visiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kisukari ni tatizo kubwa zaidi kwa Waarabu na watu wa visiwani!

    Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo. Inasemekana...
  2. III II II II II

    Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino. Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu...
  3. Mganguzi

    Serikali iitishe kura ya maoni Wazanzibari waamue upya kama wanautaka muungano ili isionekane tunawalazimisha

    Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani inaweza kuvunjwa na kujengwa mpya inayoendana na wakati, basi hata muungano kwa sasa ni jumba la kale...
  4. Roving Journalist

    TANAPA yawasili visiwani Zanzibar kunadi vivutio na fursa za uwekezaji

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wamewasili Visiwani Zanzibar kushiriki kwa mara ya kwanza Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyofunguliwa tarehe 10.01.2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussen Ali Mwinyi eneo la Dimani - Fumba Zanzibar ili kunadi...
  5. S

    Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

    Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua. Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi. Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
  6. Roving Journalist

    Rais Samia akiwa katika ziara Wilaya ya Kusini Unguja, Zanzibar, leo Agosti 29, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara Wilaya ya Kusini Unguja tarehe 29 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar. https://www.youtube.com/live/LlyEZLuVGeU?si=3tvUhyO8r-RMSUIO Rais Samia amezindua madarasa Mapya 6 Buyuni Shule ya Msingi pamoja na kuzindua holi la...
  7. matunduizi

    Kwanini historia ya dunia inaonyesha watu wa visiwani huwa wana uwezo mkubwa wa utawala kuliko watu wa bara?

    mfano 1: JAPAN Ilikuwa na uwezo mkubwa na ikatawala kuanzia China, Korea, na viunga vyote vya maeneo jirani na nchi hizo. Hakuna aliyefurukuta. 2: Watu wa Visiwa vya uingereza, enzi zao walitawala karibu dunia nzima. Hadi kukawa na msemo, Uingereza jua halizami, wakimaanisha likizama huku hata...
  8. H

    Siuoni mchango wa wabunge toka visiwani kwenye bunge la Muungano

    Huwa naangalia Sana bunge letu likiwa live. Huwa sioni mchango wa wale ndugu 54 kutoka Zanzibar ilhali kila siku wanachukua posho. Nashauri Kama inajadiliwa wizara isiyo yamuungano, hawa 54 wasiingie bungeni na wasipewe posho kwa siku husika. Mbunge kutoka Zanzibar atachangia nini kwa mfano...
  9. Black Opal

    Tujihesabie maumivu au tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini?

    Kama tumesikia visiwa vinauzwa wageni, mbuga nazo zinabebwa, madini huko nako ni kichomi kingine, bandari imekuja kuongeza msumari wa moto kwenye kidonda halafu wanakuja kukanisha sio miaka 100 ni miezi 12! Uwekezaji tu uliofanywa ni zaidi ya miezi hiyo, hapo hujaagalia utekelezaji, faida na...
  10. K

    Shule ya Dkt. Samia Suluhu Hassan visiwani Zanzibar

    Ikiwa leo ni maadhimisho ya miaka 59 muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tunatambua kazi kubwa inayofanywa na viongozi wetu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu na Rais Dkt. Hussein Mwinyi katika kuleta maendeleo ya Tanzania. Tanzania ilipata mkopo wa ahueni ya UVIKO-19 na maelekezo ya Rais Samia ni...
  11. Analogia Malenga

    Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

    TO ALL TOURISM ESTABLISHMENTS ZANZIBAR RE: THE HOLY MONTH OF RAMADHAN 2022 I have the honor to refer to the above subject. Ramadhan is one of the five pillars of Islam when Muslims are abstaining from eating from sunrise to sunset. During this month you are strongly required to observe the...
  12. Kaka yake shetani

    Ubaguzi uliopo visiwani kwa Wabara inatosha kuwabembeleza, hata wakiwa huku bara ni vilevile

    Hawa ndugu zetu wa visiwani washajua kuwa tunawakumbatia sana ndio maana kujishugulisha hata kielimu washaona tu mtawapa nafasi zao ajira bakini nyie wa bara someni mpaka mkome. Kama tutaendelea kuwabembeleza nao hipo siku watatueleza wazi kwamba tuachane nao. Inanishangaza kwenye nafasi za...
  13. Lady Whistledown

    Matukio ya Ukatili wa Kijinsia yaripotiwa kuongezeka Visiwani Zanzibar

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimeripotiwa kuendelea kuongezeka visiwani hapa ambapo Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali inaonesha matukio hayo yakiongezeka kutoka matukio 1,222 mwaka 2021 hadi matukio 1,360 mwaka 2022, ongezeko ambalo ni la matukio 138. Takwimu hizi zilitolewa hapo Januari...
  14. NetMaster

    Elimu siyo kipimo cha tabia na ustaarabu, kwa afya ya demokrasia tuendelee kuchagua Marais wa Kanda ya Pwani na Visiwani

    Kigezo kikuu ni sehemu hizo wanazotoka na wala si dini, Ni mkoa wa Pwani na visiwani na wala sio ukanda mzima huko Tanga kwa mzee makamba, Mtwara kwa bwana Nape, Lindi, n.k. Kwao ustaarabu ni sehemu ya maisha yao, wanapokuwa maraisi huwa kuna nafuu ya kuendesha nchi angalau kwa demokrasia, si...
  15. peno hasegawa

    USHAURI: CCM iwe na Katibu wa Itikadi na Uenezi upande wa Bara na Makamu wake atoke visiwani

    Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. CCM upande wa bara tumepiga na kitu kizito itakapofikia muda wa kutoa...
  16. M

    Usafirishaji wa Mizigo na Vifurushi (Mikoa Yote Tanzania Bara Na Visiwani)

    Usambazaji wa mizigo mikoa yote ya Tanzania – Bara na Visiwani. Marathon Logistics inapenda kukufahamisha kwamba inatoa huduma za usafirishaji wa mizigo (midogo midogo na mikubwa) na vifurushi ndani ya Tanzania – Bara na Visiwani. Hii ni: Kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa yote ya Tanzania –...
  17. CM 1774858

    Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna shaka Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwavusha watanzania hadi 2030 kutoka na uwezo mkubwa uliounesha katika uongozi na utendaji uliotukuka. Akizungumza katika kongamano maalum la kumpongeza Rais Samia huko Unguja leo hii, Shaka...
  18. hamis77

    Yanga wanachangisha pesa ya mganga kutoka visiwani

    Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA jioni linatembea la kuchangia pesa ya mganga kutoka VISIWANI Zanzibar, Lina karibu wiki 2, uchangiaji...
  19. L

    Rais Mwinyi azindua tamasha la Sanaa na Utamaduni visiwani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo. Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
Back
Top Bottom