mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Fundi manyumba

    Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

    Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana. Ninapozungumzia umbali ninamaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa...
  2. Mjukuu wa kigogo

    Huu ndio ukweli kuhusu wanandoa wanaoishi mbalimbali

    Huu ndio ukweli kuhusu wanandoa wanaoishi mbalimbali
  3. F

    Nilisema Makonda haendi mbali kwenye uenezi wa CCM na sasa kwenye ukuu wa mkoa pia itakuwa hivyo

    Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea. Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu. Makonda ameshawekwa kati na kamati ya maadili ya CCM na hiyo ni dadili mbaya kwake. Cha msingi zaidi ni...
  4. R

    Waziri Jerry Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe kusema ana kitu kinachoonekana, na atafika mbali, tuendelee kumwombea. Nimesikiliza Kwa Umakini jinsi...
  5. DR Mambo Jambo

    USHAURI: CHADEMA Mkitaka Kuinuka Tena Kwenye Siasa Mpeni Huyu "Sheikh Ally Mohamedi Kadogoo" UKatibu Muenezi wa Chama Mtafika Mbali na Mtaheshimika

    Sikuwahi kufatilia Mikutano ya CHADEMA kwa Uangalifu kwa sababu Najua Mikutano yao Mingi Huwa ni Malalamiko na kashfa na hasa wengi Kushindwa kujibu hoja na Asilimia Kubwa kuwa waropokaji.. Japo Kuna watu makini Ndani ya Vijana hao wa chama Siwezi kukataa kuna watu au Vijana makini na Wanahoja...
  6. S

    Kiona Mbali: Bashite kama Lowassa; Mama kama Kikwete. Kisha Bashite atajiuzulu kumuokoa Mama

    Hii ni hint itayoelewaka kwa wenye akili na wafuatilaji wazuri wa siasa za Bongo. Ni mtazamo wangu kuwa,baada ya Bashite kuongea alichoongea, kulikuwa na reaction ya walioguswa lengo wasionekane wabaya kwa Mama. Kwa maana ya kwamba wamesingiziwa ingawa hakutaja mtu ila wanaotajwa wanajjulikana...
  7. Pdidy

    Ushirikina umeiponza Simba

    Juxi asbh nilikuwa airport kuchykua maokoto ya moja ya tax yangu Huwa napenda kukaa na madreva tukapiga story Mmoja a .madreva akaniambia unamjuaaaa......Ry wa Simba yes Nimemchukua tukaendaa kumchukua mganga wa Nampula ambae aliisaidia Yanga kushinda kwa waarabu 4_0. Mmmh nkamwambia...
  8. Chizi Maarifa

    Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa. Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza...
  9. Webabu

    Jordan yaanza kujiweka mbali na Israel, imesikia onyo la Iran

    Jordan imekiona kitisho cha vita baina ya Iran na Israel na imeanza kujiweka mbali na Israel. Katika kujitetea kwanini walidungua droni za Iran zilizokuwa zikielekea Israel,nchi hiyo ya kifalme imesema haikufanya hivyo kuitetea Israel bali ilikuwa ni kuwalinda raia wake dhidi ya vifaa...
  10. B

    Rufani dhini ya Mbunge Pauline Gekul yatupiliwa mbali, wapanga kufungua kesi ya madai kwa wote waliomchafua

    Mfumo wa haki jinai ni mbovu pia hata teuzi za majaji zinatia shaka asema wakili kiongozi wa jopo la mteja wao aliyefungua kesi dhidi ya mbunge Pauline Gekul Kesi hiyo ni rufaa ya jinai namba 577 ya mwaka 2024 leo 15 April 2024 mbele ya jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Manyara, kuhusu shambulio la...
  11. ward41

    Hatuko mbali na ww3, nuclear war

    Kwa jicho la kawaida unaona ni Mambo ya kawaida. Ukweli ni kwamba WW3 Inakaribia. Kinachoendelea Middle East sio cha kawaida. Ukweli ni kwamba dunia inaenda kudondoka. Mwisho wake umefika. Siraha zilizopo duniani zinatisha. Dunia haina miaka kumi mbele. Kuna hatari kubwa mbele yako
  12. kalisheshe

    Elvis rupia wa ihefu kawazidi mbali fred na jobe wa simba sc

    Huu ndio ukweli Fred na jobe wanaigharimu sana timu, Najiuliza tu Hivi wanaosajiri hawakumuona elvis rupia?
  13. Kyambamasimbi

    Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    Habari wanajf. Binafsi Niko visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini. Kiujumla Maisha ndio yalinifanya nikafika huku, kwa sikuwahi kuwaza kuwa ntavuka visiwa vyetu vya Tanzania Yaani Pemba na Unguja. WATU WA HUKU(WAHAITI) Watu wa huku ni weusi ti Kama sisi huwezi kutofautisha na wasukuma...
  14. Kambi ya Fisi

    Mwanandoa hapaswi kuishi mbali na mwenza wake

    Hii inawahusu wale ambao mume anaishi mkoa tofauti na mkewe kwa sababu za kikazi. Sio vyema kuishi namna hiyo. Ikiwa hamuishi pamoja kama wanandoa, mtakuwa na uaminifu kwa ndoa yenu kwa muda mfupi tu, baada ya hapo mambo yataanza kubadilika. Mwili utakusukuma kwenye ukuta, utaanza kutaniana na...
  15. uhurumoja

    Ukitaka kwenda mbali nenda peke Yako ukitaka kwenda mbali sana nenda na wengine

    Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja...
  16. LA7

    Mtoto kawa na tabia isiyonipendeza baada ya kuishi mbali na mimi kwa miezi 3 tu

    Habari za humu wandugu, natumai wengi wenu hamjambo, Mimi ni yule yule ndugu yenu niliyekimbia umande kusoma sikuona dili, Kuna Uzi niliuletaga humu nikijisifia kuwa nimeweza kumlea mwanangu au kumfundiasha kuwa na tabia nzuri akiwa tu na Miaka miwili, Sasa kuanzia mwezi wa 11. 2023...
  17. Majok majok

    Hongera Yanga! Mmeonesha mna na timu ya aina gani. Nawaona mbali ndani ya miaka 2 ijayo kwa ubora wenu

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye...
  18. Kaka yake shetani

    Tumetoka mbali kwenye teknolojia?

    Moja ya kitu ambacho kilikuwa kina nikera ili kwenye kufungua tovuti.
  19. B

    Mahakama Kuu yatupilia mbali Mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba ya Bandari

    HOJA ZA MAPINGAMIZI YA SERIKALI YA MUUNGANO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUHUSU KESI YA BANDARI YATUPITILIWA MBALI, KESI YA MSINGI YA KIKATIBA SASA KUPANGIWA TAREHE YA KUANZA KUSIKILIZWA https://m.youtube.com/watch?v=D5ZLtOJJ-nE Ndugu Odero Charles Odero amechukua hatua ya kuipeleka...
Back
Top Bottom