Namshukuru sana Wema Sepetu, alishiriki kikamilifu kuandika mashairi ya 'Nataka kulewa' - Diamond

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,058
2,000
Diamond akiojiwa na mboni katika kipind cha mboni show kinachorushwa na EATV amesema kwamba anamshukuru sana wema sepetu kwa kushiriki kuandika mashairi ya nyimbo yake mpya nataka kulewa.
ametolea mfano maneno kama kumbe mjinga ni mimi ninatunza wengine wanachukua,mapenz yananifanya nilie kama mtoto,nikamvisha na pete kwa kumuoa kumbe mwenzangu ...... kwa waliosikiliza nyimbo hio watajua nini nasema.
pia aliulizwa ataje wanawake waliomsaidia sana wa kwanza kabisa akasema mama yake,wa pili akasema wema sepetu,watu wakashangilia sana harafu akafikiria sana nakusema pia si vibaya nikimshukuru jokate.

Binafsi namkubali sana Diamond kwa kuwa muwazi na kwa jitihada anazofanya
 
LIpili

Member
Apr 14, 2012
43
0
Kama imeshafika stage ya kutungiwa mashairi na Wema Sepetu, basi mwisho wa kutamba kwenye fani umekaribia
 
MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,348
2,000
Yaani wa Tanzania ni wajinga sana..
Inshort Diamond, Wema sepetu, Jokate, na Erick Shigongo mwenye magazeti ya ijumaa na uwazi wanacheza mchezo wa kuwekana juuu kibiashara na wanalipana pesa kwenye huo mchezo..

Mchezo unakwenda hivi.. Kinachofanya wa Tanzania tumpende diamond na awe juu ni Drama zake na Wema na jokate.. Na hizi drama zinaandikwa sana na shigongo news papers na Watu wananunua sana magazeti.. Na Wema na jokate nao filamu zao Zinauzika sana as watu wanakuwa na Attention nao kuona nini kitatokea au itakuaje kuanzia uzinduzi wa filamu etc..

So Wema na jokate wanasababisha Diamond awe juu watu show zake wajae waone nini Kitatokea na Vile vile shigongo nae auze magazeti mengi na Mwisho wa siku wanapeana commission ya mapato..

Nina uhakika hakuna mahusiano ya Diamond na Wema wala Jokate zaidi ya seeking attention for sales purpose.. Na wamefanikiwa kwa hilo..

Kama unabisha endelea kubisha but ipo siku Utaelewa ninachokiongelea..

Msinirushie mawe haya mawazo yangu tu...

Through entertainment business analysis nimegundua Hakuna mapenzi hapo, hizo drama ni for sales attention
 
iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,435

Sasa ujinga wetu ni upi hapo?
 
MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,348
2,000
MKATA KIU sasa katika yooooote uliyoeleza ujinga wa watanzania ni upi?

Kutekwa na vituko vyao na kuwanufaisha kibiashara.. We huoni story za diamond na wema, jokate sijui nani zinavyoteka watu akili na kujikuta wanajaa sana kwenye show zao
 
Mashiboboyu

New Member
Dec 5, 2012
2
0
Kama imeshafika stage ya kutungiwa mashairi na Wema Sepetu, basi mwisho wa kutamba kwenye fani umekaribia

Kwan kutungiwa mashair kuna shida gan? Au we ndo wale ambao wakiona msanii katungiwa wimbo wanamwona kaishiwa? Kutungiwa mashair ni kitu cha kawaida ndugu.
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,942
2,000
Diamond yupo tayari kutembe uchi ili atangaze singo yake...nyambafu.!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom