misingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BabaMorgan

    Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    Kuna wakati unafika unatamani kuishi katika misingi ya imani lakini ujana ni kama unakwamisha. Changomoto kubwa ni vishawishi vya uzinzi na ulevi nawazaga sana vijana waliokoka wanawezaje kushindana na dhambi ya uzinzi na ulevi tena katika mji ambao wanawake wanavaa vimini na suruali za kubana...
  2. Mama Amon

    'Dignitas Infinita': Misingi kumi ya ubinadamu kutoka kwenye mapokeo ya Kikristo iliyotajwa na Papa Francis inawafaa Watanzania kwa kiasi gani?

    I. Usuli Ujumbe mkuu wa waraka wa Vatican uitwao "Dignitas Infinita" unaweza kuwasilishwa kwa asilimia kubwa na nukuu zifuatazo: “[Human dignity] underlies the primacy of the human person and the protection of human rights…” (Dignitas Infinita, para 1). "[It is] fully recognizable even by...
  3. DodomaTZ

    Shirika la FCS: Tunapongeza usimamiaji na kuheshimu misingi ya Demokrasia Nchini chini ya Rais Samia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la The Foundation For Civil Society (FCS), Francis Kiwanga amesema Shirika hilo linajivunia miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuheshimu na kusimamia misingi ya Demokrasia. Kiwaga amesema kuwa FCS inajivunia uongozi wa Rais Samia...
  4. Tlaatlaah

    Kwasababu ya umadhubuti na uimara wa misingi yake, Chama kitatawala karne nyingi zijazo

    Kuanzia muundo wa msingi wake, hadi mfumo wa kiutendaji, imejengwa imara sana kitaasisi na hivyo ni ngumu sana kutikiswa wala kuyumbishwa na dhoruba au tetemeko lolote la kisiasa la kutoka ndani au nje ya chama. Msingi wake una mizizi ya kitaifa na kimataifa. Imejengwa kukabiliana, kudhibiti na...
  5. Miss Zomboko

    Wazazi tukumbuke kuimarisha misingi ya maadili mema kwa watoto wetu si jambo linalofanyika mara moja, bali ni mchakato endelevu

    Maadili na tabia njema huchangia kwa kiasi kikubwa katika kujenga na kuimarisha jamii yenye amani na umoja. Tunapolea watoto katika misingi ya maadili mema na tabia njema, tunaimarisha uelewa na uwezo wao wa kupambanua matendo mema na mabaya. Pamoja na hivyo, wazazi tunapaswa kuwajengea watoto...
  6. B

    Benki ya CRDB yazindua huduma ya bima yenye misingi ya sharia kwa Watanzania wote

    Dar es Salaam. Tarehe 28 Februari 2024: Ikiwa na uzoefu wa takriban miaka minne sasa Benki ya CRDB imezindua huduma za bima zinazozingatia misingi ya shariah zijulikanazo kama Takaful kwa ajili ya wateja wanaofuata imani ya Kiislamu na wananchi wengine wanaozingatia misingi ya dini hiyo...
  7. M

    Wazo lenye akili: Bashe ajiuzuru ni kwa kuendesha ofisi ya umma kwa misingi ya dini

    Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu? Hili taifa ni secular. Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani? Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje? Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
  8. mwanamwana

    Tunapoelekea uchaguzi mkuu 2025, tuepuke wagombea wanaotaka kutugawa kwa misingi ya udini, ukabila, jinsia na ukanda

    Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere... Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine mbalimbali za kusaka kura. Sababu hizo zinaweza kuwa ukabila, udini, ukanda au jinsia. Wanaweza...
  9. maroon7

    Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1? Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa...
  10. MamaSamia2025

    Taasisi zote makini za kijamii huweka misingi imara ya itikadi zao kuanzia kwa watoto. CHADEMA jifunzeni kwa chipukizi CCM

    Kwa siku kadhaa nimeshangazwa na wafuasi wa chama cha Mbowe kushambulia idara ya chipukizi iliyo chini ya UVCCM kana kwamba ni jambo la ajabu sana kuwahi kufanyika. Wanaoshangazwa na uwepo wa chipukizi wanatakiwa kujikumbusha kuwa chipukizi CCM haijaanza leo. Ni idara ambayo ipo kwa miaka mingi...
  11. Sharo empress

