nguo

  1. Tlaatlaah

    Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

    Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
  2. MamaSamia2025

    Fashion za nguo ambazo sizipendi nikaona bora zinipite

    Mimi ni mtu ninayependa kuvaa vizuri na kula vizuri. Kumbukumbu zangu zinaonyesha mara ya mwisho kununua mtumba ni miaka mingi ishapita hata zaidi ya 10. Nilijiambia bora niwe na nguo chache ila za ubora wa hali ya juu ambazo hata nikivaa najiongezea thamani yangu. Na ninapenda fashion nzuri...
  3. ndege JOHN

    Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

    Nani mwingine ana zoea kama la kwangu la kununua nguo kila unapoletewa na mtembezaji. Nikikaa home naona nimejaza sana nguo hata ambazo sizivai masanduku Kwa makabati Mpaka chumba kinageuka kero kinanuka nguo(mitumba hasa +dukani). Kila nikitaka kuzigawa nashindwa nianzie wapi ama nimpe nani na...
  4. Tlaatlaah

    Si sawa Kurudia nguo bila kufua, hasa wakazi wa Maeneo yenye Joto

    Na hasa nguo za ndani mfano chupi, bra, boxer, vests. Wanao kuwa jirani nawe wanapata tabu sana kwa uzito wa fukuto la hewa nzito ya kiutu uzima, isiyostahimilika kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, huku ukiwa umechomekea mwenyewe. 🐒 Kumbuka mwili una hema, na vilevile mwili unapumua. Dah...
  5. GENTAMYCINE

    Yaani nimenunua Mwenyewe Nguo ya Mamelodi Sundowns halafu Waziri wa Tanzania anipangie namna ya Kuivaa Jumamosi?

    Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni. Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC. Uzalendo...
  6. M

    Nguo ya ndani bora kwa mwanaume

    Wakuu kwema, poleni na majukumu. Aisee nina changamoto ya fungus, nadhani zinatokana na hizi boxer ninazovaa. Humu mapajani kunasuguana mno, napata maumivu makali wakati wa kutembea. Kuna muda inabidi nitembee kama nimetoka kutahiri kumbe ni kuhofia ile friction ya mapaja hapo kati. Sasa...
  7. onike kaponko

    Biashara ya nguo za watoto

    Naombeni ushauri nahitaji kufungua kampuni ya kuuza nguo za watoto kutoka china na uturuki me na ke kuanzia miaka 2-15 niwe nauzia Wafanyabiashara wakubwa na wadogo vipi kuhusu soko hilo la nguo kwa tanzania
  8. DR Mambo Jambo

    Shairi: Swala la Umeme na Bunge wahenga wanasema "Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"

    Mwerevu akivuliwa Nguo hasimami Huchutama"(Mmetupunguza Ubongo,Mnatuchuza Hadharani) Achutama zivukapo, mwerevu zake 'zo Nguo, Kuinama aketipo, soniye ndio chaguo, Tena hata aitwapo, huitika kwa rudio, Mmetupunguza Bongo, mwatuchuza Hadharani. Mwatuchuza Hadharani, mmetupunguza Bongo, Wengine...
  9. FRANCIS DA DON

    Je, kuna ubaya gani Serikali ikaruhusu sukari iagizwe kwa uhuru kama nguo Kariakoo?

    Tunafahamu lengo ni kulinda viwanda vya ndani, ila je, hivyo viwanda vya ndani vinakidhi mahitaji? Kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani, mbona viwanda husika haviongezeki ukubwa wala idadi? Kwanini havikuwi pamoja na ukinzi wote huu at the expemse ya WaTZ kununua sukari shs. 6,000/= kwa...
  10. Matulanya Mputa

    CCM imevuliwa nguo na Makonda leo imechutama

    Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo. Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia ungekuwa unasema ungesema. Lakini kwakuwa hauna historia ya kusema hauwezi sema. Leo Makonda kijana...
  11. Ricky Blair

    Wapi naweza kupata nguo za Cowboy

    Jamani natamani sana hizi nguo za cowboy; Hapa Dar au Tanzania naweza kuzipata wapi full complete na kwa bei rafiki?
  12. H

    Ukitaka kuwanyang'anya silaha wamasai basi ubadilishe kabisa utamaduni wao hata nguo wasivae nguo zao zinazopepea

    Twendeni kwenye mada baada ya Salam. Yaani mmasai atembee na nguo yake ile inayoopepea pepea bila kuwa na rungu ,sime au fimbo ni ngumu sana. Yaani hapo unachotakiwa kufanya ni overall nzima ya utamaduni wake yaani kuanzia sasa waache kuvaa mashuka na waanze kuvaa majeans na macadet na waanze...
  13. B

    Jifunze jinsi ya kukunja nguo mbalimbali

    Watanashati mpo? Angalia hapa njia mbalimbali za kukufunza jinsi ya kukunja nguo. Hii ni nzuri sana hasa ukiwa na nafasi ndogo ya kuweka nguo na hata muda wa kusafiri, inafanya ndio zako zinakuwa katika mpangilio mzuri na hazijikunji ovyo. Jinsi ya kukunja shati Jinsi ya kukunja tisheti...
  14. BARD AI

    Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

    "Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili. Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio...
  15. Ubungo Mataa

    Mzoefu wa biashara ya nguo za mtumba anahitajika

    Wakuu heshima itawala.. Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana. Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza...
  16. V

    INAUZWA Nauza nguo za watoto

    Karibuni sana beichee outfit tunauza nguo za watoto wa kike na kiume jipatie gauni za watoto Kwa Bei chee jumla na rejareja Jumla 5000 kuanzia 5 Rejareja 7000 Mawasiliano 0657710078 Tunapatikana temeke dar es salaam Mkoani tunafanya delivery
  17. M

    Yanga kumsajili Okrah ni sawa na kuweka kiraka kikuu kwenye nguo mpya!

    Ni suala la muda tu itakapodhihirika kuwa walichokifanya ni sawa na kuweka kiraka kikukuu kwenye nguo mpya! Ni hayo hayo Bernard Morrison! Soka la kisasa nidhamu inapewa kipau mbele kuliko kipaji!! Nidhamu mbovu huua kipaji na kuleta hasara kwa timu na mchezani, yetu macho!!
  18. TUKANA UONE

    Hii Midoli inayovalishwa Nguo za ndani za Kike na kusimamishwa hadharani inawaaibisha wanawake na mama zetu!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza Boxing day ipite,la sivyo utaambulia Pilau kavu lisilokuwa na nyama! Leo nilikuwa na wazazi wangu wa kike nilikuwa nawapeleka mahali fulani,sasa mahali nilipokuwa nawapeleka jirani ya huyo mtu aliyepaswa wakaonane nae kulikuwa na duka la nguo za ndani (Lingerie)...
  19. Nsanzagee

    Kuwa na shule zinazofua hadi nguo za watoto, ni matokeo ya uzembe na kupenda kuiba mali za umma!

    Mtoto anakuwa boarding maisha yake yote, huko hafanyi kazi yoyote, hafui wala kukimbia mchakamchaka, tumeiga mifumo ya wapi huko? Na hapa ndipo chanzo cha kuharibu vijana wa nchi hii, Mtoto ambaye hawezi kufanya kazi zaidi ya kukaa tu, atapata wapi uchungu wa nchi na maliasili zake? Ataweza...
Back
Top Bottom