marekani

  1. MK254

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran. Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya...
  2. Alwaz

    Hivi ndivyo Marekani inavyojimaliza yenyewe,na haizuiliki kwani si mipango yake tena

    Baada ya kuitawala dunia kiuchumi na kijeshi kwa miongo kadhaa,sasa Marekani inaelekea kudondokea pua yake na hakuna wa kuizuia. Katika kipindi cha miaka kama 24 imeshiriki vita vingi vilivyokuwa na malengo mapana ya kuzipindua na kuzitawala nchi kadhaa na nyingi zao ni za waislamu. Hakuna hata...
  3. Alwaz

    Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

    Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza. Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili nyeti za jeshi la Isreael. Kati ya hayo makombora matano yalipiga kambi ya Nevatim kwenye jangwa la...
  4. K

    Unyanyasaji kwenye ubalozi wa Marekani

    Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa. Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu ya kuhifadhi mkoba au simu. Sasa sijui wanategemea ukienda huko usiende na pochi? Na je simu...
  5. Alwaz

    Israel imeshambuliwa kwa aibu na uzito wa kujibu ndio huu hapa

    Kutokana na taarifa za ukubwa wa jeshi la Israel na umiliki wa silaha za kisasa,haikutarajiwa kwamba kungetokea nchi yoyote ile ikajiamini kuirushia makombora kulenga maeneo yake muhimu hasa ikizingatiwa kuwa iliwahi kuyashinda mataifa kadhaa ya kiarabu mwaka 1967 katika vita maarufu vya siku 7...
  6. F

    Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

    Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache. Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
  7. Lady Whistledown

    Biden: Marekani haitashiriki katika Mgogoro kama Israel italipiza kisasi kwa Iran

    Rais Joe Biden amemwambia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwamba Marekani haitashiriki katika hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, ambayo ni chaguo la Baraza la vita la Israel baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani na makombora usiku wa Aprili 13, 2024 Tishio la vita vya wazi...
  8. Dr Matola PhD

    Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

    Duniani kuna mambo Sana, watu wengi wakiangalia mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa wanaamini kuwa dunia sasa imekwisha. Sasa Mimi ngoja niwaeleze dunia ndio Kwanza inaanza, utakwisha wewe tu. Je unazijuwa sarafu za dollar ya Marekani prulibus unum ambayo ndio Motto wa Marekani kwenye National...
  9. Melubo Letema

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay kukiwasha kesho Boston Marathon, Marekani

    Mwanariadha wa Kimatataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay anatarajiwa kukimbia kesho mashindano Makubwa ya Boston Marathon nchini Marekani, tukukumbuke Mwaka Jana alikimbia na kuwa mshindi wa pili 2:06:04 huku Evans Chebet kutoka Kenya akimshinda kwa 2:05:54. Kesho, Tena wanaingia dimbani...
  10. Ritz

    Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Wanaukumbi. Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza. Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu...
  11. M

    Maandamano makubwa yafanyika Niger kuitaka Marekani na mataifa mengine kuondoka Niger

    Idadi kubwa ya watu walijitokeza katika mji wa Yamai, mji mkuu wa Jamhuri ya Niger, wakitaka wanajeshi wa Marekani na nchi nyingine kuondoka nchini humo. Niger tayari imefuta makubaliano ya kijeshi na Marekani mwezi uliopita, na hii inakuja miezi michache baada ya mamlaka ya kijeshi ya nchi...
  12. MK254

    Marekani yasogeza meli za kivita na kuziweka mkao wa tayari kuichakaza Iran

    Iran imetafutwa siku nyingi na raundi hii naona inaingia yenyewe kichwa kichwa kwenye ndoano..... The U.S. rushed warships into position to protect Israel and American forces in the region, hoping to head off a direct attack from Iran on Israel that could come as soon as this weekend. The...
  13. DeepPond

    Marekani: Mchina alalamika kupigwa na polisi bila sababu

    Mchina huyo Amewaambia waandishi wa habari was gazeti la Washington post kwamba "Nilisimamishwa na polisi, nikaulizwa jina langu, ghafla nikashngaa naanza kushambuliwa na polisi hao bila kuambiwa kosa langu" "nmepoteza imani yote niliyokua nayo kwa hawa polisi wetu" aliongezea Mchina uyo...
  14. B

    Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

    1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi: 2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma: 3. Kumbe kipi kilicho bora zaidi, binadamu apitishwapo kwenye lindi la mauti? 4. Hadi pale Iran atakapothibisha vinginevyo...
  15. MK254

    Marekani wazindua drone yenye mwendo kasi mithili ya sauti - supersonic

    Waafrika tuendelee kushabikia hawa watu maana hatuna jinsi, wako mbali sana, sisi huku hata umeme wenyewe sio wa uhakika, kutwa migao tu. The drone, which resembled a rocket, flew 10 miles (16 km) at Mach 0.9 — over 680 miles per hour — using 80% of the engine's available thrust. This image is...
  16. B

    Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!

    1. Kumekucha! 2. Huku kuna watoa misaada kawauwa kwa makusudi, kule kuna jingine na Iran linatokotoka vilivyo; kavunja Geneva convention kwa kushambulia consulate ya wengine ugenini. 3. Alimradi mwana mkaidi kazini! 4. Sasa amri anayoielewa vyema imeshatoka; tena ya babaake kutokea white...
  17. Aramun

    Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N. Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada...
  18. C

    Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

    Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana na utapeli. Mshtakiwa mwenzake, Nafise Quaye, (47) raia wa Nigeria ambaye pia anaishi Worcester...
  19. U

    Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

    Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu. Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Moro" n.k, kwa kujidanganya ni kiwango sawa na bangi za Marekani, ni...
Back
Top Bottom