    Misingi 21 Ya Biashara Itakayo fikisha Buashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako [ MBA YA MCHONGO]

    Hello! Habari za muda huu.... Wazaramo wanasema "Kidire Mwali" Kama hujui kizaramo basi fahamu maana yake ni Mwali yuko uwanjani... Leo ndo ile siku yetu maalumu ya kuanza darasa letu lile la MBA ya MCHONGO Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha Biashara yako kwa wajukuu zako...
  12. Victor Mlaki

    Misingi ya CCM ni imara kuliko CCM ilivyo sasa

    Chama Cha Mapinduzi ( CCM) ni chama kilichopitia changamoto nyingi nyingi na zinazoweza kuhatarisha uwepo wake kama chama tawala lakini licha ya changamoto hizo kimeweza kustahimili kutokana na sababu kadhaa nje ya ukongwe wake au uzoefu. Moja ya sababu kubwa ni Misingi ya ujamaa ambayo CCM...
  13. Tlaatlaah

    Tanzania inafuata misingi yote ya Demokrasia ya vyama vingi

    Mapungufu madogo madogo na kasoro chache zilizopo, vipo pia kila mahali inapotekelezwa demokrasia ya aina ya Tanzania, mathalani Marekani na kwingineko. Na kwasababu hiyo uchaguzi huru na wa haki Tz upo, Tume huru ya uchaguzi Tz ipo, Utawala wa Sheria na utawala bora Tz upo, heshima kwa haki za...
  14. tamsana

    Misingi ya Imani ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)

    Ni ukweli usiopingika kuwa kila imani (kanisa/dhehebu) lina misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ndiyo inaisimamia. Misingi ya Imani ya Tanzania Assemblies of God inasimamia misingi kumi na sita (16) ambayo kila muumini anatakiwa kuiishi. Misingi hiyo ipo kwa mujibu wa Biblia Takatifu ambayo ni...
  15. Nsanzagee

    Rais Samia, kunyamaza kuhusu matatizo ya Watanzania ni kufurahia shida zao

    Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais? Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
  16. Roving Journalist

    Tanzania na Cuba kuimarisha Misingi ya Kisiasa

    Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na uwekezaji Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.)...
  17. Ritz

    Askofu Dkt. Fredrick Shoo: Tusiwagawe watu kwa misingi ya dini

    Wanaukumbi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu kwa utofauti wa Dini na kusema hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza Serikali iwapo amejenga...
  18. B

    Ni wakati muafaka CCM irudi kusimamia Itikadi na Misingi yake

    Asalam, 1. Ninaipenda CCM na Ni Mwanachama wa CCM 2. Ninaipenda Nchi yangu na ni mzalendo hasa. 3. Ninaulewa wa itikadi na misingi ya saisa ya CCM 4. Ninapinga Mkataba wa sasa wa DPW, nitauunga ukirekebishwa. 5. Ninawaheshimu viongozi wa Chama, ninawakosoa wanaokosea (rejea mwongozo wa CCM WA...
  19. Crocodiletooth

    Ipo haja ya misingi inayosimamia uendeshaji wa vyama vya kisiasa kuwekewa mipaka.

    Sheria hutungwa na kuwekwa kama muongozo wetu, ili kulinda maisha yetu sisi binadamu na kudumisha ustaarabu,ikiwepo kutokuvuka mipaka ambayo tunakuwa tumejipangia, #naendelea..
  20. Chachu Ombara

    Uchaguzi Mkuu Kenya unaendeshwa kwa misingi ya Kikabila?

    Tangu kuanzishwa kwa siasa za vyama vingi Kenya, somo moja ambalo vyama vya siasa vimejifunza ni mpango wa kuungana ili kuweza kupata ushindi wakati wa uchaguzi mkuu. Uanzishaji wa miungano umekuwa msingi wa siasa za Kenya tangu uchaguzi wa 2002. Muungano wa kwanza ulikuwa wa National Rainbow...
Back
Top Bottom