dakika

20 Dakika ("20 Minutes") is a Turkish television drama series broadcast on Star TV. This story talks about a beautiful family. A father, mother, daughter and a son that lived together in happiness and peace. One day, the police stormed in and took the mother (Tuba Buykustun) to jail. She was suspected of committing a murder and sentenced to 20 years in prison. Her husband (Ilker Aksum) tries to prove her innocence while at the same time the criminal investigator (Firat Celik) tried to find as much evidence as he can to find out the truth. But the big question is did she really commit the murder?

View More On Wikipedia.org
  1. Cash Money Forever

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana. Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa...
  2. Equation x

    Wadada, mnataka dakika ngapi?

    Nimekuwa kwenye mahusiano kwa sampuli mbali mbali, iliyopelekea mpaka wengine kutengeneza familia. Changamoto niliyokutana nayo, wengi hawataki uchukue muda mrefu ukitafuta goli, wanataka dakika zisizidi 20; hii imepelekea, wao wakirizika wanakuwa hawatoi ushirikiano kwenye kunesa nesa...
  3. H

    Kwa hii idadi ya noti za tsh 10,000 ziazotoka kila dakika kwenye ATM kuna ulinganifu kweli na noti nyingine mtaani?

    Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti za elfu tano.Yaani wanakwambia kabisa tunatoa mafungu ya kumi kumi tu.Na hata ukienda ndani ya benki...
  4. Arnold Kalikawe

    Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

    WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status. WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30! Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
  5. kiwatengu

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  6. Aramun

    KERO Niko Gerezani dakika 20, hakuna basi la Mwendokasi hata moja

    Imagine unakaa dakika 20 huoni gari ya kuelekea unakoenda, na unatumia usafiri tuliotangaziwa kwa mbwembwe na bashasha kwamba ndiyo mkombozi wa shida ya usafiri. Kwa hali hii, serikali iruhusu daladala kama kawaida kwa zile route ilizoondoaga daladala kama Kimara hadi Gerezani na Kivukoni...
  7. MK254

    Video: Gaidi la Jihad lalaumu shetani kwa kulifanya livamie Israel na kubaka mwanamke kwa dakika moja

    Hili gaidi la kiislamu limeamua kufunguka yote baada ya kukamatwa.... Pressed how long the rape lasted, Islamic Jihad terrorist Manar Mahmoud Muhammad Qasem said around 60-90 seconds. The IDF on Thursday put out a video of a Unit 504 interrogation of an Islamic Jihad terrorist named Manar...
  8. Rio Shabazz

    Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda. Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa. Sasa changamoto anataka kila...
  9. Wadiz

    Tatizo sio kutofika kileleni ishu ni usanii wa wanawake kukosa hisia na mvuto. Kanuni ni dakika 3-5-7 kwa wote kufika kileleni

    Shalom Wanaume bora niwachane ukweli ukiona manzi, demu, sholi, mke au mpenzi wa kike hafiki kileleni ndani ya dakika 3-5 hadi 7 ujue umepigwa za uso unatoka na mwanamke ambae analiwa sana, kila siku kazoea mwiko, ana sugu ya hatari. Binadamu hapigwi jeki. Imeisha bora upotezee tu kupigwa sio...
  10. J

    Daraja la J.P.Magufuli (Kigongo-Busisi) ni la 1 kwa urefu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati. Litaondoa tabu ya wananchi kutumia dakika 120

    Daraja la J.P.Magufuli (Kigongo-Busisi) ni la 1 kwa urefu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati. Litaondoa tabu ya wananchi kutumia dakika 120 (masaa mawili) kusubiri kivuko hadi DAKIKA 4 tu kuvuka darajani ili maisha ya uzalishaji kiuchumi na kijamaa yaendelee. Tunamshukuru Mhe. Rais...
  11. Kiboko ya Jiwe

    Ninaingia kwenye maombi dakika 10 kuvunja matambiko na uchawi wa timu inayotumia mvua kubeba nyota yao . Huo uchawi haufanyi kazi leo

    Hello! Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale. Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha. Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya...
  12. GENTAMYCINE

    Kwahiyo TRC baada ya wenye Akili kuhoji kwanini Dar hadi Moro ni Saa 2 na dakika 20 sasa mmeamua kusema huu Upuuzi?

    Kuwa lengo lenu Kuu la hii Treni yenu ya SGR ni Kusafirisha hasa Mizigo na Abiria ni kama Bonus tu ya Huduma. Halafu nikiwadharau mnanichukia!!!
  13. GENTAMYCINE

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea. Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika...
  14. Scars

    Mechi ya kirafiki: Al Nassr 6-0 Inter Miami dakika ya 90 game on

    Messi kaingia dakika ya 83 wakati Ronaldo yupo jukwaani akiikosa mechi kwasababu ya majeraha. Je hii inathibitisha kauli ya Ronaldo aliyoitoa siku za hivi karibuni kuhusu ubora wa ligi yao? Na wale waliokuwa wanasema Saudia kuna hela hakuna mpira nadhani leo tumepata majibu
  15. Suley2019

    Dakika 6 za simu ya Makonda kwa Bashe akidai utatuzi wa bei ya sukari

    Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini:
  16. H

    Mitandao ya mawasiliano ya simu mnapopunguza dakika vifurushi vyenu toeni taarifa pia

    Salaam humu. Kuna jamaa amekuja kwangu nimuungie kifurushi kwenye mtandao mmoja pendwa nikajifanya kama mjuaji sana na madoido yangu nikamuungia akaondoka zake. Baada ya dakika tano karudi analalamika nimemuungia kifurushi siyo chenyewe kuja kuangalia kweli dakika zimepungua nikatoa macho...
  17. Chachu Ombara

    Tujitahidi kufanya mapenzi kila siku kwa dakika nne ili tupunguze hatari ya kupata Saratani?

    Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya...
  18. A

    Je, unaweza kuandaa video fupi ya dakika 15 ambayo ni kama mini-series?

    Je utazingatia nini katika ku-shoot kama unatumia simu ya kawaida tu? UPDATES Ni simulizi fupi kuhusu athari za matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto (teenagers). Scenes zake ni tatu tu, scene ya kwanza ni sehemu ya shule ambako kuna wanafunzi wanaozungumzia walichokiona huko mtandaoni...
  19. MK254

    Israel wana mizinga yenye uwezo wa kuifuta Gaza kwa dakika mbili tu

    Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM. Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama...
Back
Top Bottom