psssf

  1. R

    PSSSF imeshindwa kulipa pensheni za wastaafu. Wengine sasa ni zaidi ya mwaka hawajalipwa

    Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc. Waziri mwenye dhamana ni nani? Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa wamefilisika hawezi lipa mafao ya wastaafu kama lumpsum, na malimbikizo ya kila mwezi kwa ambao tangu...
  2. Ncha Kali

    Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

    Ndugu zangu! Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa. Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa...
  3. Sildenafil Citrate

    KWELI Wanachama wa NSSF na PSSSF wanaweza kutumia Michango yao kama dhamana ya kuchukulia Mikopo Kujenga, Kuboresha au Kununua nyumba

    Nimeona taarifa mtandaoni ikisema watumishi wa Umma na Binafsi ambao wamechangia kwa zaidi ya miezi 108 yaani miaka 9 katika NSSF au PSSSF sasa rukhsa kutumia michango yao kama dhamana ya kuchukulia mkopo wa kujenga, kuboresha au kununua nyumba nchini Tanzania. Kanuni namba 141 za Mwaka 2024...
  4. K

    PSSSF ziko wapi Billion 14 za Rais Samia alizolipa kwenu kwa ajili ya Wastaafu wa ATCL

    Raisi Samia Suluhu Hassan alilipa billion 14 za mapunjo ya madai ya kustaafu waliokuwa wafanyakazi wa Air Tanzania Company Limited tarehe 27/12/2023 kwenye mfuko wa PSSSF. Hadi muda huu ni asilimia thelathini tu ya Wastaafu ndio wamelipwa wengine wanapigwa dana dana hawalipi. Hawa ni pamoja...
  5. B

    Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu. Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo. Malalamiko ya...
  6. R

    PSSSF na mifuko ya hifadhi ya jamii wekeni "Digital formula" mstaafu aweke namba ajue kiasi cha mafao yake

    Wekeni digital formula mstaafu aweze kukokotoa mwenyewe, aweke namba ajue mafao yake ni kiasi gani. Najua ipo ila hamtaki kuiweka ili muwapunje wastaafu (hii manual formula wazee hawaiwezi). Mbona TRA na benki kwenye mikopo formula hizo zipo? Acheni wizi/ubabaishaji.
  7. DOMINGO THOMAS

    Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  8. tutafikatu

    NSSF na PSSSF zipambane soko moja, NHIF itafutiwe mshindani.

    Ni muda muafaka sasa kwa serikali kuruhusu mifuko ya mafao kama NSSF na PSSSF kushindana katika soko. NSSF iongezewe wigo wa kuvutia wanachama toka serikali, na PSSSF pia ipewe nafasi ya kuingiza wanachama toka sekta binafsi. Vivyo hivyo kuwapo kwa mfuko mmoja wa Bima ya Afya ya Taifa, ni...
  9. Mparee2

    NSSF na PSSSF zinatoa huduma sawa kwa wafanyakazi?

    Huwa najiuliza Kama kweli NSSF na PSSSF zinatoa huduma sawa kwa wafanyakazi Kwanini wafanyakazi wasipewe uhuru wa kuchagua wapi wajiunge ili kuweka ushindani? Nafikiri kukiwa na ushindani walau kidogo mafao kwa wastaafu yataboreka tofauti na ilivyo sasa ambapo mashirika hayana haja ya kuleta...
  10. BARD AI

    ACT Wazalendo wapendekeza Bima ya Afya ifungamanishwe na PSSSF na NSSF

    Hatua hiyo inafuatia Ukaguzi uliofanywa na CAG kubaini hasara ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeongezeka kutoka Tsh. Bilioni 104 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Bilioni 205 mwaka 2021/22. ACT imependekeza Mifuko hiyo ya Hifadhi ya Jamii iwe na Fao la Matibabu ambapo 20% ya Michango...
  11. DOMINGO THOMAS

    Hifadhi za Jamii Tanzania

    Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
  12. BARD AI

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa PSSSF akutwa na kesi ya kujibu

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma (PSSSF), Rajabu Kinande na wenzake wanne. Mbali na Kinande washtakiwa wengine ni Ashura Kapera (37), Farida Mbonaheri (34), Mohamed Miraji (48) na Msafiri Raha ambapo wanakabiliwa...
  13. BARD AI

    TUCTA, TUGHE waishangaa CWT kuhusu kikokotoo cha PSSSF

    Siku chache baada ya wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kutaka mjadala wa kikokotoo urudi upya, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limesema utaratibu wote ulifuatwa na suala hilo lilishafikiwa mwisho. Kauli hiyo imekuja baada mkutano ulioshirikisha CWT na Mfuko wa...
  14. BARD AI

    Kikokotoo chavuruga mkutano CWT, PSSSF

    Mkutano kati ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma (PSSSF) umevunjika baada ya kuibuka kwa hali ya kutoelewana. Sababu za kuvunjika kwa mkutano huo ni kikokotoo ambacho baadhi ya wajumbe wa CWT walitaka mjadala urudi upya mezani katika sheria ya...
  15. BARD AI

    Mfuko wa PSSSF wafikia thamani ya Tsh. Trilioni 7.2

    Gharama za uendeshaji kwa Mfuko wa Pesheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) zimepungua kutoka Sh128.93 bilioni kwa mwaka 2018 hadi kufikia Sh68.83 bilioni mwaka huu sawa na asilimia 46.61. Kupungua kwa gharama hizo kunatokana na hatua ya uunganishaji wa mifuko ya pensheni minne ya PSSF, LAPF, PPF...
  16. GentleGiant

    PSSSF moja ya taasisi za Umma zenye Customers care bora kabisa nchini

    Wakati nafikiria kuanza michakato ya kufuatilia michango yangu kwa hawa jamaa nilikuwa nafikiria sana kwa kuwa taasisi nyingi za umma zinasifika kwa kuwa na customer care mbaya sana kwa wateja. Lakini nimefuatilia,nimeingia ofisi tofauti tofauti na itoshe tu kusema jamaa ni wakarimu na...
  17. Suley2019

    PSSSF yalipa mafao bil. 60/- kila mwezi

    MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umesema kila mwezi huwalipa Sh. bilioni 60 wastaafu wa mfuko huo. Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko huo, James Mlowe, alisema fedha hizo hulipwa wastaafu 150,000 kwa mwezi. Aidha, alisema Mfuko huo unalipa zaidi ya Sh. bilioni...
  18. The Sheriff

    Mkurugenzi PSSSF afikishwa mbele ya Baraza la Maadili

    Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ikiwa ni pamoja nakukopa kiasi...
  19. Nyendo

    PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa na kununua magari kinyume na taratibu

    PSSSF yakanusha tuhuma za Viongozi wake kujikopesha pesa za kujinunulia magari kinyume na taratibu. Awali mnamo 16, Sep 2022 Sekretarieti ya Maadili ilitoa Taarifa ya kuwaita Viongozi hao kwenye kamati ya maadili na kuwahoji kwa kujikopesha pesa kinyume na Utaratibu, fungua kiungo kusoma...
Back
Top Bottom