Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,840
- 3,378
Katika mawaziri wa hovyo Bashe ni mmoja wapo unapokataa msaada na kusema tunaweza swali la kumuuliza kwanini mpaka leo shule nyingi za msingi na secondary serekali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana bali huo mzigo wamepewa wazazi wachangie.
Hii nchi tuache siasa za hovyo kama anazofanya bashe msaada umekuja serekali ingejiridhisha kitaalamu kama mchele unafaa au haufai na sio kutumia propaganda.
Kuna watu huku wanapinga kwenye huo msaada ila ndo ndo wa kwanza kugoma kukataa kuchangia watoto wasile alafu wakija misaada wanakataa.
Kama ingekua ni rahisi hivyo marekani kutudhuru sisi wafrika basi wangeanza na dawa sababu dawa karibia zote zinatoka western countries hata zile za india ni makampuni ya india yamepewa tu kibali na nchi za western zitoe copy.