pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Pongezi kwa waliopaza sauti kupitia JF kuhusu anajiita "Kiboko ya Wachawi"

    Natoa pongezi kwa wale waliokuwa wanakwazika na habari zilizokuwa zinarushwa hewani kupitia redio kuanzia saa 6 usiku hadi saa 11 alfajiri. Kupitia hapahapa JF kulikuwa na maandiko kadhaa kuelekea TCRA kuwa wajiridhishe kuhusu kituo cha Redio kinachorusha habari zake, takribani wiki sasa redio...
  2. zimmerman

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania. Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo: Kwanza, usiturudishe...
  3. DR Mambo Jambo

    PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia. Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka.. Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D. Kiukweli kabisa...
  4. Comrade Ally Maftah

    Salamu za pongezi kwa Ally Happy

    Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA. Nachukua nafasi hii kumpongeza Ndugu yangu/ kaka yangu Ally Happy kwa kuaminiwa na Dr Samia Suluhu Hasan pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. kuwa Katibu wa Jumuiya ya wazazi taifa, Comrade Ally Maftah nikiwa kama Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa...
  5. Pascal Mayalla

    Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila Jumatano, pia kuna kipindi cha TV cha KMT, kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa...
  6. P

    Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
  7. T

    Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

    Wanajamvi mambo ni vipi Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani. Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu. Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
  8. B

    Kuelekea Maandamo Arusha Feb 27: Tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii

    Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii. Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu: Ni wazi kuwa umoja wetu hatimaye, utaikomboa nchi hii: Maandamano Mbeya, Mwanza umoja wetu...
  9. L

    Kutuma salamu za pongezi kwenye mkutano wa AU kwa miaka saba mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
  10. Pascal Mayalla

    Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake?

    Wanabodi, Tanzania tuko hapa tulipo kwenye lindi la umasikini uliotopea kutokana na kukosekana viongozi wa kutosha wenye boldness ya kuchukua maamuzi magumu!. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, John Pombe Magufuli, na huyu dogo Paul Makonda, ni miongoni wa watu wenye boldness ninayoizungumzia hapa...
  11. Masikio Masikio

    Rais Samia Suluhu kwenye hili la kuruhusu maandamano anahitaji sana pongezi

    Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania anayeishi marekani sahivi...
  12. Nyani Ngabu

    Pongezi za nini ilhali ni haki ya kikatiba?

    Inavyoonekana yale maandamano ya CHADEMA yaliyopangwa kufanyika keshokutwa, yatafanyika. Sasa nimeanza kuona eti pongezi anapewa Rais Samia! ‘Whims’ za Samia ndo zimekuwa haki za kikatiba au? Hakuna haja yoyote ya kumpongeza mtu kuhusu kitu kilichopo kwenye katiba ya Tanzania. Haki zilizomo...
  13. sky soldier

    Makundi mapya Mapinduzi Cup baada ya Bandari FC na Ura kujitoa, Kundi la Simba umafia waziwazi, Yanga wanabebwa

    Kundi B la Simba, -JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu -APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda -Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara Kundi A Vital’o Azam FC Chipukizi United Mlandege...
  14. c h o l o

    ACP Mkoa wa Singida, unastahili pongezi

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri, Huyu mama nisipomsifu ntakuwa nimemnyima maua yake kwa kipindi hichi cha mwisho wa mwaka. Saluti nyingi kwako ACP wa mkoa wa Singida kwa kuziishi taratibu na sheria za jeshi la polisi la Tanzania. Siku ya jumamosi nikiwa katika moja ya mihangaiko yangu ya kutwa...
  15. Stephano Mgendanyi

    Tuzo za Pongezi kwa Viongozi wa UWT Taifa

    TUZO ZA PONGEZI KWA VIONGOZI WETU WA UWT TAIFA Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) tarehe 01 Disemba 2023 wamepokea Tuzo za Pongezi kutoka kwa Viongozi wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuwapongeza...
  16. KJ07

    Pongezi kwa mdada Mentor Cherry, muathirika wa VVU anayetoa elimu kuhusu masuala yanayohusu VVU

    Salaam Wakuu, Katika pitapita zangu za hapa na palehuko mjini instagram nimekutana na mdada mmoja ambaye ameni inspire sana kutokana na kitu alichoamua kufanya kwa jamii ya watanzania. Jina lake halisi sijalifahamu bado ika la instagram ni Mentor_Cherry. Sasa kwa harakaharaka nimegundua kuwa...
  17. Pascal Mayalla

    Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

    Wanabodi Huu ni wito kwa Katibu Mwenezi mpya wa CCM, Comred Paul Makonda, kwanza kwa kumpongeza kwa kuifufua hamasa ya CCM kupendwa upya na kukubalika sana kupitia amsha amsha zake za Magufuli type (populist na populism) kila anapopita, tatizo lake ni moja tuu, anaipiga hii ngoma kwa nguvu...
  18. M

    Wanawake kupenda wanaume wenye pesa kumefanya wanaume wajitambue na kuacha uvivu, pongezi kwenu

    Rejean kichwa cha habari hapo juu. Ipo wazi sasa hivi mwanaume kama huna hela mapenzi yatakusumbua sana, yaani kuna aina ya wanawake hutowapata regardless ya muonekana wako, family background, n.k. Hii imepelekea wanaume wengi kuchacharika kuitafuta pesa, hata zile jamii/makabila yenye...
  19. Teslarati

    Pongezi kwa RC wa Dar: Umeisafisha Ubungo Riverside kwa kwa fagio la chuma ulilotumia Mwananyamala

    Kuna muda inabidi tuseme ukweli. Mimi nikiwa maeneo ya Ubungo huwa napenda sana kwenda kunywa bia pale Micassa pub. Lakini ile njia siku za nyuma kuanzia saa 12 na nusu jioni ilikuwa inajaa wadada poa wengi sana hata kabla giza halijaingia. Yaani na kulikuwa na harufu mbaya sana kama ya uozo...
Back
Top Bottom