jay z

  1. B

    Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap?

    Guys mambo vipi. Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nina swali dogo tu. Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap (HipHop kwa ujumla)?
  2. Teslarati

    Sitosahau usiku ule Paris nilipotoroka camp kwenda kumuangalia Jay Z na Kanye West, bila kutegemea waliperform Niggas in Paris mara 11 mfululizo

    Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini tulipelekwa vijana kadhaa wakiwemo watu wa scout kwa ajili ya event fln hivi. Sasa mie kwanza...
  3. MSAGA SUMU

    Mama yake Jay Z avuta jiko

    Rapper Jay-Z's mother, Gloria Carter, has tied the knot with her long time partner, Roxanne Wilshire, in a star-studded wedding in New York. Jay-Z and his celebrity wife Beyonce were among those witnessing the event that happened on Sunday night. Hollywood celebrities in attendance included...
  4. DR HAYA LAND

    Nimefatilia maisha ya Jay Z, nimegundua kuoa sio jambo la haraka

    Nipo nasoma Biography ya Jay z nimeona kazaliwa 1969 na kaoa Mwaka 2008 na kapata mtoto wake wa kwanza na Beyonce Mwaka 2012 Na watoto wake mapacha kawapata Mwaka 2017 Maana yake Jay z kaoa akiwa na miaka 38 Nilichogundua Mambo ya kuoa yanahitaji kujipanga yaani kutafata Direction na sio speed...
  5. kali linux

    1 in a million moments: Jay Z, Rick Ross, Lil Wayne na DJ Khaled Stage moja Grammys 2023

    Aisee hii show ya grammys mwaka huu hatari. Miamba kadhaa ya Rap stage moja huku jay z akishuka verse yake ya karibu dkk 5 kwenye God did. Jionee mwenyewe hapa chini
  6. Black Butterfly

    Beyoncé anatimiza umri wa miaka 41 leo

    Beyoncé, ambaye alizaliwa mnamo Septemba 4, 1981, alipata umaarufu akiwa member wa Destiny's Child (hapo awali kilijulikana kama Girl's Tyme), moja ya bendi kubwa zaidi za wasichana katika historia ya muziki. Baada ya kuachana na Destiny’s Child, alianza kazi kama msanii mmoja akiongeza mauzo...
  7. Ego is the Enemy

    Walipa 2.35M Kusalimiana na Kupiga Picha na Chris Brown

    Picha inajieleza Sasa wale kuwa toa hela ndio muone hapa. Nishawaambia hata Ronaldo christiano akimtaka mkeo anambeba fasta. Mademu Ni wa kuangalia value uliyo nayo. Mana value yako na yeye anakuwa sehemu yako. Wewe fukuza ndoto zako halafu wao watakufukuza kwa gharama zozote jamani. Haya twende...
  8. Emmanuel180

    Beef ya Kanye West na Jay Z

    Kama ulishawahi kusikiliza ile album ya Kanye kwa jina Graduation bila shaka unaujua wimbo unaitwa 'Big Brother' Ule ni wimbo spesho kabsa ambao mwana alimuimbia mshkaji wake wa faida (yaani km ile tattoo ya Mondi kwa mmakonde[emoji2]) Ndani ya ule wimbo kuna line inasema 'But he got me out my...
  9. anonymousafrica

    Nas ajifananisha yeye, Biggie na Jay Z ni sawa na J Cole, Drake na Kendrick Lamar, kwenye album yake ya Magic. Awakumbuka na Wu Tang Clan

    Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na mwisho wakaamua kukaa chini na kuyajenga. Wakashirikishana kwenye nyimbo baadhi na hivi majuzi...
  10. anonymousafrica

    Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

    Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa utamaduni na muziki wa Hip Hop hawaishi kuongelea msuguano huu uliotokea kwenye Album ya Nas...
  11. anonymousafrica

    JAY Z: Malumbano ya familia/ Kumpiga kaka yake RISASI / Usaliti kwa Beyonce/ Msamaha na Funzo kwa mabaharia wote

    Nampenda Jay kwasababu anaimba na kuandika maisha yake halisi. Ukisikiliza nyimbo yake ya You Must Love Me na Kill jayz, amewahi kutaja kisa cha kumpiga risasi kaka yake, akiwa na umri wa miaka 12. Walipitia maisha magumu na familia yake na ni msimu ambao hata baba yake aliitelekeza familia...
  12. Miss Zomboko

    Kanye West atajwa kuwa Rapper wa pili kuwa bilionea baada ya Jay Z

    Kwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020. Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers. Awali Kanye West aliwapa Forbes...
  13. Suley2019

    Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa Hillary Clinton amsifu Jay z kuwa Icon

    Mgombea Urais katika awamu iliyopita Mama , Hillary Clinton, ametoa sifa kwa rapper Jay Z wakati akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa. Mwanamuziki huyo wa Mitindo ya kufoka alisherehekea kutimiza miaka 50 siku ya jumatano Desemba 4. Clinton kupitia mtandao wake wa kijamii alimtumia salamu za...
Back
Top Bottom