ethiopia

  1. Huihui2

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a suspicious Passenger SADICK ABRAHAMAN ALLY , Tanzanian, 60 yearS Old, Born and Grew up in Tanga ,Passport...
  2. Crocodiletooth

    Ethiopia kujiunga katika umoja wa Afrika ya Mashariki [EAC]

    Ethiopia is set to become the 9th member state of East Africa Community (EAC), just a few months after Somali's admission to the bloc. This was disclosed by Peninah Malonza, the Cabinet Secretary for Ministry of EAC, Arid and Semi-arid Lands and Regional Development. #HONGERA RAIS WETU. #Wosia...
  3. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ethiopia inataka kujiunga na EAC? Nini madhara na faida? Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
  4. Inside10

    Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

    Baada ya Dereva Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma kukamatwa akiwa amebeba Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia katika gari aina ya Land Cruiser V8 likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Minjingu mkononi Manyara, Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoani Manyara Philon...
  5. JanguKamaJangu

    Benki ya Ethiopia yawataka waliochota fedha ATM baada ya mtandao kuharibika warudishe

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imewapa wateja waliotoa pesa nyingi zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao hadi mwisho wa wiki kuzirejesha la sivyo watakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Vyombo vya habari viliripoti kuwa zaidi ya Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 102) zilitolewa au...
  6. covid 19

    Ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP -155), na kwa nini inaonekana kuwa na mafanikio? Je, ni kwa nini tusiwaige?

    Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi. Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
  7. JanguKamaJangu

    Ethiopia: Hitilafu ya Benki ya Biashara yasababisha Wateja kutoa hela kwenye ATM bila kikomo

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo". Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE. Zaidi ya Dola Milioni 40...
  8. tejateja

    Neno kwa Rais wa Ethiopia

    Mheshimiwa Rais karibu sana nchini kwetu. Nchi yako imepitia migogoro mingi sana ya ndani na mingine na nchi jirani. Naomba tafakari na fuata utaratibu unaofaa juu ya kupata eneo la bandari kule somaliland. Ufahamu kuwa somaliland sio nchi bali ni sehemu ya Somalia 🇸🇴.
  9. Roving Journalist

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed Ali kuwasili nchini kwa ziara ya siku tatu

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mheshimiwa Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 29 Februari hadi 02 Machi, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  10. FRANCIS DA DON

    Je, hii ni sanamu ya nani, nasikia imezinduliwa Addis Ababa huko Ethiopia

    Sanamu yenyewe ndio hiyo hapo chini, ni sanamu ya nani hiyo?
  11. Chizi Maarifa

    Nimeona huku Ethiopia. Mama ameofungua sana nchi. Anaupiga mwingi sana

    Wenye umaskini mtaumia sana. Mama anaupiga mwingi. Kuanzia leo naanza muunga mkono rasmi. Nimeona maendeleo katika hii miezi 3 ambayo nimepata nafasi ya kuwa kwenye misafara yake mfululizo. Nimeona mengi. Mama tumpatie tena mpaka 2040 au akichoka. Nimegundua ni watu wenye wivu na chuki ndo...
  12. F

    Mwonekano wa sura ya Nyerere kwenye sanamu mpya huko Ethiopia sio halisia, huyu ni mzee Kambulucha sio Nyerere!

    Tafadhali sana viongozi wetu mliopo Ethiopia kabla hamjarudi nyumbani rekebisheni sanamu inayoitwa ya Nyerere.l iliyozinduliwa katika makao makuu ya Umoja wa Africa. Sanamu hiyo haileti taswira ya Mwalimu Nyerere kabisa, huyo ni mzee Kambulucha na sio Nyerere...
  13. M

    Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  14. M

    Rais Samia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi AU, ETHIOPIA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
  15. Suley2019

    Rais Samia awasili nchini Ethiopia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward...
  16. Kijakazi

    Ethiopia wanaomba hata kilomita 20 tu za ufukwe, Tanzania tuna zaidi ya kilomita 1500 lakini hakuna cha maana. Shida ni nini?

    Nchi ya Ethiopia hawana bahari wanaomba Somalia wawape hata tu 20 km ya ufukwe na kila kitu kitabadilika vs Tanzania tuna zaidi ya 1500 km coast line kutoka tangagiza mpaka Mtwara ni bahari tupu lkn ni uchuuzi tu wa kuleta imports ktk China na kujenga fremu za GSM & co. uchumi wote bazaar tu...
  17. MK254

    Ethiopia na Somalia haziivi, wanataka kukinukisha

    Somalia hawa hawa na maugaidi yao wanataka kuanzisha vita na Ethiopia kisa hao Ethiopia wamedhamiria kutumia bandari ya Somaliland.............. Somalia vowed on Tuesday to defend its territory by "any legal means" and recalled its ambassador to Ethiopia after Addis Ababa struck a controversial...
  18. B

    Kiongozi wa paramilitary RSF ya Sudan azuru Uganda na Ethiopia

    27 December 2023 SUDAN WATU 6,000,000 WAFURUSHWA TOKA MAKAZI YAO, 12,000 WAPOTEZA MAISHA Kiongozi wa kikosi cha paramilitary cha Sudan jenerali Mohamed Hamdan Dagalo afanya ziara ya kipekee barani Afrika na kuzuru nchi za Uganda na Ethiopia. Kikosi cha RSF kimekuwa kikipambana na...
  19. JanguKamaJangu

    Ethiopia: Watu 176 wafa kwa njaa kali

    Watu 176 wamekufa katika Jimbo la Tigray kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame, kati yao Wanaume ni 101 na Wanawake 75. Takriban watu 45,000 katika Wilaya ya Emba Sieneti wanakabiliwa na njaa kali, iliyozidishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka miwili. Aidha, kuna...
  20. D

    Mwanariadha SISAY LEMMA wa Ethiopia avunja course record ya Valencia Marathon TRINIDAD ALFONSO mapema hii leo..

    Sisay Lemma mwanariadha kutoka Ethiopia aweka muda mpya wa saa 2 dakika 1 na sekunde 48(2:01:48) Valencia Marathon 2023, baada ya kuipiku kwa sekunde tano record aliyoiweka Kelvin Kiptum mwaka jana 2022(saa 2:01:53), bila kumsahau mtanzania Gabriel Geay alishika nafasi ya 5 katika shindano hili...
Back
Top Bottom