Ugandas music star Joseph Mayanja a.k.a Jose Chameleone has denied any involvement in the circumstances that led to the death of the intruder who entered the singers house last week and...
Chagua Nani Ni Msanii Bora Wa Mwaka 2012 Orodha Ya Wasanii
kundi A:hip Hip
1.ROMA
2.STAMINA
3.KALA JEREMIA
4 FIDQ
5.SHETTA
6.GODZILLA
kundi B:rnb
1.BEN POL
2.DIAMOND
3.OMY DIMPOZ
4.BARNABA
5.LINEX...
Kutoka kwenye status ya fb ya John Kitime;
Mpiga solo Luigi B52 wa FM Academia amefariki dunia. Msiba uko Mwananyamala kwenye kambi ya bendi. Jirani na kituo cha Mwananyamala A. Mungu amlaze pema...
Jamani kuna fununu zimetoka hivi punde juu ya Mbilikimo Aunt Ezekiel kufumaniwa hapo majuzi. Najuwa kwa sasa hapa Bongo limekuwa ni jambo la kawaida kwa walio wengi kutoka nje ya ndoa kwani...
Habari wana jamii wenzangu!nimatumaini yangu kuwa wengi wenu mmekuwa mkikitazama kipindi maarufu sana cha MKASI kinachorushwa na na kituo cha runinga cha East Africa TV(chanel5) kikiongozwa na...
Huyu mshikaji nilikuwa namfagilia sana kutokana na wimbo wake wa Riziki. Mashauri yake yametulia sana. Ni wimbo ambao hautachuja kwani unagusa maisha yetu ya kila siku.
RICK ROSE HULIPWA KIASI CHA DOLA $100,000 KWA SHOW MOJA lakini AKIWA NA Mac Miller HULIPWA HADI DOLA $155,000 KWA SHOW AMBAZO
NI SAWA NA TSH.250,000 (MILIONI MIA MBILI HAMSINI ZA...
huyu msanii darasa anatisha vibaya sana namkubali mno.na tena ngoma yake hii mpya ya nishike mkono ndo ananikosha kabisaaa.na we msanii yupi unamkubali
ndiye msanii kipenzi cha wana africa masharik kwa sasa,kwa ubunifu,juhud na kujituma,amekua ndiye mwanamuzic ghari zaid tz(ni ten millions kwa show na mapromota deile wanampapatikia,kwa wiki cyo...
Habari zenu
Mi namfagilia sana huyu mwanamuziki aisee anatisha babaake! Nyimbo kama Starry starry night, The last time na Bella bella zinanikuna sana. Kwa mashabiki wake nadhani mtakubaliana nami.
The happy couple enjoyed a romantic stroll along the beach together as they soaked up the sun together in St Barts on Monday.
Happy holidays! Ellen DeGeneres and Portia de Rossi walk hand in...
Jana tulisikia alitaka kuitisha kikao aoe shombe shombe, leo tena kuna mtangazaji kajitokeza ana mimba ya miez 4, sijui wengine tena watajitokeza kama marehemu Kanumba?
RIP Sharo Millionea...
Mwimbaji mashuhuri hapa Tanzania, Ray C, ametangaza kupona na matatizo ya yaliyokuwa yakimsumbua. Ametangaza hayo akiwa Ikulu baada ya kupata msaada mkubwa kutoka kwa Mh. Rais Kikwete.
RAY C...
Most kids would be thrilled by a trip to Disney World. But for Suri Cruise a trip to the Magic Kingdom isn't complete without a night in the invitation-only suite at Cinderella's Castle.
And...
Sugu amekuwa akiwachezea na kuwatema kina dada zetu wa kitanzania.....je hii ni sawa kama kiongozi wetu kufanya ivyo..??vijana ambao ni washabiki wake wanaiga nini kutoka kwake??
mifano hai...
Jana jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii 25 duniani wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani. Hawa ndio walioingia kwenye orodha hiyo.
1. Dr Dre ($110million)
2. Roger Waters ($88 million)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.