jumatatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MINING GEOLOGY IT

    Leo tarehe 22, Aprili ni Maadhimisho ya Siku ya Dunia

    Siku ya Dunia ni siku inayotengwa kwa ajili ya kuadhimisha masuala yanayohusu mazingira, uhifadhi wa asili, na uelewa wa changamoto za kimazingira zinazokabili ulimwengu wetu leo. Kila mwaka, tarehe 22 Aprili, watu duniani kote hushiriki katika shughuli mbalimbali kama vile kufanya usafi wa...
  2. ndege JOHN

    Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

    Leo jua litapatwa yaani mwezi utafunika jua na kufanya mchana giza litande na uonekane kama usiku lakini kwa asilimia kubwa maeneo watakayofaidi ni marekani Canada na Mexico. Nchi nyingine tutaona angalau kupatwa kwa jua Kwa sehemu tu.
  3. Greatest Of All Time

    Ligi ya Mabingwa Ulaya: Droo ya 16 Bora kufanyika leo Jumatatu Mchana

    Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
  4. benzemah

    Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha. Mwenyeji wa Rais...
  5. Chizi Maarifa

    Jumanne safari kuja Mtwara. Haya mambo wadau tuwekane sawa

    Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara. 1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury 2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza. 3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara 4. Hotel gani nzuri na yenye...
  6. MrWings

    Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

    Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe. Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale. Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara)...
  7. Roving Journalist

    TASAF yasema dirisha la malipo kwa wanufaika limefunguliwa kuanzia Jumatatu Juni 5, 2023

    Baada ya Wadau wa JamiiForums.com kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro na Kilindi Mkoani Tanga kudai kuwa wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) hawajalipwa malipo yao pamoja na wengine kudai wazee wanatumikishwa kufanya kazi, mamlaka ya TASAF imefafanua. Mkuu wa Kitengo cha Habari na...
  8. Chizi Maarifa

    Jumatatu tunaanza Maombi kwa wale Viongozi wote majizi/mafisadi

    Tumechoka. Kila mwaka CAG anasoma hasara ambazo taifa linaingizwa kutokana na kodi za wananchi maskini hawa wanaoishi maisha magumu. Viongozi wao wanatumia magari ya gharama kubwa ya kifahari. Wananchi hawana madawa hosp, hawapati matibabu bila kuwa na pesa. Shule hazina madawati, walimu...
  9. B

    CCM yatoa maagizo waliotajwa ripoti za CAG, Takukuru

    Chama tawala nao wamesema: Hiki angalau kimtindo, kitakuwa kimeumana. Ngoja tuone. ----- Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuwachukulia hatua kwa waliohusika kwenye ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka katika taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
  10. B

    Kenya kesho labda kwa busara za Museveni siyo za Gachagua

    Kesho ni jumatatu nyingine: Hili sasa ni lenye kuhitaji akili kubwa: Wenye busara wapo: Lakini siyo huyu bwana: Kwetu wapigania haki au Uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho. Inafahamika elimu kama hii kutokuwa na maana kwa walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo...
  11. TODAYS

    RAILA: Jumatatu Ndiyo Itakuwa Mama wa Maandamano, Gachagua Kasema Ndiyo Mwisho wa RAILA

    Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa. Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya. DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa...
  12. B

    Ruto, Raila kuelekea Jumatatu, Tanzania tuna mengi ya kujifunza

    "Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke." Hata hivyo maisha lazima yaendelee. Kutokea kwa majirani zetu: Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika. Miamba miwili kila mtu...
  13. BARD AI

    Jumatatu Machi 20, 2023 itakuwa siku ngumu kwa Serikali za Kenya, Tunisia, Nigeria na Afrika Kusini

    Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo. Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani...
  14. R

    Anayekwenda Moshi mchana kwa usafiri binafsi toka Dar jumatatu ijayo tuwasiliane

    Habari wakuu, Kama kuna yeyote anayesafiri kwa usafiri binafsi (Noah au gari nyingine yenye nafasi ya kutosha) kutoka Dar kwenda Moshi mchana kuanzia saa tisa siku ya jumatatu tarehe 20/03/2023 na ana nafasi ya watu wawili tafadhali tuwasiliane inbox. Shukran.
  15. ommytk

    Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

    Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini. Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji...
  16. NetMaster

    Elon Musk kuifungua Account ya Donald Trump Jumatatu

    Naona Elon amedhamiria kupafanya twitter uwe uwanja fair, sio kama zamani uongozi wa watu wenye woke agenda ukiona mtu flani yupo kinyume na agenda yao wanamfungia Anaandika Trump Pongezi ziende kwa Elon Musk kwa maamuzi ya kuinunua Twiter, Watu wengi wanasema mabadiliko yalihitajika kwa...
  17. BARD AI

    Mawaziri Uganda kujifunza Kiswahili kwa lazima kila Jumatatu

    Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga, Mawaziri watafundishwa Kiswahili kila Jumatatu kabla ya Kikao cha Baraza chini ya Rais Museveni. Waziri Kadaga amesema hatua hiyo inalenga kuwawezesha Mawaziri kufanya mikutano ya ndani na ya Jumuiya kwa lugha ya...
  18. S

    Baada ya sheria ya haki ya dhamana kupitishwa, Serikali iangalie suala la Polisi kuvizia kukamata mtu Ijumaa ili akae rumande hadi Jumatatu

    Tunashukuru kwamba serikali hatimae imesikiliza kilia cha wananchi cha siku nyingi juu ya kuweka watu mahabusu bila kuwapa haki yao ya dhamana. Udhaifu wa hili ulikuwa pande zote mbili, polisi na mahakama, kwa sababu mahakimu nao pia walikuwa wakiwaendekeza polisi kwa kuachia watu warudishwe...
  19. M

    Tabia ya kunusana harufu ya Pombe makazini Jumatatu ni unafiki na uzandiki usiofaa

    Weekend inaanza Ijumaa na watu wanakuwa na stress za kutosha. Mitundi ya kutosha ndo suluhu ya karaha za maisha haya ya kibongo. Leo hii Kg 1 ya mchele imefikia 3500, kodi za nyumba ndio kero maana miezi inakatika kama barafu inayeyuka. Unakula mabia ya kutosha na uzuri unapiga Mackotail ya...
Back
Top Bottom