njombe

  1. B

    Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe awashukuru Wajumbe kwa kumuamini miaka mitano tena

    Njombe, Tanzania CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa mwenyekiti wa mkoa. Miaka mitano iliyopita CHADEMA iliweza kusimama imara wakati mgumu wa mikutano na...
  2. Miss Zomboko

    Njombe: Mtoto wa Miaka 12 akamatwa kwa tuhuma.za kumlawiti Mtoto wa Miaka 10 kiasi cha kumuharibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mtoto wa umri wa miaka (12) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la nne (10) katika shule moja iliyopo Makambako mkoani Njombe. Hayo yamebainishwa leo Aprili 13, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga zungumza na waandishi wa...
  3. GoldDhahabu

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe! Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na umbo dogo sana lakini akawa ni mtu "mkubwa" sana. Watu wengi wa Njombe wana maumbo madogo, unaweza...
  4. Lady Whistledown

    Njombe: Mtendaji wa Kijiji ashtakiwa kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 200,000

    Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022) Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
  5. Lady Whistledown

    Njombe: Mtendaji wa Kijiji ashtakiwa kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 200,000

    Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022) Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
  6. Erythrocyte

    Rose Mayemba aomba tena Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye maeneo ambayo awali yaliamini kwamba CCM ni dini , ameomba tena nafasi ya uenyekiti wa Chadema Mkoani...
  7. GoldDhahabu

    Geita isipojihadhari, itakuja kuachwa mbali sana na Njombe

    Mikoa yote miwili, Geita na Njombe, inalingana kiumri. Ilianzishwa mwaka 2012. Kila mkoa una rasilimali ya kipekee tofauti na mkoa "mwenzake". Njombe kumeshamiri kwa kilimo, hasa miti ya mbao na nguzo pamoja na kilimo cha parachichi, wakati Geita inatamba kwa uchimbaji dhahabu. Kwa utajiri...
  8. GoldDhahabu

    Kwanini mkoa wa Njombe una vilima vingi?

    Nimeishi Mwanza! Nimefika Chunya mkoani Mbeya. Nimeshafika Iringa. Zanzibar napafahamu. Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi. Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya...
  9. M

    Mgogoro wainuka kati ya Wananchi na TANROAD Njombe

    Kumekuwa na msuguano mkali kati ya wananchi wa Kitulila na Uongozi wa wakala wa Barabara mkoa wa Njombe. Wananchi wanapinga kusudio la Tanroad kuchepusha Barabara ya Njombe Ludewa kwenye mradi wa Itoni-Lusitu wanadai Barabara hiyo inakwenda kuharibu mito kwa itapita kwenye vilima ambavyo ndio...
  10. BARD AI

    Njombe: 50% ya Wanakijiji wa Utiriri wadaiwa kuwa Walevi

    Asilimia 50 ya wakazi 1,200 wa kijiji cha Utiriri kilichopo kata ya Lupanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamedaiwa kuwa ni walevi hali ambayo inasababisha watoto wao kukosa lishe bora. Afisa lishe halmashauri ya wilaya ya Ludewa John Kiusa ametoa taarifa hiyo kwenye kampeni ya lishe wilayani...
  11. J

    Daraja la Ruhuhu laboresha mawasiliano mkoa wa Ruvuma na Njombe

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe ambalo limekuwa mkombozi kwa wananchi wa Mikoa hiyo. Ameongeza kuwa kukamilika kwa daraja hilo kumewafanya wananchi waishio...
  12. Stephano Mgendanyi

    Daraja la Ruhuhu Laboresha Mawasiliano Mkoa wa Ruvuma na Njombe

    DARAJA LA RUHUHU LABORESHA MAWASILIANO MKOA WA RUVUMA NA NJOMBE. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe ambalo limekuwa mkombozi kwa wananchi wa Mikoa hiyo...
  13. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kujengwa Upya

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na muda wake kuisha. Bashungwa amesema hayo Wilayani Ludewa, mkoani Njombe wakati akizungumza na...
  14. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Rais Samia Anapiga Lami Barabara ya Kibena - Lupembe Mkoa wa Njombe

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuanza ujenzi barabara ya Kibena - Lupembe (km 42) kwa kiwango cha lami ili kuufungua mkoa huo kiuchumi hasa kutokana na kilimo cha chai kinacholimwa katika kata ya Lupembe Halmashauri ya Njombe. Ameyasema hayo mkoani Njombe...
  15. Dexta

    Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa. Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe...
  16. BARD AI

    Polisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Hassan Banga amesema Tumaini Luvanda (35) Mkazi wa Dombwela Wilaya ya Makete Mkoani Njombe aliyeuawa kwa kukatwakatwa na panga vipande na kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, na baadhi ya viungo vyake kutupwa Mtoni katika eneo la Kabinda Wilayani...
  17. Roving Journalist

    Njombe: Juma Kyando, adaiwa kumuua mke wake kisha kumkata vipande na kwenda kumtupa mtoni

    Tumaini Luvanda (35) mkazi wa Dombwela wilaya ya Makete mkoani Njombe ameuawa kwa kukatwa na panga vipande kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili na baadhi ya viungo kutupwa kwenye mto jirani na nyumbani katika eneo la Kabinda wilayani humo ambapo tayari Polisi inamshikilia Juma Kyando (36)...
  18. Tabutupu

    Tetesi: Njombe Airport kuanza kujengwa

    Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa KM 3.5 .
  19. JanguKamaJangu

    Wakazi wa Ludewa - Njombe wadai wanagongwa mihuri mgongoni kimiujiza

    Wakazi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamelalamikia kugongwa mihuri kimiujiza katika maeneo ya mgongoni, huku wakielekeza tuhuma hizo kwa baadhi ya wazee wa kijiji cha Kilima hewa. Wakazi hao wamelazimika kuitisha mkutano maalumu ili kujadili suala hilo ambapo wamesema, awali tatizo hilo...
  20. Nyafwili

    Njombe: Wananchi Wagongwa Mihuri Kichawi Migongoni

    𝗪akazi wa wilaya ya ludewa mkoa wa njombe wamelalamika kugongwa 𝗠IHURI kimiujiza katika Maeneo ya mgongoni, huku wakielekeza tuhuma hizo kwa baadhi ya wazee wa kijiji cha kilima hewa. Wamelazimika kuitisha mkutano maalumu ili kujadili suala hilo ambapo wamesema, awali tatizo hilo liliripotiwa...
Back
Top Bottom