi ni...
duka la mariedo na bidhaa FEKI na CHEAP
Kwanza maduka yao yako so depressing...rangi rangi nyingii utafkiri yale cover ya sinema za porn za 1960's
pili sijui kwa nini wanauza vitu feki feki tena...
wadau leo mchana msanii wa muziki Bob junior amekiri live kwamba alilipwa m7 cash ili amfanyie shoo kigogo mkubwa wa kike hapa nchini ambaye ni mwanasiasa mkubwa anayeishi masaki tena wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.