zuhura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

    Tetesi zinaelekeza Salim Kikeke anaendelea kutajwa kumng'oa Ayub Rioba alijizindika pale TBC. Hii ni baada ya chombo hiki cha Wananchi kushindwa mambo mengi na kufuja fedha za umma huku Watumishi wake wengi wakijianzishia makampuni shindani na TBC. Ukichukua TIN za Watumishi utashangaa wao ndio...
  2. benzemah

    Msiingize vidole ukeni, mtapata saratani – Mratibu Afya Zuhura Mbuguni

    KUNAWA kwa kuingiza vidole sehemu za uke, kujifukiza na matumizi ya bidhaa mbali mbali ikiwemo asali kuwekwa ukeni, wapenzi wengi, kujamiiana katika umri mdogo, maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kumetajwa kusababisha ongezeko kubwa la saratani ya kizazi. Tafiti zinaonesha kuwa wale...
  3. Roving Journalist

    Serikali kuleta chanjo ya lazima kwa ajili ya mifugo yote Nchini kama ilivyo kwa Magonjwa ya Binadamu

    Mkurugenzi wa Kurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia...
  4. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu: Hospitali maalum ya watoto inayoitwa Rainbow kujengwa Tanzania

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 12 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/dTZZ4o97U3A?si=HNAVFRFRzHn0H5y5 Akizungumza kwenye Mkutano na waandishi wa Habari ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Waziri...
  5. Wadiz

    Nakukumbusha: Zuhura na Salim Kikeke walikuwa miongoni mwa waliokosoa utawala wa Magufuli wakiwa BBC Swahili

    Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira...
  6. Mbute na chai

    Kiswahili cha bbc baada ya Zuhura Yunus & Salim Kikeke kuondoka

    Kwa anaye kielewa anijuze. Wakenya wanaharibu sana lugha yetu. Kurasa za mitandao ya kijamii ya bbc imegubikwa na Kishwahili kibaya sana(kisicho fasaha). Ili nalo likatazamwe!
  7. O

    Rais Samia awataka majaji, viongozi kuwa waadilifu ili Zuhura asiwahusu saa nane usiku

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka majaji wapya aliyowateua hivi karibuni na viongozi wengine wa kiserekali kisha kuwaapisha leo kufanya kazi kwa uadilifu, weledi na uaminifu. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwaapisha majaji wapya wa...
  8. Troublemaker

    Kwa shoo ya Alikiba jana, nakubaliana na Zuhura

    Unaingia kwenye show unazurura uwanjani ukivimba kuonyesha ufalme wako. Kwanini usituonyeshe ufalme wako kwenye kazi yako. Mwisho wa siku ikawa ni makelele na uchawa mwingi.. Yaani huyu msanii hata intro tu ya show nayo ni taabu... Sijui ni kujikweza na kiburi tu..
  9. R

    Ungependa Zuhura Yunus atoke na mkeka kipindi cha Pasaka au baada Eid?

    Tukubali kwamba Rais amekwazika sana na ripoti ya CAG. Nilipomsikiliza akitamka neno stupid nilimkumbuka Rais wa sasa wa Zambia Hichilema alipowaambia Wazambia kwamba, siku anaingia ofisini alikuta majalada yanayomtaka aidhinishe fedha za magari na samani nyingine za ofisi kwa kigezo kwamba...
  10. Roving Journalist

    Zuhura Yunus: Rais Samia alizungumza na Idris Elba kuhusu ujenzi wa studio ya kisasa ya Filamu Nchini Tanzania

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhuru Yunus amesema moja ya mambo ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi ni kuhusu ujenzi wa...
  11. Last Seen

    Zuhura Yunus aolewa na Fumbuka Ng’wanakilala

    Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus amefunga ndoa na Bw. Fumbuka Nkwabi Ng’wanakilala. Ndoa hiyo ilifungwa siku ya Alhamisi jijini Dar es salaam katika msikiti wa Maamur, Upanga.
  12. Escrowseal1

    Binafsi press conference ya Zuhura Yunusu sijaiekewa, alielewa anifafanulie mambo haya matatu

    1. Mikataba 15 iliyosainiwa na serikali haikutajwa.kuna haja gani kuita press conference ukashindwa kuainisha mikataba. Kama kuna alieielewa anisaidie humu Mh Waziri wetu wa fedha ameulizwa zaidi ya parachichi na mabondo ni bidhaa gani zaidi zimeruhusiwa. Jibu akasema ni bidhaa za majini kama...
  13. Roving Journalist

    Ikulu, Dar: Mrejesho Ziara ya Rais Samia Nchini China na Misri

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu (DPC), Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari Ikulu jijini Dares Salaam leo Tarehe 12 Novemba, 2022 ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI CHINA POLE ZA AJALI YA PRECISION AIR Ningependa tu kwa niaba ya Rais kutoa pole kwa wafiwa wote wa ajali ambayo...
  14. S

    Nimegundua makosa madogo ya kiuandishi katika Press Release ya leo iliyotolewa na Madam Zuhura Yunus

    Japo mimi sio mtaalama wa maswla ya uandishi na wala si mwandishi wa habari, ila nimegundua makosa madogo ya kiuandishi katika Press Realease ya leo iliyotolewa na Madam Zuhura Yunus aliefanya kazi kwenye chombo kikubwa cha habari kama BBC. Kwa uelewa wangu mdogo, Dada yangu Zuhura anakosea...
  15. Suzy Elias

    Rais Samia ni mpenda sifa kuliko hata Hayati Magufuli

    Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani? Nikumbushwe huenda nimesahau. Hakika sikumbuki. Tangu awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama...
  16. Roving Journalist

    Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu yasema uwekezaji umeongezeka kutokana na Royal Tour

    Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu yazungumzia matokeo ya ziara ya Rais nchini Oman na matokeo ya filamu ya Royal Tour. Uwekezaji watajwa kuongezeka ikiwemo wawekezaji wanaotaka kuwekeza Serengeti, Kilimanjaro na Dar es Salaam na muwekezaji huyo ameshawasiliana na kituo cha uwekezaji...
  17. B

    Yupo wapi Zuhura Shaabani aliyeimba wimbo "Hakuna Tenda, Hakuna Buzi"?

    kuna promoter wa muziki ana mtafuta please anae jua details zake afunguke hapa. anyways: huyu kwenye hii video sio bi zuhura shaabani, huyu anaitwa bi samra alifanya cover ya wimbo na hapo ilikuwa ni muscat oman. yes am a man i am a dj i love music all kind of music. i...
  18. Jicho la Tai

    Zuhura Yunus na Matangazo mabovu kutoka Ikulu Mawasiliano

    Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus. Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi...
  19. Interest

    Muelekeo Mpya? Zuhura Yunus ameanza utaratibu wa kufanya 'Press Briefing' Ikulu..

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU, Zuhura Yunus, leo ameita waandishi wa habari kuwapatia taarifa mbalimbali kuhusiana na ziara za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan za nje ya nchi za hivi karibuni na tija zake. Tukio linarushwa MUBASHARA na waandishi kutoka vyombo vikubwa na vya kati...
  20. B

    Mwaka 1 wa Samia: Zuhura Yunus umeitendea haki Kurugenzi ya habari Ikulu

    Nimesikiliza makala ya mafanikio ya Rais Samia tangu aliposhika hatamu kuongoza nchi iliyoandaliwa na kusimuliwa na Zuhura Yunus. Kiukweli huyu dada ni msimulizi mzuri hatetereki wala kujiumauma kanyooka kama rula na kiswahili chake maridhawa. Kwa kweli katika teuzi hapa mama aliramba jike haswa
Back
Top Bottom