Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

baraker88

Senior Member
Feb 26, 2014
124
147
Kuelekea Bunge la bajeti 2024/2025 naishauri serikali kupitia upya gharama za umeme ambazo zimekuwa na makato mengi sana na kuwa Mzigo kwa Raia. Haya na mengine mengi ndiyo mahitaji yetu sisi wananchi, wabunge punguzeni kusifiana na kutukuzana bungeni, elekezeni mijadala yenu katika kujadili mahitaji ya wananchi na kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya jamii.

Nimeambatanisha muamala wa malipo ya luku niliyoyafanya leo 02/04/2024

LUKU
37..........
9003240931723438544
12.6KWH

6647 7681 6938 6101 22204

Cost 3,688.53
VAT 18% 663.93
EWURA 1% 36.89
REA 3% 110.65
Debt Collected 1,500.00
TOTAL 6,000.00
 
mie nimenunua jana wa elfu kumi badala ya unit 28 nimepata 23 yani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hawa jamaa ni noma.

221.........
9002240921927599723
23.8KWH

6981 8687 1937 9246 1643

Cost 6,967.22
VAT 18% 1254.09
EWURA 1% 69.67
REA 3% 209.02
Debt Collected 1500.00
TOTAL 10,000.00
 
mie nimenunua jana wa elfu kumi badala ya unit 28 nimepata 23 yani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dah ni changamoto, kunahayo makato ya debt collection 1500 sijui ndio kodi ya nyumba ambayo yanakatwa kila mwezi kiukweli khari ya kiuchumi mtaani ni ngumu na serikali inaendelea kutupa mzigo
 
Dah ni changamoto, kunahayo makato ya debt collection 1500 sijui ndio kodi ya nyumba ambayo yanakatwa kila mwezi kiukweli khari ya kiuchumi mtaani ni ngumu na serikali inaendelea kutupa mzigo
Hamna mtu ana mpango na maisha haya magumu kwa raia๐Ÿ˜‚
 
Hamna mtu ana mpango na maisha haya magumu kwa raia๐Ÿ˜‚
Ni kweli aisee, lakini sisi kama raia tuna nafasi ya kutoa maoni kwa mamlaka zinazohusika, tukikaa kimya hawa jamaa wanaweza kutuongezea ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Afu mnakuta mko nyumba za kupanga na bado mnachekeana na ma faza house kuhusu hiyo 1500.

Sio mimi na huu uchaga, mixer umeru na upare wa ndani ndani. Faza house utalipaa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Kwa nn wasikatwe waliondani ya REA tu huu ni upigaji
Kuna mambo yanafikirisha sana, unalipa 18% VAT kama kodi ya huduma ambayo kimsingi serikali inaitumia fedha hii katika miradi ya maendeleo na matumizi mengine, lakini tena unawekewa gharama ya kuchangia maendeleo na matumizi mengine ambayo ni REA 3% na EWURA 1%
 
Afu mnakuta mko nyumba za kupanga na bado mnachekeana na ma faza house kuhusu hiyo 1500.

Sio mimi na huu uchaga, mixer umeru na upare wa ndani ndani. Faza house utalipaa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Tuishi tu ila tunapitia changamoto sana
Kuna mambo yanafikirisha sana, unalipa 18% VAT kama kodi ya huduma ambayo kimsingi serikali inaitumia fedha hii katika miradi ya maendeleo na matumizi mengine, lakini tena unawekewa gharama ya kuchangia maendeleo na matumizi mengine ambayo ni REA 3% na EWURA 1%
 
Afu mnakuta mko nyumba za kupanga na bado mnachekeana na ma faza house kuhusu hiyo 1500.

Sio mimi na huu uchaga, mixer umeru na upare wa ndani ndani. Faza house utalipaa
Nyie nimechekaa had mbavu zinauma, kwani wachaga na wameru wana nn?

Kuna mtu nlikua namdai, had mwenzake anauliza "huyu sio mchaga au mmeru kweli.

Afu mnakuta mko nyumba za kupanga na bado mnachekeana na ma faza house kuhusu hiyo 1500.

Sio mimi na huu uchaga, mixer umeru na upare wa ndani ndani. Faza house utalipaa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Unatakiwa ukutane na mother house mchaga ilimuongee kichaga vizuri na utatoa tu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Back
Top Bottom