Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Celebrity wetu Maimatha wa Jese amefunga pingu za maisha hivi karibuni kwa siri...na haikuhusisha masupastaa wa kibongo kama ilivyotarajiwa.....
0 Reactions
28 Replies
10K Views
MSANII wa filamu ambaye pia anang’ara kwenye muziki kwa sasa, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameuanza mwaka 2012 kwa kulinadi penzi lake akidai, anayetaka kuwa mume wake awe na mkwanja wa kutosha. Tamko...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
MAKUBWA! Pamoja na umri mdogo wa miaka 18, Elizabeth Michael ‘Lulu’, ameacha watu midomo wazi baada ya kusema kuwa amemsahau mwanaume wake wa kwanza aliyevunja naye amri ya sita katika vitabu...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ebu Sikiliza hizi nyimbo kwanza: Timbulo-Domo Langu Zito x-maleya--Yelele(Domo langu zito remix) Timbulo-Wa leo wa kesho x-maleya--Tchokolo(wa leo wa kesho remix) My Take:Wasanii umizeni...
0 Reactions
47 Replies
18K Views
Wakuu nani mkali kati ya wasanii hawa kwa sasa na unadhani ni kwa nini.. Lupe na Kanye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HIKI ni kituko! Msanii wa muvi, Kajala Masanja amezua gumzo kufuatia kila anapokwenda kuwa na ‘kufuli’ kwenye mkoba ambalo mwenyewe anadai ana matumizi nalo. Chanzo chetu ambacho ni rafiki wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Macaulay Culkin stepped out in New York yesterday looking extremely thin and scruffy in exclusive photos obtained by ET that are likely to spark rumors about the former child star's health...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Alivuma sana akiwa na Sahara communication ltd akiwa anatangaza vipindi vya Roving DJ na miziki ya zamani ktk Star Tv na Radio Free. Ameadimika kwa kweli na binafsi ninamiss sana ladha zake...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wadau mnakumbuka kipindi cha 'leo katika bunge' hii sauti ilikuwa maarufu sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Yuko wapi mchungaji wetu Max? Siku nyingi sijamuona jamvini. Tunamiss baraka zako baba mchungaji. Ni kati ya member wa jukwaa la dini mwenye uwelewa mkubwa wa dini zote 2 (islam and xstian)...
2 Reactions
55 Replies
9K Views
Nasikia mke mdogo wa gwiji la muziki wa taarabu kama siyo vidole juu nchini mzee yusufu amepata ajali alipokuwa akiendesha gari la mumewe kwa kugonga mwenda kwa miguu ambaye amevunjika...
0 Reactions
7 Replies
23K Views
KAMA MTAKUMBUKA MIAKA YA 2000 KUNA HAWA MABINTI WAWILI WAIGIZAJI KWENYE KUNDI LA SANAA LA KAOLE ENZI HIZO WAKIUZA SURA ITV JE WAKO WAPI HAWA DU! WALIUZA SANA MAGAZETI YA AKINA SHIGONGO A.K.A...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
SIJUI WAKE WA VIONGOZI WA AFRICA KAMA WANAWEZA HATA KWENDA PUSH UPS MBILI,HATA WAUME ZAO SINA UHAKIKA KAMA WANAWEZA KWENDA PUSH UPS KAMA HUYU MAMA, CHEKI HII CLIP Michelle Obama has been...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
10 / 11 / 1971 - 7 / 2 / 2000.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nikiwa napitia chapisho lisemalo "the last days of JMKariuki" nimekutana na jina la Peter Kinyanjui alias Mark Twist. Kwa wale vijana wa zamani watakumbuka jinsi huyu Mark Twist alivyokuwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Who is The Best Rapper?????
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Verse I Baada ya kumaliza primary la saba mamu mjini dar Akapata mchumba mtu wa mwanza mamu akampenda kwa kua mamu alimpenda sana hivyo akaona vyema nyumbani kusema Akamwambia mama kwamba mama...
0 Reactions
0 Replies
15K Views
WanaJF nakumbuka nikiwa shule ya msingi watangazaji hawa walikuwa mojawapo kati ya watangazaji maarufu kwenye radio Tanzania. Ezekieli malongo alikuwa akisoma habari za michezo saa mbili kasoro...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Wakuu nyota yetu ya kikapu inahitaji maombezi.......tangu ajiunge na houston rockets kacheza mechi 4 tu kwa dakika 38 tu......statistics yake kiukweli hairidhishi.....anahitaji akaze buti kisawa...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Katika hali ya kushangaza mh duly sykes ametangazwa anasumbuliwa sana sana na anajuta kwa nini amezaliwa handsome kwa kuwa ajaamini kinachoendelea...duly sykes amesema amekuwa akisumbuliwa sana...
0 Reactions
75 Replies
10K Views
Back
Top Bottom