Ndoa ya sandra wa bongo movie yasambaratika.......

Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
NDOA ya mwanadada anayeendesha maisha yake kwa kucheza filamu, Salma Salim ‘Sandra' inadaiwa kusambaratika.Sandra aliyeolewa na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Haisam na kufanikiwa kupata watoto wawili, inadaiwa ndoa yao imefikia
ukingoni kutokana na wawili hao kutofautiana.
Akizungumza na Mwandishi wetu, mmoja wa ndugu wa mwanaume aliyeomba jina lake lisiandikwe mtandaoni alisema, wawili hao waliachana hivi karibuni baada ya kuona ndoa yao ‘inanyevuliwa'.
"Ni kweli wameshindwana na sasa kila mmoja yuko kivyake,"
alisema ndugu huyo.

Sandra alipotafutwa kuzungumzia hilo hakuwa tayari kutoa ushirikiano, mumewe hakuweza kupatikana ila mdogo wa mume ambaye ni Miss Tanzania 2012, Salha Israel alikiri ndoa ya kaka yake kusambaratika.
sandra.jpg
 
E

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Messages
938
Points
195
E

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2011
938 195
Therefore!!
mkuu ripot hizi huwa zinakera sana hasa unapozingatia michango yake ni hasi ktk jamii lakini utafanyaje sasa ! Zina wenyewe bhana.
 
E

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Messages
938
Points
195
E

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2011
938 195
Kwa bongo movie hii ni moja ya mafanikio yao.
Mpe salam za hongera.
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
Sio kila anaeigiza movie ni cerebrity...

Shtuka
wewe umjui sandra ni celebrity kwa apa bongo,ngoja niweke picha yake inaonekana umjui,upende usipende sandra ni celebrity,kwanza unajua maana ya celebrities
 
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
9,120
Points
2,000
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
9,120 2,000
wewe umjui sandra ni celebrity kwa apa bongo,ngoja niweke picha yake inaonekana umjui,upende usipende sandra ni celebrity,kwanza unajua maana ya celebrities

Ameigiza movie gani na gani ambazo zimefanya vizuri na kupelekea awe Celebrity?
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
Ameigiza movie gani na gani ambazo zimefanya vizuri na kupelekea awe Celebrity?
kwa tanzania ni celebrities kabla ya kuingia kwenye movie alikuwa muigizaj pia video queen wa siku nyingi,mimi najua ndio maana kibongo bongo ni celebrity ama nyie celebrity kwenu ni jayz,beyonce na 50 cent
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
Ameigiza movie gani na gani ambazo zimefanya vizuri na kupelekea awe Celebrity?
kwa tanzania ni celebrities kabla ya kuingia kwenye movie alikuwa muigizaj pia video queen wa siku nyingi,mimi najua ndio maana kibongo bongo ni celebrity ama nyie celebrity kwenu ni jayz,beyonce na 50 cent
 
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
9,120
Points
2,000
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
9,120 2,000
money stunna inaelekea wewe mtu akishaonekana kwenye TV au kusikika Redioni basi kwako anakuwa Cerebrity...is it?

Shtuka mkuu.
 
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
9,120
Points
2,000
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
9,120 2,000
wewe matola jukwaa lako ni la mapishi tu,umekuja kufanya nini uku kwenye jukwaa la celebrities

Nakushauri mkuu jifunze leo kutofautisha kati ya Populal, Famous, Super Star na Cerebrity.
ukiweza hilo utaungana na Gang Chomba na Matola katika kuponda hizi habari mnazokuwa mnazituma kwa ushujaa.
 
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
3,383
Points
2,000
adakiss23

adakiss23

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
3,383 2,000
'Mjane' bado analipa. Baada ya eda kuisha hatakosa crying shoulder

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
money stunna inaelekea wewe mtu akishaonekana kwenye TV au kusikika Redioni basi kwako anakuwa Cerebrity...is it?

Shtuka mkuu.
kibongo bongo ni celebrity mtake msitake
 
cacico

cacico

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
8,389
Points
1,250
cacico

cacico

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
8,389 1,250
pole yake mwaya! hivi hawa maselebu, wamerogwa??
 
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
9,120
Points
2,000
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
9,120 2,000
kibongo bongo ni celebrity mtake msitake

Money Stunna mbona unakuja na majibu mepesi hivyo?
Then majibu kama hayo tumezoea kuyapata toka kwa Shifta na wahuni wengine kwenye forum hii.
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
money stunna inaelekea wewe mtu akishaonekana kwenye TV au kusikika Redioni basi kwako anakuwa Cerebrity...is it?

Shtuka mkuu.

A celebrity is a person who has a prominent profile and commands a great degree of public fascination and influence in day-to-day media.Various careers within the fields of sports and entertainment are commonly associated with celebrity status.

While people may gain celebrity status as a result of a successful career in a particular field (primarily in the areas pertaining towards sports and entertainment), in other cases, people become celebrities due to media attention for their extravagant lifestyle or wealth (as in the case of a socialite); for their connection to a famous person (as in the case of a relative of a famous person); or even for their misdeeds (as in the case of a well-known criminal). Celebrities may be known around the world (e.g., pop stars and film actors), within a specific country (e.g., a top Australian rugby player); or within a region (e.g., a local television news anchor).
 
Je umeelewa nini hapo?
Je Sandra ni Celebrity?
 
Forum statistics

Threads 1,285,254
Members 494,502
Posts 30,855,524
Top