Katika kufukunyua fukunyua nikakutana na hii.
MSANII wa filamu na tamthilia bongo Rayuu, inadaiwa kuwa amepewa mchongo mkubwa wa pesa ndefu endapo atakubali kushiriki kwenye picha ya ngono huko...
MSANII wa filamu bongo Jackline Pantzel maarufu Jack wa Chuzi, amefunguka na kueleza kuwa ndani ya tasnia yao hakuna mwanamke changudoa au muhuni na kama yupo basi huyo alikuwa na tabia hiyo...
The tennis champ didn't have her ex boyfriend's number to call or send him a text, so instead she came at him on Twitter for the whole world to see! :-). Common didn't reply. See more tweets after...
Baada ya kuwapa michapo ya ukumbi wa disco raining money courtesy of Hasheem Thabeet, sasa nawapa vimbwanga vya masupa staa wengine wa Bongo.
Hawa ni muimbaji Lady JayDee au "Jide" na mume wake...
JAMANI EEEE UKWELI NI KWAMBA HARUSI YA AUNTY EZEKIEL ILIKUWA MAIGIZO TU ILA YASEMEKANA NDOA BADO IPO NA ITAFANYIKA DUBAI HIVI KARIBUNI...!!!
Hahaha acha nijichekee mie lol maana...
Janet Jackson Asilimu, Kufunga Ndoa na Bilionea wa Qatar
Janet Jackson na mpenzi wake bilionea wa Qatar, Wissam Al Mana
Tuesday, November 13, 2012 3:00 PM
Nyota wa muziki wa Marekani na dada...
MSANII mkongwe kwenye wa filamu na utunzi wa hadithi Aunty Fifi, ameuambia mtandao wa DarTalk kuwa baada ya kuokoa na kumjua mungu vilivyo, sasa ameamua kuanza kutoa huduma ya kuwaombe watu...
Msanii Lord Eyez
Rapper wa kundi la Nako 2 Nako Soldiers na Weusi, Lord Eyez, kesho anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari kuelezea shutuma dhidi yake za kudaiwa kushiriki kuiba vifaa...
MATENDO anayofanya mwanamitindo Jackline Patrick wakati mumewe Abdullatif Fundikira akiteseka gerezani, yametajwa kuwa ni usaliti wa asilimia miamoja na kwamba kama hatajirekebisha, mwisho wake...
Kuna habari za kusikitisha kwamba MARIAM KHAMIS amefariki dunia wakati wa kujifungua katika hospitali ya Muhimbili na mtoto amebaki mzima. Marehemu alikuwa star wa muziki wa taarabu kama "paka...
kwa wale ambao tumekuwa tukifuatilia taarifa ya habari itv bila shaka tumeshuhudia utu aliokuwa nao mtangazaji huyu.taarifa ya habari ya leo iliyomuonesha mzee aliyetelekezwa na mkewe huko mabibo...
Kwa kwelisijui unasubiri nini wewe??
Muigizaji wa siku nyingi dotnata amemamua kuokoka na kuachana na pombe na sasa
ameweka maombi yake mungu amsaiidie kuondokana na marafiki zake wote walevi...
miaka michache kuna huyu mtu anaitwa fikiri madinda alikuwa akitajwa sana na karibu bendi zote za dansi nchini. siku hizi simsikii akitajwa tena, yuko wapi? kafariki? kafulia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.