Mistari ya antivirus ndani ya maisha club kesho tar.29-01-2012. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mistari ya antivirus ndani ya maisha club kesho tar.29-01-2012.

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mchaka Mchaka, Jan 28, 2012.

 1. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Januari 29, 2012, Sugu atawaongoza wanaharakati kibao katika shoo babkubwa itakayofanyika kwenye Klabu ya New Maisha, Oysterbay, Dar es Salaam.[/FONT]
  [FONT=&quot]Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook: “Watu wote waje waone mi-swagga ya Vinega. Tutapiga shoo babkubwa. Kama kawaida yetu huwa hatufanyi tusichoweza. Tukisema tunafanya, ujue tunaweza kufanya na tunafanya.”[/FONT]
  [FONT=&quot]Mratibu wa shoo hiyo, Fred Mariki ‘Mkoloni’ amesema kuwa katika shoo hiyo, itakuwa muafaka kusikiliza mawe yaliyomo kwenye mixtape za Anti Virus volume I na II.[/FONT]
  [FONT=&quot]Alisema, shoo hiyo ni mwanzo tu, kwani nyingine nyingi zitafuata kwa sababu wamepewa shavu la miezi sita kwenye klabu hiyo.[/FONT]
  [FONT=&quot]Aliongeza kwamba kwa kuanzia, Januari 29, watafanya shoo baadhi ya Vinega wakiongozwa na Sugu, kisha mwezi ujao, watapiga kazi wengine.[/FONT]
  [FONT=&quot]Aliendelea kusema kuwa Januari 29, mbali na Sugu, wengine watakaoshika mic ni Mapacha, Anselm Ngaiza ‘Soggy Dog’, Suma G, Daniel Kamili ‘Dani Msimamo’, Happy Thadei ‘Sister P’, DJ Snox wa Mabaga Fresh na Mkoloni mwenyewe.[/FONT]
  [FONT=&quot]Alisema kuwa ndani ya Club Maisha, itakuwa muafaka kumwaga mistari ya Anti Virus mwanzo mwisho na Vinega wote wamejipanga kwa ajili ya kazi hiyo.[/FONT]
   
 2. DavidHard

  DavidHard JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  kama kawaida yao VINEGA hakuna kuremba kazi kama kawa si wadau tupo pamoja
  ONE LOVE.....'.,'
  No apology.
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  kama kawa..machizi wamechafukwa mbaya!
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  kama vp tujitokeze kwa wingi kuwasapoti wanaharakati hawa!
   
 5. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Dah mimi niko Mugumu............ Ila nawasapoti hao majembe
   
 6. P

  Ponera JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pamoja wakubwa nningekuwa dar ningetimba.
   
 7. P

  Pigachini2015 Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha mixtape yao niliisikia na Ruge alipodwa mbaya cjui hapo maisha Ruge na clouds ilikuwaje!
   
Loading...