maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,424
- 956
Mwaka jana nilikuletea exclusive ya wachezaji watatu wa team ya Stuttgart ya Germany waliosimamishwa kwa kosa la kutoroka hotelini kuhudhuria show ya Diamond lakini ya leo ndio kali na kubwa zaidi.
Chanzo changu kimeniambi yule comedian/musician aliyeuza ubunge majuzi mr Kingwendu ngwendulile amepata bahati ya kufanya kazi na demu wa kiungo wa arsenal(Ozil)aitwaye Mandy Capristo.
Bahati hiyo ilkuja majuzi wakati kingwendu alipofanya show kali Jijini Frankfurt ndipo Erwin Bach ambaye ni mumewe Tina turner na music executive wa Kijerumani alipovutiwa na nyimbo kali za Ngwendulile,akamfata backstage na kumpa deal hilo
Stay tuned kwa habari zaidi,maana nafuatilia suala hili kwa karibu.

Last edited by a moderator: