Milioni 1 yampa wakati mgumu msanii ‘hemedi’, ni deni la nguo anazovaa kwa mkopo…!!


Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,095
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,095 1,500

UKWELI wa mambo juu ya msanii anayependa kulipuka pamba Hemed Suleiman ’Hemedi’ almaarufu kama PHD au Alejandro, umevuja kwani inadaiwa kuwa nguo zote anazoonekana anavaa huwa anachukua kwa mkopo na hulipa baada ya muda fulani lakini sasa kiasi cha fedha anachodaiwa ni kikubwa na hana uwezo wa kulipa kwa sasa kwani ni zaidi milioni 1.

Duka moja la nguo maarufu sana lilipo maeneo ya Kinondoni, ndilo lililotoa ishu hiyo baada kuona jamaa huyo anazingua kulipa na walikuwa wakimpa kila nguo anayohitaji kwani walimuamini kwa kuwa nguo nyingi alikuwa akinunua hapo kwao.

Muuzaji wa pamba hizo katika duka hilo ambaye hakupenda jina lake litajwe na duka pia, alisema kuwa awali jamaa alikuwa akilipa kama kawaida lakini ilifika kipindi alikuwa anachukuwa kila baada ya wiki na hadi hivi sasa anadaiwa si chini ya milioni 1.

“Hemedi tunamuamini lakini sasa hali hii inafikia kuwa vita kwa sababu kiasi cha fedha tunachomdai ni kikubwa kwa sababu watu wanafanya kazi wanahitaji kulipwa mshahara, tunafikilia kuchukua maamuzi ili aweze kutulipa kwa haraka. Jamaa sikuhizi haji hapa na wala sijamuona kupita sasa sijui anakimbia madeni au vipi,” aliongeza

Hata hivyo Hemedi alipotafutwa kuzungumzia ishu hiyo kama ina ukweli wowote hakuweza kupatikana na taratibu zinaendelea za kumtafuta ili aweke wazi juu ya habari hizo.
 
atubariki

atubariki

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Messages
225
Points
170
atubariki

atubariki

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2011
225 170
Kwanza simpendi kuna siku alijinadi kwenye TV kabisa kuwa yeye huwa akitoa album huwa anasikilizia ni mademu wangapi wanampigia simu si ubwege huuu kumbe hana kitu haaya ameumbuka sasa
 
ALLEX

ALLEX

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Messages
2,045
Points
1,225
ALLEX

ALLEX

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2011
2,045 1,225
Kwani huyu jamaaa hana m-cameroon wa kuokoa jahazi
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,847
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,847 2,000
Upuuzi mtupu, deni la mtu sisi linatuhusu nini hapa?
 
Mchaka Mchaka

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Messages
4,528
Points
0
Mchaka Mchaka

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2010
4,528 0
mastaa wa bongo wanaforce kuishi maisha ya mbele,wanaishia kwenye madeni,wanawake wanaishia kwenye kujiuza
hata huyu atatoa T.A.K.O muda si mrefu, mwanaume kuwa na tamaa kama demu ni kitu mbaya sana.
 
M

mwabilla

New Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
1
Points
0
M

mwabilla

New Member
Joined Oct 13, 2012
1 0
Ndiyo mastar wetu hao, mikogo mingi lakini ukiwafatilia ni balaa tupu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
39,299
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
39,299 2,000
Bishoo asiye na vifaa vya kufanyia ubishoo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Gold Addict

Gold Addict

Senior Member
Joined
Sep 5, 2011
Messages
151
Points
0
Gold Addict

Gold Addict

Senior Member
Joined Sep 5, 2011
151 0
Muuza Sura mbona huonekani uokoe jahazi
.....umevuliwa nguo huku
 
Last edited by a moderator:
Bob Fern

Bob Fern

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
901
Points
195
Bob Fern

Bob Fern

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2012
901 195
Huyu jamaa namfananisha sana na shoga Elton John
 
Jeji

Jeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Messages
1,980
Points
1,195
Jeji

Jeji

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2011
1,980 1,195
kuna siku alikuwa anahojiwa kwenye TV akasema yy huwa harudii kuvaa nguo na viatu mara mbili.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,847
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,847 2,000
kuna siku alikuwa anahojiwa kwenye TV akasema yy huwa harudii kuvaa nguo na viatu mara mbili.
Kwani wewe unarudia kuvaa nguo?
Wiki si ina siku saba?
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,847
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,847 2,000
mkuu alichosema yeye akishaivaa mara moja anampa mtu mwingine.
Kwahiyo huyu basi anamzidi pesa hata Andrew Chenge ambaye suti zake zinapelekwaga kufuliwa London kama percels.

Siko Interested kuwafatilia hawa Masharo uharo, ndio shida ya watu maskini akipata uwezo wa kuanza kula chips mayai badala ya Chips dume basi anaona amemaliza Maisha.:target:
 
matumbo

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
7,205
Points
1,250
matumbo

matumbo

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
7,205 1,250
Wasanii wa bongo ni wakuwaonea huruma jamani..
 
ERIC JOSEPH

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
569
Points
195
Age
34
ERIC JOSEPH

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
569 195
Mambo mengine ni kichekesho kwani ajabu yeye kudaiwa jaman tuache ushabiki.ktk hii dunia watu tunategemeana kwa mengi tu.angalia watu malufu wanadaiwa,klabu malufu zinadaiwa ht matajili nao wanadaiwa hvy yeye kudaiwa sio ajabu.ht mi nadaiwa kwan wewe hudaiwi?
 

Forum statistics

Threads 1,294,403
Members 497,915
Posts 31,174,866
Top