Mwanamama Beyonce anatarajia kuweka kibindoni million 50 za kimarekani kutokana na matangazo kwa mwaka ujao.
Beyonce atafanya tangazo la pepsi kuanzia mwakani.
Kuna watu walibeza alipotoa euro...
NDOA ya mwanadada anayeendesha maisha yake kwa kucheza filamu, Salma Salim ‘Sandra' inadaiwa kusambaratika.Sandra aliyeolewa na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Haisam na kufanikiwa...
The rapper started his own baby rumors after posting a photo of himself looking at a pregnancy test on Instagram. Since he's engaged to Cassie, its safe to assume she's with child...or maybe it's...
TAKRIBAN miaka 10 sasa tangu mwaka 2002 hadi mwaka huu 2012, Tanzania imekuwa ikishuhudia nyota wake katika tasnia mbalimbali wakipoteza maisha wakati nyota zao bado ziking'ara.Vifo vya nyota hao...
Hbari zenu ndugu zangu, kuna habar kuwa Juma Nature anatoka kimapenzi na msichana Baby Madaha, hivi punde wamekuwa na ukaribu wa hali ya juu, kumbe kuna mambo yalikuwa wanadili nayo chini kwa...
Wema Sepetu
Msanii nyota wa filamu nchini na aliyekuwa MissTanzania 2006/07 Wema Isack Sepetu katikati ya wiki iliyopita alilitia aibu kundi la bongo muvi kwa kufanya kitu cha kipekee kwenye...
From The National Enquirer
Halle Berrys former beau Gabriel Aubry is so desperate to win her back that friends fear hell kill himself if hes frozen out of her life forever and leave a...
Nimemkumbuka huyu jamaa alikuwa akiimba kama anabana pua hivi..,nadhani ndo swaga zake.
Nakumbuka kitu PENZI NI KIKOHOZI.,Malaika.
Mwenye taarifa na huyu jamaa,atujuze
hey people recently i had watch Twilight saga's 4th last series Breaking Down part 2...its really awesome movie and when i am heard that Robert and Kristen had break up again .....oh really its...
Diamond akiojiwa na mboni katika kipind cha mboni show kinachorushwa na EATV amesema kwamba anamshukuru sana wema sepetu kwa kushiriki kuandika mashairi ya nyimbo yake mpya nataka kulewa.
ametolea...
Taswira wa kwanza inamuonyesha Platinumz akila breakfast / brush huko US ikijumusha BACON kwenye menyu. Bacon (ˈbākən) inatengenezwa kwa Kiti Moto. Inatambulika kama ("Cured meat...
PAMOJA na kukataa kumwanika hadharani mpenzi wake mpya, staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amesema kuwa akipigwa chini na jamaa yake huyo, atatimka nchi na kwenda kuolewa...
UKWELI wa mambo juu ya msanii anayependa kulipuka pamba Hemed Suleiman Hemedi almaarufu kama PHD au Alejandro, umevuja kwani inadaiwa kuwa nguo zote anazoonekana anavaa huwa anachukua kwa...
Diamond ni celebrity wetu na ni wazi kuwa wadogo zetu wengi walioko mashuleni watakua wanamuona kama role model na watakua wanaichukulia mistari ya nyimbo zake seriously. Alipotoa nyimbo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.