Sometimes ujivuni ya kusoma chuoni ni mzigo, vijana wengi wanaohitimu vyuo wanachelewa sana kustuka kwamba tunaishi mara moja tu na miaka hairudi

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,081
Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni.

kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo kudhani kuna njia moja tu ya kutoboa, muda unaenda akiwa anazurura mtaani, anaweza kupata kazi ya fani yake ila akaishia kujitolea bila mshahara kwa muda mrefu.

Miaka inaenda haraka mnooo anagonga 30, kidogo anaanza kujitambua anafungua duka la kawaida kwa kuwa anona kazi ya kuchoma mishkaki, kuchoma mahindi, kuuza nyanya, kuwa mama ntilie, kuwa kinyozi, SIO HADHI YAKE YA MHITIMU, hapo dukani unakuta anafanya biashara aliyoiga ili kumaintain satus yake ya kuwa mhitimu, na kwa vile bado ana mindset ya kichuo na kutaka kuendana na wenzake wachache walioajiriwa sehemu zenye ulaji, anajikuta anatumia mpaka mtaji ku keep up.

Ubao unasoma 35 III !!! ndio anakuja justuka kwamba yupo tayari kufanya chochote halali bila kujali hadhi yake wala atavyosemwa, hapo ndo unakuta mtu anaanza kujua kwamba hata kazi alizozidharau zinaweza kumtunza, anajilaumu kwamba alichelewa sana.

Wakati huo wale wa darasa la saba na form 4 walishastuka zamani sana
 
Sijui kwa nini watu ambao wana elimu ndogo huwa wanawaonea wivu sana wenzao wenye elimu ya degree na kuendelea .

Siku zote hupenda kujilinganisha nao na kuwaombea mabaya.

Mfano mzuri doto magari na wewe mleta mada.
 
Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni.

kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo kudhani kuna njia moja tu ya kutoboa, muda unaenda akiwa anazurura mtaani, anaweza kupata kazi ya fani yake ila akaishia kujitolea bila mshahara kwa muda mrefu.

Miaka inaenda haraka mnooo anagonga 30, kidogo anaanza kujitambua anafungua duka la kawaida kwa kuwa anona kazi ya kuchoma mishkaki, kuchoma mahindi, kuuza nyanya, kuwa mama ntilie, kuwa kinyozi, SIO HADHI YAKE YA MHITIMU, hapo dukani unakuta anafanya biashara aliyoiga ili kumaintain satus yake ya kuwa mhitimu, na kwa vile bado ana mindset ya kichuo na kutaka kuendana na wenzake wachache walioajiriwa sehemu zenye ulaji, anajikuta anatumia mpaka mtaji ku keep up.

Ubao unasoma 35 III !!! ndio anakuja justuka kwamba yupo tayari kufanya chochote halali bila kujali hadhi yake wala atavyosemwa, hapo ndo unakuta mtu anaanza kujua kwamba hata kazi alizozidharau zinaweza kumtunza, anajilaumu kwamba alichelewa sana.

Wakati huo wale wa darasa la saba na form 4 walishastuka zamani sana
Jana nilikutana na Binti wa Miaka 22 kala shavu kwenye Organization moja hapa town.

Na hana connection yoyote,

Nilimshauri kwa umri wake na kazi aliyopata akitulia atafika mbali sana!!
 
Watu mnawaonea wivu sana waliohitimu vyuo aisee,
Kwa hio nifanye tu kazi hata kama siipend ? Nikazoea takataka ? Mzee maisha yana standards zake,
Hata njaa iume vip simba hali nyasi,
Una advance tu hiyo mishe inakuwa standard Mkuu mwenzetu. Hatutegemei graduate ukazoe taka sawa na mtu asiye na elimu ngazi yako.

Kazi ni zile zile, mbona ma bro wanabeba boksi mamtoni na mtonyo wanauona
 
Watu mnawaonea wivu sana waliohitimu vyuo aisee,
Kwa hio nifanye tu kazi hata kama siipend ? Nikazoea takataka ? Mzee maisha yana standards zake,
Hata njaa iume vip simba hali nyasi,
Sawa,wewe bado una wazazi na shemeji zako.
Haina haja ya kuumiza kichwa.
 
Back
Top Bottom