young

  1. baba aura

    Young african fans (mashabiki wa yanga) special thread

    Huu Uzi no maalumu kwa mashabiki wa ile timu inayopiga soka la kitabuni na clabu kubwa Africa kwa sasa nayo niyanga sc tu na si wengineo hapa funs tuwe tuna update habari/taaifa,ratiba na kadharika DAIMA MBELE NYUMA MWIKO!
  2. Kichwa Kichafu

    Young Africans inaweza kucheza mpira hata kwenye moto

    Habari. Kama Itatokea Siku Moja Duniani Mpira Ukahitajika Kuchezwa Kwenye Moto Basi Naamini Kabisa Timu Namba Moja Ambayo Dunia Itafikiria Ni Young Africans. Tumeweza Kucheza Mpira Kwenye Mazingira Yote Na Matokeo Yanakuwa Mazuri. Kwenye Jua Mtu Anapigwa, Kwenye Mvua Mtu Anapigwa, Kwenye...
  3. Escotter20

    Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC

    Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️. Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya kushinda) na kuna underdog (anayepewa nafasi ndogo ya kushinda). Sasa ipo hivi, kutokana na...
  4. ndege JOHN

    Msodoki young killer-🔥msukuma Mjanja 🎶

    Ngoma imeachiwa jana iko katika platforms isikilize baadhi ya mistari nimeikubali anakwambia Boss hana neno ila wapambe wana nguvu Moyo una amani karume and my soul is free Nawapoteza fasta kama joto ndani ya room ya AC UKIAMBIWA UNAJUA HADI UNAKERA INABIDI UPUNGUZE UJUAJI maana unaweza...
  5. Vincenzo Jr

    FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰 🏆 #CRDBFederationCup ⚽️ Dodoma Jiji🆚Young Africans SC 📆 10.04.2024 🏟 Jamhuri, Dodoma 🕖 2:00 Usiku #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Dodoma Jiji FC #CRDBFederationCup #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko mpira umeanza dakika 3 goallllllllll...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Kama uamuzi wa refa jana kati ya Young African na Mamelod ungefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia nguvu ya umma ambayo hakuna askari angeidhibiti

    Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga. Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao. Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
  7. covid 19

    TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick...
  8. covid 19

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Yaani ni jambo la ajabu sana kukataaa goal la wazi km hili how yaani var ikatae hii ni aibu sana kwa rais wa caf matsope sijui na team yake ya mamelod yaani ni aibu kwenye mpira wa africa kabisa. Mimi nataka kujua haiwezekani kukata rufaa kama umedhulumiemwa kwenye hatua hizi za robo fainali...
  9. Kichwa Kichafu

    Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Habari. Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Wanauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari. Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo...
  10. Zouzoutz

    Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu Twende kazi
  11. Zouzoutz

    Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu Twende kazi
  12. N

    Dar Young Africa, together forever..

    Habari zenu.. Napenda kuleta huu uzi ulio na mapenzi ya dhati juu ya timu yangu pendwa kuliko timu zote duniani DAR YOUNG AFRICANS. Mahaba yalianza toka nikiwa mtoto mdogo sana, kweli naweza kusema naipenda yanga sana, ni timu iliyojaa historia kubwa sana Africa mashariki na kati,WE GREENS...
  13. mtwa mkulu

    Kuelekea Mechi ya wanaume Dar young Africa V. Mamelod fc

    KISASI NI HAKI🔰 Mwaka 2001 Yanga ilikutana na Mamelodi Sundowns katika hatua za awali kwenye ligi ya mabingwa barani Africa .Mamelodi ilikua ya moto kwelikweli ikiwa Chini ya Mwanamama Natasha Tshiclas aliyekua mkurugenzi mkuu kabla ya kumuachia timu Patrice Motsepe. Matokeo yalikua 3-3 uwanja...
  14. Frank Wanjiru

    Some facts you don't know about Young Africans

    1.Its called team of citizens "timu ya wananchi" because its owned by fans (51% shareholding). 2. Its most popular team in Tanzania with huge fan base approx more than 35 millions fans that are recognized 3.Team is under managerial transition process which is supervised by laliga. Soon team...
  15. Danielmwasi

    Kila mchezaji wa Young Africans SC atakuwa bilionea kwa Shilingi za Tanzania

    Hii ni fursa adimu na inahitaji juhudi kubwa kutoka kwa wachezaji. Wanapaswa kujituma na kufanya vyema ili kufikia malengo haya makubwa. Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kufikia mafanikio hayo against mamelodi. 🌟🇹🇿 Kufikia mafanikio ya kuwa bilionea ni ndoto kubwa kwa...
  16. Zouzoutz

    Mashabiki wa Kaizer Chiefs: Tutawaunga mkono Yanga washinde ushindi wa kishindo Tanzania na hapa nyumbani

    Mashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia likiwafundisha adabu Masandawana Wametangaza kuwa wapo tayari kutoa msaada wa Hali na Mali,wa kamati za...
  17. African businesses

    Young African vs Mamelod sundown (Daud vs Goliath)

    Wananchi niwatoe pressure Yanga anakwenda nusu fainal huu msimu, najua watu watapinga sababu ya mpinzani anayekutana naye ila muda utaongea vizuri. Kwa sasa ni vigumu kuwaambia kwamba yanga atafuzu nusu fainal na kueleweka, lakini hii vita ni kama ya Daudi na Goliath Uzi wangu wa nyuma...
  18. D

    Tunaomba mechi ya Young Africans na Mamelodi Sundowns ipewe hamasa ya Gamondi Day

    Asalaam Aleikum, Hopefully kila mtu kapokea results za quarter finals za CAFCL kwa namna anayoijua yeye. Sisi kama Mashabiki wa Young Africans tumefurahia kwa kiasi kupangwa na Mamelodi na furaha imezidi kuwa kubwa tukijua kwamba tuna kikosi kipana, kocha mzuri na wachezaji wenye uwezo mkubwa...
  19. Danielmwasi

    Young Africans SC: A Force to Be Reckoned With in the 2023/24 Season

    the 2023/24 season. Their relentless work ethic, tactical prowess, and ability to exploit spaces have made them a formidable team. Let's delve into what makes this young squad so intriguing. The Hardworking Approach From the training ground to match day, Young Africans exemplify hard work...
  20. Pendragon24

    Viongozi Young Africans Wavunja Katiba

    Mkurugenzi mpya wa masoko, wanachama na mashabiki wa klabu ya Young Africans ndugu Ibrahimu Samweli anatoa wapi mamlaka na uhalali wa kuvunja uongozi wa kuratibu shughuli za matawi ya yanga mkoani Morogoro..!!!? Ikiwa yeye mwenyewe ni mwajiriwa tu pale klabuni. Kitendo cha kumtoa Mratibu wa...
Back
Top Bottom