Hii game imesimamishwa kwa sababu ya Radi. Dakika 21'
Weather conditions cause a suspension of play.
The referee brings play to a halt and signals for both teams to head to the changeroom with the increased lightning around the stadium.
Game imeendelea baada ya Hali ya Hewa kukaa sawa
Hadi...
Wasalam
Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu
Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga
KESHO ANAKUFA MTU.
“Kwenye Derby, Mwenye moyo mgumu aje uwanjani” Ahmed Ally.
Nafikiri madunduka mmemsikia msemaji wenu. Kama unahisi hujiwezi, usije kutufia uwanjani. Maisha yako ni muhimu kuliko kolozidad ya mwamedi. Mwamedi enyewe anaweza asije, sasa wewe jitoe ufahamu.
Kuna Wapumbavu wanataka Kuwaangushieni Zigo la Mavi ( Nnya ) pale Timu ikifungwa basi Lawama zote zielekezwe Kwenu wakati GENTAMYCINE nina uhakika kuwa Adui namba moja wa Simba SC yetu ni Mwekezaji Mohammed Ghullum Dewji ( Tajiri Kibyongo ) na kamwe wala siyo nyie na hata kama ni kweli nanyi mna...
Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana.
"NENDENI KAPAMBANENI KUFA"
Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake.
Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp...
Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo.
Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya Wanasiasa , hatutakubali picha ya Mbunge wa Temeke wala Diwani wa kata ya miburani.
Ukiwa na kiherehere...
Tabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa.
Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia na kughalimikia burudani zao.
Ni hilo tu
Msemaji mwenye wadhifa wake na kaliba ya semaji la kimataifa ndugu Ally Kamwe amesema hayo leo
Ameyasema hayo kuwatoa hofu mashabiki og na wale chipolopolo wa Masandawana
Ugomvi wetu na Masandawana ni ndani ya dakika tisini tu
Hivyo wale mashabiki chipolopolo wa hapa bongo wanataka kwenda...
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo...
Uwanja wa Mkapa ni uwanja mzuri sana wenye sifa zote za kimataifa. Kinacghotia aibu ni pale mchezaji anapoumia, basi jamaa wa first Aid humbebva kwa machela, jambo ambalo ni la kizamani sana na huweza kusababisha mchezaji kuangushwa iwapo wabebaji hawatakuwa na kimo kimoja.
Imefika wakati wa...
Ni aibu mashabiki mechi kubwa kuingia dezo,uongozi wa Yanga umekuwa ukiamini mashabiki wao bila kiingilio kuwa bure hawezi kuingia uwanjani, kwanini wanapenda bure? Mechi kubwa kama hii kama ni bure je kwenye mechi ndogo ndogo hawa mashabiki wataenda uwanjani?
Kitu ukitolea jasho na gharama...
Waziri Ndumbaro ni msomi mkubwa wa Sheria, walau kwa kurejea historia ya elimu yake bila kujali uhalisia wa mambo anayofanya.
Kwamba Waziri Ndumbaro hajui kuwa FIFA hairuhusu serikali kuingilia masuala ya mpira wa miguu? na tangu lini uzalendo unalazimishwa? Ni kukosa ubunifu wa kuendeleza...
Naomba kufahamu,hii michezo ya CAF inayoendelea siku ya mechi jukumu la ulinzi ni la CAF,TFF au timu husika?
Maana mechi ya Simba na Jwaneng Galaxy kile kilichofanyika kinashusha hadhi mpira wetu kwenye ramani ya Africa, kuna mtu alijitokeza upande wa Jwaneng alikuwa anafanya mambo ya kijadi...
Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi
nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno
msije mkavunja viti tu uwanja wa taifa na kutupia bus la wachezaji wenu mawe. maana mna matokeo mfukoni tayari...
Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja...
Yaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa?
Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana Signal Uwanjani kwa Mchezaji mwenye Mahaba nasi au Wenzake Wawili Watatu ili wafanye kila wawezalo kwa...
Katika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii tabia ili vitendo hivi vipungue viwanjani kwani inatia kinyaa sana,
Wachezaji wenyewe ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.