wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    Wahuni wa CCM wana nguvu kuliko nguvu ya umma? Mbona kama wao ndio wanaamua mustakari wetu?

    Ziara za makonda alipokuwa bado ni mwenezi wa CCM ziliibua mambo mengi. Kero na uonevu wa kila namna. Ambao kimsingi ni aibu kwa serikali tawala ya rais Samia. Rais Samia mwenyewe akatoa tamko kuwa sababu kuna uonevu na madudu mengi dhidi ya Wanannchi basi atakuwa akisikikiza kero za kila...
  2. chiembe

    Padri Silvio Mnyifuna, ataka 2025 Samia aendelee ili wahuni wasipate nafasi

    Huyu ni Padri huko jimbo Katoliki,Mafinga, Iringa....Kwa sasa nyota ya SSH haishikiki, inakimbia kwa kasi ya mwanga au sauti. Si kwa wananchi wa kawaida, walimu na kila kada, kila kona ni Samia, sasa kishindo cha Samia kimefika katika kanisa katoliki. Watumishi wa Mungu ni moja kati ya watu...
  3. S

    Wasenegal wameikabidhi nchi kwa vijana Faye na Sonko. Wacha tuone kama wamebutua au wameupiga mwingi

    Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye. Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi. Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia CCM. Sasa...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Serikali imdhibiti Maulid Kitenge na kundi lake la wahuni wanaojiita Wasafi Jogging Group

    Huyu jamaa Kwa kutambua kwamba nchi Sasa Ina mbululaz wengi wanaojipendekeza Kwa watu maarufu huku wakijiita machawa akaanzisha kundi la kukimbia mchakamchaka barabarani. Mazoezi ni muhimu Kwa afya ya mwili na akili, lakini yasifanywe kihuni, yafanywe mahali sahihi na salama Kwa wafanya mazoezi...
  5. Mbogo_beichee

    Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

    Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana. Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi. Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi...
  6. Msanii

    Wahuni huuliza Katiba itakuletea maji, umeme na barabara?

    Hawana tofauti na wafuasi wa shetani ambao wanapotosha Neno la Mungu kwa maslahi yao binafsi. Tunataka KATIBA mpya na siyo hisani za rais
  7. C

    Yanga ni kikundi cha wahuni

    Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
  8. M

    Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti. Je, atagombea tena 2025?
  9. Poppy Hatonn

    Viongozi wa serikali wanatukanana kama wahuni wa Kariakoo

    Labda ipo njia ya kistaarabu zaidi ya kuandika haya mambo. Tunashangazwa wote nadhani katika haya maneno yanayosemwa kati ya Katibu Mwenezi Makonda na Waziri Bashe. Na pia wapo wengine. Haya ni mambo mabaya. Kama Mbunge Gwajima alivyokuwa anasema jana kwamba mtoto wa tajiri wa Unguja alitoweka...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo ya kuzingatia utapoamua kujiunga na Wahuni au genge la Wanywa Damu za Watu

    MAMBO YA KUZINGATIA UTAKAPOAMUA KUJIUNGA NA WAHUNI ÀU GENGE LA WANYWA DAMU ZA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sasa umekua Mkubwa. Ni kama maisha huyaelewi hivi. Umejaribu kufuata sheria na formula ulizopewa na wazazi au walezi wako lakini umeona hazifanyi kazi yaani ni useless kama sio...
  11. G

    Unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali?

    Hivi unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali ya Wahuni, viongozi wake wabinafsi, watu wenye roho mbaya, watumishi wala rushwa, hii nchi inakoendea vikundi vya waasi vitajitengeneza kutokana na ugumu wa maisha. Ajira za kujuana hata kama una vigezo hupati. Mfano kuna jamaa baba...
  12. Burkinabe

    Paul Makonda: Wahuni wameingia tena msituni nini? Siyo kwa ukimya huu

    Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo. Lakini kwa bahati mbaya pia kuna WAHUNI ambao wakipewa kazi, wanaliibia Taifa hili na kukalia kupiga majungu! Lakini...
  13. Majok majok

    Pale simba hakuna viongozi bali kuna genge la wahuni tu

    Ni ajabu sana na inasikitisha sana kwa timu inayojiita inao viongozi na viongozi hao hao wanashindwa kujua kanuni walizoshirikishwa kuzitengeneza juu ya viwanja vya kuchezea ligi kuu na FA? Kiongozi bila aibu eti anaomba timu ikachezee Zanzibar kwani huku bara hakuna viwanja? Wamekimbia CHAMAZI...
  14. Chizi Maarifa

    Wale wahuni waliomuua Ghadaff nawalaani. Kila ninapopita na kuona kazi aliyofanya

    Muamar Ghaddaf alitusaidia sana kujenga Misikiti. Ukipita barabara ya kwenda Mwnza unakuta kiia baada ya kms kadhaa pembezoni mwa barabara kuna Msikiti. Ukienda Tanga vivyo hivyo, ukienda Ntwara, ukienda Mbeya, Rukwa... Kiukweli jamaa alikuwa jembe sana. Na pale Dodoma alitujengea Msikiti...
  15. M

    Ex kaachwa Tena, wahuni tuna-pop Champagne 🥂

    Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾
  16. Kiboko ya Jiwe

    Haya Wahuni sasa mtasema nini?

    Muhuni mwenzenu kampokea Yesu na anawaita
  17. GENTAMYCINE

    Hawa wahuni na vibaka wanaobaka na kuwaibia ovyo akina Mama na Mabinti kwanini wanachekewa hivi?

    Nashauri wale Wanajeshi MP wa Lugalo, waliowapiga ovyo ( bila Hatia ) Raia wa Kawe na Kuwatesa huku Wengine wakiwajeruhi vibaya wapelekwe huko Mbagala wakakabiliane na hawa Wahuni na Vibaka wa huko Mbagala ambao sasa wamekuwa ni Kero Kubwa kwa Wakazi wa huko hasa Wamama na Mabinti. Hali si...
  18. R

    Bandari, ardhi, misitu na maliasili zetu, ni Mali ya URITHI, hazitauzwa wala kukodishwa kwa wageni, kataa wahuni

    Salaam, Shalom!! Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni. Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya kutusahaulisha wanaukoo juu ya kilichofanyika. Jambo muhimu juu ya nini Hasa kilisainiwa kwenye mkataba Ule...
  19. BICHWA KOMWE -

    Kwanini Madaktari wengi wahuni?

    Hawa madaktari wa siku hizi ni kama wamevamia fani? Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa. Ukizungumza nae hakusikilizi, yuko bize anachati WhatsApp halafu kaweka earphones. Kavaa mlegezo na KIDUKU. Ati daktari! Sijui walifunzwa...
Back
Top Bottom