Mohamed Said ni Shujaa wa wakati huu

domokaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2010
3,545
1,719
Nimesoma maandishi ya Mohamed Said na nimegundua kama kila mtu angekuwa kama yeye nchi hii isingefika hapa ilipofika. Mohamed Said ni shujaa anayethubutu kusema yale ambayo wengi wetu wanayaogopa kuyasema.

Tungekuwa na ujasiri wa kuyasema leo wabunge wetu wasingedai posho nyingi namna hii, mgomo wa madaktari, Madudu ya TBS, uwongo dhahiri wa viongozi wa juu wa nchi yetu na mengine lukuki hayeshi nikiyaandika hapa. Yote hii imetokana na tabia ya unafiki wa kutaka kujua sisi ni akina nani hasa, tuna silika zipi na tumetoka wapi.

Tunakataa migongano ya mawazo na otofauti wa fikra ambao ndiyo ungetupelekea kupata maarifa mapya na badala yake tunasema huyu anatuvuruga, huyu anavuruga amani, tunataka kila mtu afikiri sawa na mwengine, kila uongo unaosemwa na waloutengeneza tunauamini. Mtu akidai haki yake eti yeye si mzalendo, mzalendo ni yule anayekubali kuonewa.ema hawa walafi na wana upendeleo kwa sababu tu hauko nao imani moja unaitwa wewe mdini.

Miaka itapita iko siku watu wataujua ukweli watamtafuta Mohamed Said awaelekeze watamkosa, watayatafuta majambia.
 
Hakika ni mwandihi mzuri sana na mara zote katika maandishi yake anasimamia kile anachoamini kuwa ni kweli pasi na kuyumba yumba.

Kumbuka waswahili husema Msema kweli huchukiwa na jamii yake. Tulio nje tunamuona ni lulu na azina kubwa sana kwa Tz hususan kwa wana historia. Ndio maana anaalikwa na vyuo vingi sana vya nje kufanya nao mihadhara lakin Tz hakuna kitu.

Hongera sana Mohamed Said.
 
Atakua anaalikwa kutoa mihadhara vyuo vya uarabuni bila shaka huyu,......lakn ni poa_maake mihadhara yote ni poa,iwe ya elimu dunia ama ilmu akhera.

hongera yake.
 
Natoa wito kwa sisi wapinzani wote wa MS tusichangie kabisa uzi huu. Haya ni matokeo ya zike mbegu zake za sumu ya udini na chuki dhidi ya Ukristo na Nyerere alizozipanda humu, sasa ndio zinaanza kuchipua!. Tukianzisha ubishi itakuwa ndio kupalilia mbolea ili zimee vyema.
Wote tukubali katika umoja wetu kuwa ni kweli hakuna kama Mohamed Said! ili thread ijae wasifu tuu bila pingamizi!.
MS Oyee!.
 
Hatuwezi kamwe kumuacha aendelee kupanda mbegu na chuki zake za kideen....

Hebu watuambie ana ushujaa gani?
 
Natoa wito kwa sisi wapinzani wote wa MS tusichangie kabisa uzi huu. Haya ni matokeo ya zike mbegu zake za sumu ya udini na chuki dhidi ya Ukristo na Nyerere alizozipanda humu, sasa ndio zinaanza kuchipua!. Tukianzisha ubishi itakuwa ndio kupalilia mbolea ili zimee vyema.
Wote tukubali katika umoja wetu kuwa ni kweli hakuna kama Mohamed Said! ili thread ijae wasifu tuu bila pingamizi!.
MS Oyee!.

Nimeheshimu ushauri wako!
VIVA MS lol
 
Taifa linasherekea miaka 50 ya uhuru wengine wana chuo kimoja tu tena cha kupewa na Mr Clean! Mwambieni huyo mtu wenu akafuge majini na kufundisha madrassa.
 
Natoa wito kwa sisi wapinzani wote wa MS tusichangie kabisa uzi huu. Haya ni matokeo ya zike mbegu zake za sumu ya udini na chuki dhidi ya Ukristo na Nyerere alizozipanda humu, sasa ndio zinaanza kuchipua!. Tukianzisha ubishi itakuwa ndio kupalilia mbolea ili zimee vyema.
Wote tukubali katika umoja wetu kuwa ni kweli hakuna kama Mohamed Said! ili thread ijae wasifu tuu bila pingamizi!.
MS Oyee!.

