uendeshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    Duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi

    "Uko duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi pindi wanapograduate. Na hii inatokana na mifumo mizuri ya uendeshaji inayozingatia upatikanaji wa mda kwa mwanachuo kujitafuta nje ya ratiba ya masomo yake. "Huku kwetu, nmekutana na kijana mmoja...
  2. Candela

    Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage. Tuchukue mfano kesi ya hivi karibuni huko Vancouver, mmiliki wa Hyundai Ioniq 5 ya mwaka 2022 alipata ajali...
  3. Roving Journalist

    Tanzania yaongoza Kikao cha Kamati namba 2 ya Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (UPU)

    Tanzania imeongoza kikao cha Kamati namba 2 ya Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (UPU) kwenye vikao vya Baraza hilo vinavyoendelea Jijini Berne, Makao Makuu ya Nchi, Uswizi. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti mwenza wa Kamati hiyo ya Huduma za Posta na Maendeleo ya Biashara...
  4. B

    TAZARA yapigiwa chapuo ifanyiwe ukarabati mkubwa na uendeshaji mpya

    Beijing, China RAIS HICHILEMA AIPIGIA CHAPUO TAZARA IKARABATIWE HARAKA https://m.youtube.com/watch?v=T2pHN2eVLJg Shirika la Reli la Tanzania na Zambia TAZARA lawa agenda kubwa mezani wakati wa ziara ya rais wa Zambia. Ambapo mbali ya kusaini mikataba kadhaa ya makubaliano ya MoU, suala la...
  5. CT0007

    DP World walipatikanaje kama hatukuona tenda ikitangazwa?

    Kuhusu bandari mimi siungi mkono ubinafsishaji wake hata kidogo! Ibinafsishwe ili sisi tufanye nini? Kwani uendeshaji wake unagharimu nini ambacho hatukimudu kama nchi? Mbona ATCL inapewa ndege mpya na serikali na bado inapata hasara ila haibinafdishwi? Bandari inaingiza hasara gani mpaka...
  6. Crocodiletooth

    Ipo haja ya misingi inayosimamia uendeshaji wa vyama vya kisiasa kuwekewa mipaka.

    Sheria hutungwa na kuwekwa kama muongozo wetu, ili kulinda maisha yetu sisi binadamu na kudumisha ustaarabu,ikiwepo kutokuvuka mipaka ambayo tunakuwa tumejipangia, #naendelea..
  7. Roving Journalist

    Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule Tsh 65,000' licha ya Serikali kufuta ada

    Ujumbe wa Mdau ambaye mtoto wake anasoma kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Ruvu ametoa povu: Jamani tusaidieni kupaza sauti. Tuliambiwa ada ya shule zimeondolewa lakini bado wazazi tunatakiwa kulipa Tsh. 65,000/= kama pesa ya uendeshaji ili hali fomu ya kujiunga inamtaka kwenda na...
  8. Suley2019

    Rais Samia: Tanzania tuna udhaifu katika uendeshaji wa mashtaka

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya Haki Jinai kushughulikia udhaifu uliopo katika ukamataji wa watuhumiwa, upelelezi, uendeshaji wa mashtaka pamoja na mambo mengine yanayofanyika magerezani ili kutoa haki kwa wananchi. Ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi...
  9. Hamza Nsiha

    SoC03 Tathimini ya taratibu za uendeshaji wa shughuli za biashara nchini Tanzania

    Habari! Ndugu wana JamiiForums, ni matumaini yangu kuwa sote tu bukheri wa afya. Leo hii ninapenda kuwashirikisha katika uzi huu unaoangazia tathimini yenye madhumuni ya kuibua njia madhubuti ambazo zinaweza kuchochea matokeo chanya katika shughuli mbalimbali za biashara kwa maendeleo ya taifa...
  10. benzemah

    Wananchi Bagamoyo Waunga Mkono Uendeshaji Bandari Dar es Salaam

    Wananchi wa Bagamoyo mkoani Pwani, wataendelea kusimama na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha Bandari ya Dares Salaam inaleta tija zaidi kwa Watanzania wanufaike kichumi. Hayo yalisemwa na Mbunge Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu, wakati akizungumza na wananchi katika...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  13. JanguKamaJangu

    Huu Mchango wa Uendeshaji wa Shule ya Longido Sekondari si ndio ada yenyewe au Serikali imefuta ada ipi?

    Jamani wazazi tunalia na michango ya Shule ngazi ya kidato cha tano, Serikali imetangaza kufuta ada kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita kwa shule za Serikali lakini tunachokutana nacho huku kwenye uhalisia ni tofauti. Tunaambiwa ada imefutwa lakini katika masharti au form za Watoto...
  14. Mwl.RCT

    Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

    Muhtsari Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba Serikali ya Djibouti...
  15. GoldDhahabu

    Kanda ya Ziwa wanastahili pongezi kwa uendeshaji wa baiskeli

    Unaweza ukashindana na watu wa Kanda ya Ziwa kwa mambo fulani fulani, lakini usithubutu kwenye uendeshaji wa baiskeli kama wewe si mmoja wao. Utaumbuka! Nazungumzia baiskeli za kawaida au za kazi, siyo zile za "starehe". Sina uthibitisho wa kitakwimu, lakini kwa makisio yangu, Kanda ya Ziwa...
  16. benzemah

    Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

    WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa kuwa wanaofanya hivyo hawaitaki nchi mema. Pia, wameitaka serikali kuharakisha kusaini mikataba...
  17. K

    Uendeshaji wa Bandari zetu

    Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo mezani mfano vifungu vya mkataba na adhari ( + or -)zake kwa Taifa.
  18. FRANCIS DA DON

    Je, Bwawa la Nyerere likikamilika, sheria inaruhusu kulikodisha bila kikomo ili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wake?

    Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115. Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
  19. F

    Ushauri: Serikali tafuteni kampuni ya kufanya management (uendeshaji) tu kwenye bandari zetu na sio kubinafsisha bandari

    Kifupi huo ndio ushauri wangu. Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini tukaishia kuzitumia hovyo kwa kukosa good management na weledi. Tunashindwa kwenye technical...
  20. BARD AI

    Mwaka 2006, Kamati ya Bunge la Marekani ilikataa mpango wa kuipa DP World mkataba wa uendeshaji Bandari zake 6

    Mzozo wa Dubai Ports World ulianza mnamo Februari 2006 na ulipata umaarufu kama mjadala wa usalama wa Taifa nchini Merika. Tatizo lilikuwa ni uuzaji wa biashara za usimamizi wa bandari katika bandari sita kuu za Marekani kwa kampuni iliyoko katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo...
Back
Top Bottom