madereva

  1. mdukuzi

    Madereva wa mabasi ya abiria Tanzania hawana akili ya kuendesha usiku,tutakwisha

    Safari za mabasi za usiku zilikuwepo kitambo,Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani akazifutilia mbali. Alijua akili zetu watanzania,madereva wetu hawana uwezo wa kuendesha usiku,kichwa kimejaa bange,pombe,madeni,michepuko huku unabeba roho za watu. Watatumaliza
  2. The Sheriff

    Serikali: Hatuna mfumo wa ukaguzi wa madereva wa mabasi ya shule

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo amesema wizara walitoa mwongozo wa mabasi ya shule na kwamba waliviachia vyombo vingine vya Serikali kuendelea na ukaguzi wa madereva hao kama wanavyofanya kwa madereva wengine na hawakuwahi kuwa na mfumo. “Baada ya...
  3. mwanamwana

    Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Mwaramutse nshuti, Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate. Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
  4. B

    Barrick yakabidhi msaada wa vifaa vya kisasa vya kupima ulevi wa madereva kwa Jeshi la Polisi

    Meneja Mawasiliano (Corporate Communication and Country Liaison Manager) wa Barrick, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi moja ya vifaa vya kisasa vya kupima ulevi kwa madereva vilivyotolewa na Barrick kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani kanda maalum ya Dar es...
  5. Bushmamy

    Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe

    Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara. Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
  6. Pdidy

    Kwanini madereva wengi hupona ajalini?

    Nawazaga hili swali najikuta NACHEKA. M ni mpenzi wa habari za Kenya sana. Kenya IMEKUTWA na matukio ya ajali nyingi sana na huuwa watu 10+ Hivi MAJUZI KUNA ajali tatu zimetokea zote ukiangalia gari zimeharobika KABISA. Unachoanbiwa MADEREVA wote wamekimbia. Mbili zimwgongana na.malori...
  7. Pdidy

    Madereva wa Mwendokasi hawana nidhamu

    Nimeonaaaa hiiiii itv Mbunge wa ilala amesema pamoja na piklpik kuvunja sheria kwa kuingia barabara ya Mwendokasi. Badoo madereva hawa hawana nidhamu barabarani Amesemaaa kuna wakati unaonaa gari inavyokimbizwa unawazaa ndani kabeba watu ama mbuzi. Hakuishia hapoo akaombaa wafundishwe...
  8. PureView zeiss

    Sare mpya Kwa madereva bodaboda DAR

    Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea. Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa...
  9. R

    Madereva wa Mwendokasi wengi wana msongo wa mawazo. Waziri kaa na hawa watu uwasikilize itapunguza kuharibu magari

    JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa wameendelea kujifunza kazi taratibu lakini wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu lini watapata...
  10. C

    Madereva wa Serikali na mabosi zenu kwanini mnapenda mnaendesha vibaya?

    Naomba kujibiwa hili swali, hv ni kwani hakuna hata siku moja mnatoka nyumban kwenu mapema kwenda ofisini? Kwanini kila siku mtoke kwa kuchelewa halafu njiani ni kukimbia, wrong overtake na kutoafuata vibao vya speed? Hivi ninyi ambao ni mabosi ni kwanini mnafurahia mwendokasi ile hali...
  11. Roving Journalist

    Naibu Waziri atangaza Siku 14 kuondoa namba za 3D, madereva wa serikali kukiona

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza siku 14 kwa watumiaji wa Vyombo vya Moto barabarani kuondoa namba za magari zilizoongezwa ukubwa maarufu kama (3D) na Vimulimuli kwa magari yote yasiyoruhusiwa kuwekwa, namba zote zenye vibao vyeusi na zizonatumia namba za chasis, taa zozote na stika...
  12. JF Toons

    Madereva kutumia mwanga mkali (Full Beam) katika mazingira yasiyo sahihi barabarani ni hatari kwa wengine

    Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine. Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
  13. P

    Dereva gari la serikali alewa na kusababisha ajali

    Kati ya video zinazosambaa mtandaoni ni dereva wa gari la serikali akiwa amelewa chakari na kusababisha ajali ya kugonga bodaboda. Baadhi ya mashuhuda wamemuuliza kwanini amelewa na ni dereva wa serikali ambapo amekiri kweli kuwa amelewa.
  14. mambio

    Wakongo wanashambulia madereva wanaokwenda kusafirisha shaba, hali ni mbaya

    Kama kichwa cha taarifa hapo juu. Hali si shwari Kongo ==== Kongo kumechafuka, na hali si shwari toka tarehe 2/2/2024, Wakongo hawataki shaba (copper) itoke nchini mwao, gafi yako ikibeba shaba kusafirisha nje inashambuliwa. Gari hiyo inayoonekana kwenye video inasemekana ni kutoka kampuni...
  15. Mchochezi

    Umewahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Mimi niliwahi kusikia madereva wa malori wanaoenda nchi jirani kuna muda wanasahau kama wapo safarini, kutokana na changamoto mbalimbali za njiani kama mipakani nk Naskia wamatembea na majiko yao kabisa pia wakiwa na unga, vitunguu, mboga, nyanya yaani wakifika mahali wanashuka wanakaa wanapika...
  16. Mjanja M1

    Video: Rais Samia apewa zawadi ya ng'ombe na madereva bodaboda

    Bodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya. 📹 SwahiliTimes
  17. Makamura

    Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

    Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa...
  18. Ndagullachrles

    AKIBOA vs Madereva Moshi Arusha Ngoma nzito

    Madereva wanaoendesha mabasi kati ya Arusha na Moshi wameibua tuhuma nzito juu ya viongozi wa chama cha wasafrishaji Moshi Arusha (AKIBOA) kwamba wanawatoza sh. 2,000 kila wanapopakia Abiria . Kwamba fedha hizo hawajui zinapelekwa wapi na hawapewi stakabadhi ya malipo. Tuhuma hizo zipo kwenye...
  19. Roving Journalist

    Arusha: Jeshi la Polisi lawafutia madaraja Madereva 776 kwa kukosa sifa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. limeendela kuimarisha ulinzi na usalama hali iliyopelekea kupunguza vitendo vya uhalifu katika Mkoa huu. Sambamba na hilo katika kuhakikisha lina dhibiti ajali za barabarani, hivi karibuni Jeshi la Polisi...
  20. Roving Journalist

    Katavi: Dereva aliyetoa taarifa ya Basi lake analoendesha kuwa bovu afukuzwa kazi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kimechukizwa na kitendo cha baadhi ya wamiliki wa mabasi kuwafukuza madereva kwa kudaiwa kutoa taarifa kwa mabasi mabovu kwa Vyombo vya Usalama Barabarani ambapo limesisitiza sheria kali kuchukuliwa dhidi ya mmiliki atakaye mfukuza dereva. Deus...
Back
Top Bottom