Maneno ya Mwina Kaduguda leo kuwa viongozi wa Simba wakitaka kuifunga Al Ahly ni lazima washirikishe watu wengine yamenifikirisha kinyama

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,754
Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea.

Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba.

Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa ss hv kuliko Simba.

Kaduguda aliongea mengi lkn nikashika hasa hili moja, kuwa viongozi wa sasa wa Simba wakishirikisha watu wengine ambao hawako katika uongozi, Simba haishikiki.

Wengi msiokuwa na akili mnaweza kuchukulia maneno hayo ni ya kawaida sana.

Kwangu maneno haya yana maana zifuatazo.

1. Viongozi wa Simba waliopo sio watu wa mpira na fitna hawazijui.

2.Bila friends of Simba hatuwezi kupata mafanikio yoyote yale.

3.Viongozi waliopo sasa hivi hawana budi kuwashirikisha wale walio nje ya mfumo watake wasitake.

4.Viongozi wa Simba waliwatenga Friends of Simba tulipocheza na Yanga na jamaa wakatupigisha shoti.

5.Mwina Kaduguda hana mapenzi na Simba kama anavyojinasibu, anajua wasaliti lakini anawafumbia macho.

6.Mwina Kaduguda kuwasifia Yanga ni usaliti mkubwa ameuonyesha na kitendo chake cha kuandaa jarida kwenye mchezo wa Yanga vs Mamelodi kinadhihirisha mapenzi yake kwa Yanga.

7.Mwina Kaduguda ana wivu na husda na viongozi wa Simba waliopo ss hv.

8.Nilikuwa nampenda, kumheshimu, kumsikiliza tangu akiwa mwandishi wa habari gazeti la Majira lakini kwa maelezo yake ya leo sitaki tena kumsikia.

9.Kwa sasa viongozi wa Simba hata wafanye nini lkn kama wasipotimiza masharti ya hao waliokuwa nje ya mfumo, Simba haiwezi kupata mafanikio.

10.Hao waliokuwa nje ya mfumo wanaoiendesha Simba ndio hao hao wanaompa ishu Manara ili tuharibikiwe.

11.Ss hv Simba ikishinda chukulieni sawa na akifungwa pia chukulieni, yaani jiandaeni kisaikolojia hadi uchaguzi mwingine utakapofanyika.

12.Walio nje ya mfumo wa SIMBA wanapoombwa na uongozi watoe ushirikiano kwa mafanikio ya timu hutanguliza masharti mbele kwamba wapewe milioni 600 ndio wasaidie timu, otherwise Simba haiwezi kushinda.Yaani wanaitia hasara sana timu kiukweli.

13.Eti viongozi wa Simba wakishirikisha watu wengine Al Ahly hachomoki kwa Mkapa, Yaani Kaduguda amenipa akili sana leo.

Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Viongozi wana jibu lao...kuwa hao wana njaa walikuwepo hapa mbona hakuna kitu walifanya ? Kila zama na kitabu chake.....simba wa yuda Mwina Kafuguda njaa inamsumbua au kweli mapenzi ya club ?? Acha waje
 
Simba ikishauzwa kitambo...., Unataka Mudi awashirikishe Ili iweje!?

Simba ya Mudi anajua mwenyewe jinsi ya kuiendesha Msimpangie.

Friends of Simba waanzishe Simba yao .... Wasimsumbue Mudi na timu yake.
 
Wengi msiokuwa na akili mnaweza kuchukulia maneno hayo ni ya kawaida sana.

(Ukijiona wewe mwenyewe kwamba una akili mpaka kujisifia,ujijue wewe ni empty). Kuwa na akili,busara,hekima kunapimwa na wengine wanaokuzunguka
 
Back
Top Bottom