kujengwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Bilioni 286 Kujenga Uwanja Mpya wa "Samia Suluhu Hassan Arusha Stadium" Kwa Ajili ya AFCON 2027

    Serikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027. Uwanja huo utagharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 286. Kazi iendelee 👇👇 https://youtu.be/q05ytnyfpa0?si=jLrsYa4X_7tKcjKO...
  2. Expensive life

    Uwanja pekee unaoweza kujengwa pale jangwani ni wa kufugia majini

    Wananchiiiii 😃😃😃 nikisema nyie ni mazuzu nitakuwa nakosea? Eti uwanja mpaka siku mkiuchomoa huo mwiko ndio mtakuwa na akili. Hivi uwanja wenu utakuwa unaingiza mashabiki wangapi? Contractor tayari mmeshampata? Ameshafanya tathimi ya eneo ambalo uwanja utajengwa? Kwa geography ya eneo la...
  3. peno hasegawa

    Natafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa kwa kiwango cha lami

    Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
  4. Stephano Mgendanyi

    Barabara Zinazounganisha Tanzania na Nchi Jirani Kuendelea Kujengwa na Kukarabatiwa

    BARABARA ZINAZOUNGANISHA TANZANIA NA NCHI JIRANI KUENDELEA KUJENGWA NA KUKARABATIWA Serikali kupitia Wakala wa Baraba Nchini (TANROADS), inaendelea na Ujenzi na ukarabati wa Barabara zinazounganisha Tanzania na nchi zote jirani ikiwemo nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) kwa awamu...
  5. Ziroseventytwo

    Ni kweli barabara ya Morogoro iliwahi kujengwa kwa kutumia udongo ulioagizwa toka misri?

    Niliwahi kusoma kwenye gazeti la RAI kuwa tuliagiza udongo toka Misri kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Morogoro enzi za Serikali ya mzee Mwinyi. Inadaiwa ni kipande cha kutoka Fire kwenda Kimara. Kuna ukweli kwenye hili?
  6. Stephano Mgendanyi

    Barabara ya Mbeya - Mkiwa Kuendelea Kujengwa kwa Awamu

    BARABARA YA MBEYA - MKIWA KUENDELEA KUJENGWA KWA AWAMU. Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mbeya - Chunya - Makongolosi - Rungwa - Mkiwa (km 503.36) kwa awamu ambapo sehemu ya Mbeya - Chunya - Makongolosi (km 111) ujenzi...
  7. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kujengwa Upya

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na muda wake kuisha. Bashungwa amesema hayo Wilayani Ludewa, mkoani Njombe wakati akizungumza na...
  8. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Barabara ya Ramadhani - Iyayi KM 74 (Wanging'ombe) Kujengwa kwa Kiwango cha Lami

    WAZIRI BASHUNGWA: BARABARA YA RAMADHANI – IYAYI KM 74 (WANGING’OMBE) KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya Ramadhani – Iyayi yenye urefu wa kilometa 74 ambayo imekuwa ni kilio kikubwa cha...
  9. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa aagiza Daraja la Nzali-Chamwino kujengwa haraka

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu wa daraja hilo kukamilika. Akizungumza na wananchi wa...
  10. peno hasegawa

    KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F mradi huu umefikia hatua Gani?

    Kuna siku niliona mikataba ya miradi hii ikisainiwa. Miradi hii imefikia hatua Gani? Ni mwaka Sasa umepita tangu nione miradi ikisainiwa.
  11. BARD AI

    Tabata Dar es Salaam: Nani ametoa Kibali cha Vituo 3 vya Mafuta kujengwa ndani ya eneo la Makazi tena chini ya umbali unaotakiwa?

    Kuna vitu nchi hii vinafanyika kihuni sana. Hivi nani anatoa kibali kujenga Vituo vya Mafuta bila kujali umbali unaotakiwa wala kuangalia athari kwa makazi ya watu? Pale Baracuda Tabata kuna Vituo vitatu vinajengwa ndani ya eneo moja tena vimekaribiana mno kiasi ambacho unajiuliza kwanini hatua...
  12. Tabutupu

    Tetesi: Njombe Airport kuanza kujengwa

    Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa KM 3.5 .
  13. peno hasegawa

    Barabara ya kilomita 13 Matundasi - Chunya -Itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami?

    Kuna mahali nimesoma kwenye bajeti ya maendeleo ya serikali kuu 2023/24 inaonesha barabara ya matundasi kwenda itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami. Mwenye uelewa wa jambo hili ninaomva atujuze. Je, mkandarasi alishapatikana? Je, ujenzi unaanza lini?
  14. BARD AI

    Prof. Tibaijuka: Mimi nilikataa Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi kujengwa Jangwani, Sikuwa na Madaraka ya Kuzuia

    Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
  15. C

    Tunaendelea tu Kujengwa Kisaikolojia kwa Kipigo cha leo Usiku kutoka kwa Mwarabu huko Algeria

    "sisi wana yanga sc lengo letu ni alama ( points ) tisa ( 9 ) kwa mkapa na huko ugenini hata tukifungwa au kutoka sare au suluhu sisi wala hatujali na hatutoumia kivile" wamesema viongozi waandamizi walioambatana na yanga sc huko nchini Algeria Cognizant "Think Tank and Adorable Angel"...
  16. S

    Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Kuna nadharia mbili hapa. 1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii. 2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au...
  17. JanguKamaJangu

    Dar: Wananchi Mikocheni wagomea Kituo cha Mafuta kujengwa kwenye makazi yao

    Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao. Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
  18. G

    Ujenzi wa wa njia ya mabasi ya Mwendokasi barabara ya Nyerere unasababisha kero ya foleni

    Wadau, Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala. Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile: Bandari Nyingine Kujengwa Mtwara

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: BANDARI NYINGINE KUJENGWA MTWARA Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amesema pamoja na kuwa wizara hiyo ina mipango ya muda mfupi katika usimamizi na matumizi ya bandari ya Mtwara, Serikali inakwenda kujenga bandari nyingine mkoani humo katika eneo...
  20. F

    The Hexagon Arusha Stadium, uwanja wa kisasa kabisa wa mpira wa miguu kujengwa Olmoton Arusha

    Mwananchi Communications Limited Serikali ya Tanzania imejipanga kwelikweli katika kubeba jukumu la uenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 itakayoshirikiana na nchi za Kenya na Uganda. Mara baada ya nchi kutambua kuwa inataka uenyeji wa fainali hizo zitakazokuwa za 36...
Back
Top Bottom