Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Huyu mtangazaji wa muda mrefu tena mwenye haiba kubwa katika fani hii.
Jana nilimwona kwa mechi ya Twiga Starz, akiwa amenyoa KIDUKU a.k.a 'bwenzi'
Huyu bwana, kulingana na uzoefu wake na umri alionao, bila kusahau heshima yake kwa jamii, ni wa kufanya kitu cha namna hii?
Eti wadau...