Hili ndilo ninaloliona kila kona katika nchi yetu watu wanaukimbia ukweli, wanauogopa, unawasuta, unawachoma miyo yao kwa sababu wameamua kuishi katika uongo. Imeandikwa kuwa kweli itakuweka huru siku zote, lakini sisi tumeamua kujiweka katika uongo. Matokeo ya maisha yetu na hali ilivyo leo ni sababu ya unafiki na uongo, oungo na unafiki ndio imekuwa tabia yetu, watu wazima wanaopaswa kujiheshimu wanatamka uongo hadharani hali wakijua huo ni uongo. Waziri mkuu anasema hivi, Rais anasema hivi, ni wazi mmoja wapo ni muongo na anaongopa bila kujali kitu kwa vile anajua anaishi katika jamii iliyolelewa katika uongo, imefanya uongo sehemu ya maisha yao na kila wanapotaka kufanya lolote lile wanatoa sababu za uongo ambazo hizo ndizo zinazokubalika. Msema kweli anachukiwa na kupingwa, anatukanwa na kusakamwa, watu wanataka uongo tu, uongo ndio unaowapa faraja, ukweli unawanyima usingizi, wengine wanadiriki hata kuwashawishi wengine wasishiriki katika mijadala inayotafuta ukweli kwani hawautaki kuusikia ukweli wala hawataki wengine waujue ukweli. Tusizungumzie udini, tusitaje imani tuseme tu mambo ambayo viongozi wetu wametudanganya, tuyaoredheshe na pia tujiangalie tumefanya nini katika kushughulikia uongo wao halafu pia tujiangalie tumefanya nini katika kumshughulikia Mohamed Said na "uongo" wake halafu tupime tumetumia nguvu nyingi wapi.
 
Natoa wito kwa sisi wapinzani wote wa MS tusichangie kabisa uzi huu. Haya ni matokeo ya zike mbegu zake za sumu ya udini na chuki dhidi ya Ukristo na Nyerere alizozipanda humu, sasa ndio zinaanza kuchipua!. Tukianzisha ubishi itakuwa ndio kupalilia mbolea ili zimee vyema.
Wote tukubali katika umoja wetu kuwa ni kweli hakuna kama Mohamed Said! ili thread ijae wasifu tuu bila pingamizi!.
MS Oyee!.

Inakutisha 83 vs 17?

Tumeshaanza kuibomoa taratibu tena scientifically, wacha phobia yako ya Uislaam, au ni guilty conscious inayo kusumbuwa?
 
Natoa wito kwa sisi wapinzani wote wa MS tusichangie kabisa uzi huu. Haya ni matokeo ya zike mbegu zake za sumu ya udini na chuki dhidi ya Ukristo na Nyerere alizozipanda humu, sasa ndio zinaanza kuchipua!. Tukianzisha ubishi itakuwa ndio kupalilia mbolea ili zimee vyema.
Wote tukubali katika umoja wetu kuwa ni kweli hakuna kama Mohamed Said! ili thread ijae wasifu tuu bila pingamizi!.
MS Oyee!.
Ww ni mpinzani wa MS au baadhi ya maandishi yake? Mbona na ww baadhi ya maandishi yako ni ya uchochezi? Uandishi ni kuandika uhalisia, haijalishi kama Pasco na wenzake wamefurahishwa/wamechukizwa. Kila binadamu ana akili zake timamu, usilazimishe kuingia kwa lazima kwenye akili ya mtu umlazimishe utakavyo. Usijifanye unawasaidia watu kufikiri, huo ni ujinga wa mwisho.
 
Natoa wito kwa sisi wapinzani wote wa MS tusichangie kabisa uzi huu. Haya ni matokeo ya zike mbegu zake za sumu ya udini na chuki dhidi ya Ukristo na Nyerere alizozipanda humu, sasa ndio zinaanza kuchipua!. Tukianzisha ubishi itakuwa ndio kupalilia mbolea ili zimee vyema.
Wote tukubali katika umoja wetu kuwa ni kweli hakuna kama Mohamed Said! ili thread ijae wasifu tuu bila pingamizi!.
MS Oyee!.

sure!
MS HOYEEE..
MIHADHARA HOYEE...
Buguruni mnyamani hoyee..
 
Back
Top Bottom