Super star ni mtu wa namna gani hasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Super star ni mtu wa namna gani hasa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mzalendo wa ukweli, Feb 3, 2012.

 1. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi bila kupata majibu. Hivi unaposema fulani ni star au super star ktk eneo fulani kama ni film industry au ktk soccer...what does this means? Katika tasnia ya filamu hapa Bongoland...ukibahatika kuigiza movie moja au mbili na zikauza sokoni japo kidogo na ukafahamika kidogo...utaanza kusikia ktk magazeti kuwa Star wa Bongo kunako tasnia ya filamu aitwaye......amefanya hivi na vile. Mtu mpaka afikie hatua ya kuitwa STAR anatakiwa awe amekidhi viwango gani ktk hiyo industry? coz naona hapa kwetu kila actor/actress ni star.

  Anayeweza kutusaidia kuclarify hii please...

  Thanks
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ukitaka kujua hilo
  Jifikirie Kim Kadarshian alifanya nini hadi kuwa supa sta?
   
 3. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ...Ok then
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  hata matonya ni supa sta!
   
Loading...