Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi
Ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma wa Msumbiji imemtaja mwanamke Mtanzania miongoni mwa watu 16 walioshitakiwa kwa tuhuma za kuunga mkono harakati za wanamgambo kaskazini mwa Mkoa wa Cabo Delgado, shirika la habari la...
Waendesha Mashtaka wa Hispania waliosimamia kesi dhidi ya Beki wa zamani wa Barcelona, Dani Alves wamedai kifungo cha miaka Minne na Nusu jela alichohukumiwa Mwasoka huyo kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono ni kidogo na kuwa anastahili kuongezewa miaka ya kuendelea kubaki jela.
Wanatarajia...
Wanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa, ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda.
Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu but anajumlisha wanawake wote . Nasio mara moja wanadai anaona profile picture anaenda pm sasa...
Habari wanajamvi.
Kama kichwa Cha habari kinavyotanabaisha. Nikiwa Kama mtanzania mpenda haki na ambaye nachukia ubaguzi wa rangi na mauaji ya watu wengine Tena wasiokuwa na hatia, ninafikiria kufungua kesi mahakama ya kimataifa dhidi ya Serikali ya Afrika Kusini kwa kuwa ama makusudi/...
Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan
"Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni...
Ugandan prosecutors on Monday charged the commander of a feared militia with terrorism and murder over the killing of two foreign tourists and their driver last month.
A commander in the Allied Democratic Forces (ADF) militia, Abdul Rashid Kyoto, alias Njovu, was captured earlier this month...
Jumla ya watu 11 wakiwemo watumishi saba wa manispaa ya Kigoma Ujiji na maafisa wawili wa Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wamefikishwa mahakamani katika mahakama ya hakimu mkazi Kigoma na kusomewa mashitaka 11 ikiwemo shitaka la uhujumu uchumi na utakatishaji fedha...
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya, Miriam Mrita, ameingia katika hatua ya pili ya utetezi wake katika kesi ya mauaji ya wifi yake inayomkabili yeye na mwenzake, ya kuhojiwa maswali ya dodoso.
Bilionea Msuya aliuawa kwa...
MKAZI wa Mtaa wa Nyabubele Kata ya Kasamwa Kukailwa (40), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita kwa mashtaka ya kunajisi mwanawe - msichana mwenye miaka 14.
Alipandishwa kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Johari Ki uwile na aliposomewa mashtaka, alikana kuhusika...
Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii.
Hatua hii inakuja baada ya Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko kukamatwa Wiki iliyopita na kushtakiwa tena Jumamosi...
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya Haki Jinai kushughulikia udhaifu uliopo katika ukamataji wa watuhumiwa, upelelezi, uendeshaji wa mashtaka pamoja na mambo mengine yanayofanyika magerezani ili kutoa haki kwa wananchi.
Ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi...
Mahakama imetoa hukumu leo kuhusu kesi ya udhalilishaji wa ngono ambao mchezaji wa zamani wa Manchester City, Benjamin Mendy anahusishwa kufanya na wanawake nchini Uingereza.
Mahakama imemkuta Benjamin Mendy kutokuwa na hatia yoyote na hivyo kumuachia huru mchezaji huyu wa Ufaransa.
Mchezaji...
Kupitia shauri la Uhujumu Uchumi namba 26/2023 lililofunguliwa Juni 2023 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, ambapo washtakiwa waliokuwa waajiriwa TGFA, walisomewa mashtaka 48.
Mashtaka mengine waliyoshtakiwa nayo ni pamoja na Kuendesha Genge la Uhalifu, Kughushi, Kuchepusha...
Akizungumza hadharani tangu afunguliwe mashtaka 37 yanayohusu kuficha nyaraka za siri za Serikali katika mjengo wake wa Mar-a-Lago, Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekana kufanya makosa hayo.
Amesema "Wanasema uwongo, wanatengeneza tuhuma, wanachukua hongo, wahalifu hao hawatakiwi...
Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 11 likiwemo la utakatishaji wa fedha zaidi ya Sh658 milioni.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Grace Mwanga amewataja washtakiwa hao ni mfanyabiashara Ridhiwani Shaban na Moses Nassoro.
Akisoma hati ya...
Sijaelewa nini huyu mzee anachokitafuta, amesema wakuu wa majeshi ya Urusi waliokiuka haki za kibinadamu wakamatwe wote.
Alitoroka mapambano, kila siku anatoa matamko.
===
Russia's most powerful mercenary, Yevgeny Prigozhin, said on Wednesday that he had asked prosecutors to investigate...
Watu sita wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Geita wakishtakiwa kwa kosa la kumuua aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya madini ya dhahabu (GGM) Milembe Seleman (43).
Watuhumiwa waliopandishwa mahakamani katika kesi namba 12/2023 ni Dayfath Maunga(30), Safari Labingo(54), Genja Lubingo(30)...
Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa
Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.