Jackline Wolper Afunguka"Nikiachika Tena Naenda Kuolewa Uarabuni"

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,607
Points
0

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,607 0
Kama anataka kuja kuolewa Uarabuni, ajiandae kwa haya pia;

1/Kusilimu na kuwa muislam

2/Kupewa talaka wakati wowote akizingua.

3/Kuwa mke mwenza

4/Kuzaa watoto wasiopungua watatu.

5/Kukaa ndani zaidi kuliko kuzurura mitaani.

6/Kuvaa mavazi ya kufunika mwili mzima.

7/Kuswali na kufunga mwezi wa Ramadhani.

8/Kuishi katika mfumo dume.

9/Kufanya mapenzi kwa utamaduni wa kiarabu.

10/Kuachana na Tasnia ya Filamu.
 
C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Messages
4,789
Points
2,000

C.T.U

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2011
4,789 2,000
Siku zote huwa nasema wachaga they are not good @bed mnabisha waliopita kwa huyu watakubaliana na mimi
Sio kama shilole
 
mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,567
Points
2,000

mama D

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,567 2,000
Kama anataka kuja kuolewa Uarabuni, ajiandae kwa haya pia;

1/Kusilimu na kuwa muislam

2/Kupewa talaka wakati wowote akizingua.

3/Kuwa mke mwenza

4/Kuzaa watoto wasiopungua watatu.

5/Kukaa ndani zaidi kuliko kuzurura mitaani.

6/Kuvaa mavazi ya kufunika mwili mzima.

7/Kuswali na kufunga mwezi wa Ramadhani.

8/Kuishi katika mfumo dume.

9/Kufanya mapenzi kwa utamaduni wa kiarabu.

10/Kuachana na Tasnia ya Filamu.
namba 5 mimi ingenishinda.....hata kibaruan hakuna ruksa??
na hii no 9....waweza kuniambia mfumo wao ukoje mkuu??
 
Sumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
6,840
Points
2,000

Sumu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
6,840 2,000
Kwa jinsi ninavyomtamani, natangulia huko Arabuni. Aseme ni Arabuni wapi? Qatar, U.A.E au? Afafanue tafadhali.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Borat69

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Messages
2,528
Points
2,000

Borat69

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2012
2,528 2,000
Hawana lolote...wanapenda kuingiliwa kinyume cha maumbile ndio maana wanataka kwenda kuolewa huko Uarabuni.
 
mafinyofinyo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
4,388
Points
2,000

mafinyofinyo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
4,388 2,000
Kama anataka kuja kuolewa Uarabuni, ajiandae kwa haya pia;

1/Kusilimu na kuwa muislam

2/Kupewa talaka wakati wowote akizingua.

3/Kuwa mke mwenza

4/Kuzaa watoto wasiopungua watatu.

5/Kukaa ndani zaidi kuliko kuzurura mitaani.

6/Kuvaa mavazi ya kufunika mwili mzima.

7/Kuswali na kufunga mwezi wa Ramadhani.

8/Kuishi katika mfumo dume.

9/Kufanya mapenzi kwa utamaduni wa kiarabu.

10/Kuachana na Tasnia ya Filamu.[/QUOTE
Mapenzi ya kiarabu ndio nini? Kupigwa kipara au?
 
Forum statistics

Threads 1,390,150
Members 528,096
Posts 34,044,022
Top