Sugu kweli alikuwa noma

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Nimesikiliza wimbo wake radio one NIKO MAKINI NA FANI,umenikumbusha mbali. Huyu jamaa alikuwa mzuri kwenye mashairi aisee!
 
inaonekana wewe ni wa 90's.

aisee,umeniquote vibaya! Kumbumka enzi zile wanaimba huu mziki ulikuwa unachukuliwa kuwa ni wa wahuni. Huko kwetu kijijini ukipigwa kwenye mkulima station inabadilishwa. Kuzisikia nyimbo zao ni mpaka unavyofika mjini kwa safari ya kwenda shule.
 
mkuu unatokea kijiji gani?
 
aisee,umeniquote vibaya! Kumbumka enzi zile wanaimba huu mziki ulikuwa unachukuliwa kuwa ni wa wahuni. Huko kwetu kijijini ukipigwa kwenye mkulima station inabadilishwa. Kuzisikia nyimbo zao ni mpaka unavyofika mjini kwa safari ya kwenda shule.

haukua wa kihun,ndo maana radio one ndo ilikua ya 1 kucheza hewani miaka hyohyo ya 90
 
siyo kwamba ulikuwa wa kihuni ila ni wazee wetu walivyouchukulia. Ndo maana ulikuwa ukikutwa unasikiliza muziki wa bongo flava radio inazimwa.
 
Nimesikiliza wimbo wake radio one NIKO MAKINI NA FANI,umenikumbusha mbali. Huyu jamaa alikuwa mzuri kwenye mashairi aisee!

"kama nipo makini ni kwanini usiniamini, niamini kwa kila kilicho chako...niamini hata kwa demu wako...." huyo ndiyo Sugu
 
...Nimesimama.."
... Ni mimi."
sijui nitazipata vipi hizi nyimbo.. Sugu kama upo humu tuandalie kuanzia album ya kwanza tutanunua kwa gharama yeyote..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom