pensheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mifuko ya pensheni na uwekezaji usio na tija!

    Hawa jamaa wanaamua tu wawekeze wapi ambapo Ni rahisi Kula usawa wa kamba. Ona Sasa Blue Pearl Hotel - Ubungo Chali na deni mabilioni (8.89b TZS). Watu wanaendelea ku-enjoy kama hakuna kilichotokea. Kikotoo ndo hicho. NB: Mjini mipango, deni la Watanganyika
  2. R

    PSSSF imeshindwa kulipa pensheni za wastaafu. Wengine sasa ni zaidi ya mwaka hawajalipwa

    Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc. Waziri mwenye dhamana ni nani? Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa wamefilisika hawezi lipa mafao ya wastaafu kama lumpsum, na malimbikizo ya kila mwezi kwa ambao tangu...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Mch. Daniel Mgogo: Kikokotoo cha pensheni ni wizi na utapeli

    Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama...
  4. F

    Waalimu mnapaswa kuandamana kudai pensheni kamili, kikokotoo kwenye pensheni ni udhalim. Ni aibu kwa serikali kuwekeza kwenye vifo vya watumishi wake!

    Waalimu wa siku hizi hadi muambiwe kuwa hali za maisha yenu sio nzuri!? Juzi tu hapo serikali imekuja na kikokotoo cha pensheni za watumishi mkiwemo nyie waalimu. Watu mnakatwa pensheni yenu na mpo kimya tu?! Pensheni ni mali yenu na sio msaada kutoka serikalini, mnapaswa kuelewa kuwa...
  5. K

    Kuhusu Pensheni ya Wastaafu wa Serikali za Mitaa kutoka Hazina: Je, Serikali haijui ni haki yetu?

    Leo ni tarehe 9.1.2024 Wastaafu wa Serikali za Mitaa wanaolipwa na Hazina hawajapata pensheni yao ya Desemba, 2023. (1) Je, Serikali ina hali mbaya ya kifedha? (2) Je, Serikali haijui ni haki yetu? (3) Je, Serikali haioni ni kipaumbele chake kuwalipa wastaafu? Tunaomba tulipwe kwani ni haki yetu.
  6. A

    Milioni 300 zinakaribia pensheni ya Ubunge

    Ukatae 300m TZS halafu usubiri pensheni 400m TZS baada ya miaka mitano? Halafu hizo 300m zinafananaje?
  7. C

    Pensheni za Wastaafu za TISS hasa DGIS, DEO na DIO tokea wa Awamu ya Nyerere hadi ya Samia ni Kiasi gani?

    DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi. DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa) DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa) Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
  8. Wimbo

    Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

    Sote tunajua nchi inamadeni mengi, miradi mingi tunayojipamba nayo kwamba tumetekeleza ni madeni ya kuja kulipa baadae na kiasi kidogo cha misaada, mikopo bado inatukimbiza kwa mbali dhidi ya mapato. Hivi ni wakati muafaka kweli wabunge kujadili sheria ya pensheni ya wenza wa Marais na mawaziri...
  9. Suley2019

    Uteuzi: Amani Karume na Anna Makinda wateuliwa kuwa Wakuu wa Chuo

    Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
  10. October 2pm

    SoC03 Wazee wote wapewe pensheni kwani walilitumikia taifa

    Kila mtu siku moja atakuwa mzee. Nguvu tulizo nazo hazitadumu daima; kutembea kwa nguvu, kufikiri kwa kasi, macho yetu kuona mbali, vyote; uwezo wake utayoyoma na kupungua kabisa. Huo ndio utakuwa uzee. Tutahitaji msaada wa mkongojo kutembea, msaada wa watu kutusaidia katika yale tuliyokuwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Pensheni kwa Wastaafu na Wazee Zanzibar Zapandishwa

    RAIS DKT. MWINYI APANDISHA PENSHENI KWA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapandisha pensheni kwa wastaafu kwa asilimia mia moja akitolea mfano wa mstaafu wa kima cha chini anayepokea shilingi elfu...
  12. Roving Journalist

    Zanzibar: Rais Mwinyi apandisha Pensheni kwa Wastaafu na Wazee

    RAIS DK.MWINYI APANDISHA PENSHENI KWA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapandisha pensheni kwa wastaafu kwa asilimia mia moja akitolea mfano wa mstaafu wa kima cha chini anayepokea shilingi elfu...
  13. DAVID PALMER

    Je, mstaafu akifariki pensheni anaendelea kupewa mwenza wake au nayo inakoma?

    Habari zenu bhana Naomba niende moja kwa moja najua ntapata wajuzi wa kunishauri. Baba yangu alikua mwalimu kabla hajastaafu. So alikua anapokea penshen ile ya kila mwezi mpaka alipofariki mwaka juzi 2021. Alifariki akiwa na miaka 74. Ile penshen iliingia kwa miezi mitatu tuu then ikakoma. Na...
  14. Lycaon pictus

    Mshahara wa mfanyakazi huwa unapungua kila mwaka bila ya yeye mwenyewe kuelewa

    Mshahara wa mfanyakazi na wengine wenye kipato fixed kama wapokea pension huwa unapungua kila mwaka. Kinachokula mshahara wa watu hawa ni mfumuko wa bei. Kwenye mfumuko wa bei thamani ya pesa huwa inapungua. Mfumuko wa bei wa 5% maana yake pesa imepungua nguvu kwa asilimia tano. Kama unapata...
  15. M

    Mshahara wa polisi miaka ya 70 na 80 ulikuwa kiasi gani?

    Hivi miaka ya 70 na 80 mshahara wa askari polisi C.P.L., ulikuwa pesa ngapi? Na kipindi hicho pensheni zao zilifika hadi pesa ngapi baada ya kustaafu?
  16. mrengo wa kushoto

    Pensheni na kikokotoo: Usichokijua kuhusu uzuri wa kikokotoo, kwa mafanikio na bata la uzeeni

    Lengo zima la mifuko ya jamii ni kumkinga na kumlinda mwanachama wake dhidi ya majanga. Majanga ni vitu vyoote vinavyoweza kuondoa au kupunguza uwezo wa mtu kuzalisha. Moja ya janga kubwa ni UZEE.Tunaliita ni janga kwasababu tunaamini huna uwezo wa kuzalisha na kuchangia kiuchumi kama...
  17. R

    Kwenu BAKITA, KISHIKWAMBI ikimaanisha Tablet imetoka wapi? IE The science of the origin of a word kishikwambi

    Sensa ina mambo mazuri. Nimeona KISHIKWAMBI likimaanisha Tablet. Sasa hili neno mmelitoa wapi? Etymology ya Kishikwambi ni ipi? Au unaamka unafikiri kineno chochote basi unaita Tablet Mfano, Tablet: Etymology. From Middle English tablet, from Old French tablete (Modern French tablette)...
  18. A

    DOKEZO Kasoro kubwa katika Ofisi ya Hazina (Kitengo cha Malipo ya Pensheni za Wastaafu)

    Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu sana ya wastaafu walio fukuzwa jeshi, walio staafishwa kwa ugonjwa, waliofariki wakiwa kazini na waliostaafu kwa taratibu za Kawaida za Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambapo kitaratibu kundi hilo lote huwekwa kwenye kundi la wastaafu wanao subiri kulipwa...
  19. Suley2019

    Tazama hapa pensheni ya ustaafu ya Rais wa Kenya

    Salaam Wakuu, Kweli Urais sio jambo la kitoto. tazama hapa malupulupu anayopata Rais wa Kenya akiondoka madarakani. malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya
  20. M

    Wakumbukeni Wastaafu wa umma pia. Ongezeni Pensheni zao

    Napenda kumpongeza sana Rais Samia kwa maamuzi aliofikia ya kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa serikali Mungu akubariki. Aidha napenda kuwakumbusha kwamba kusahau ni kwa binadamu, wastaafu waliotumikia serikali na kujenga misingi yake, baadhi yao bado wako hai. Pesheni zao ni ndogo sana na...
Back
Top Bottom