mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. October 2pm

    Nani mkali wa nyuzi zinazokujenga kimaisha humu jF?

    Nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania? Kama kichwa kinavyoeleza. Nani humu ni mkali wa nyuzi zilizokusaidia kimaisha Kati ya hawa? 1. Mshana Jr 2. Pascal Mayalla 3. Robert Heriel Mtibeli 4. Deeppond 5. GENTAMYCINE Unaweza kuelezea Uzi au Jambo ambalo amekujenga.
  2. matunduizi

    Kuna uhusiano gani kati ya msimamo mkali wa kidini na umasikini?

    Katika utafiti wangu nimegundua kila dini au imani huwa inawatu wenye misimamo mikali iliyopitiliza ( Religious extremists) Hawa wapo lwenye Ulokole, Usabato, Ukatoriki, Uislam hata Umizimu. Ila katika kila imani kundi hili huwa linaonekana ni nyonge sana kwa kipato na kiuchumi. Wengi...
  3. MK254

    Urusi: Ndege tatu za kijeshi zalipuliwa zikiwa uwanjani

    Yaani hali imekua ya hatari sana maana humo jeshini Urusi kuna wanajeshi wanahujumu moja kwa moja, ndege za kijeshi zilizokua chini ya ulinzi mkali zimetegeshewa mabomu na kulipuliwa uwanjani Moscow. ========= Defence Intelligence of Ukraine has reported that two Russian aircraft and a...
  4. Teko Modise

    Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu. Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya. Baada ya...
  5. mwanamwana

    KWELI Pamoja na Ulinzi mkali jumba la kifalme Uingereza, kuna mwamba alipenya mpaka chumbani kwa Malkia Elizabeth

    Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
  6. Mi bishoo tu

    Young lunya ni mkali wa flow za hiphop

    Sikiliza freestyle season 3 utakuja kusalute mwenyewe.
  7. Nigrastratatract nerve

    Hayati Magufuli ni Carbon iliyopata Mgandamizo mkali ikawa Almasi ambayo itamkata yeyote yule akiishika kwenye makali yake imeanza na Lissu

    Iko hivi: Tundu Lissu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote yaweza...
  8. Balqior

    Kwanini waajiriwa wengi wakistaafu lazima wapitie msoto mkali wa kiuchumi?

    Habarini, Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya...
  9. MK254

    Msuguano mkali unaendelea Bakhmut, Warusi waendelea kupoteza maeneo ndani ya mji

    Bakhmut inandelea kuwa kichinjio cha Warusi, wamefia sana pale na wanasogeshwa nyuma, hivi kwenye vitabu vyao vya historia, itaandikwa walifia nini hapo Bakhmut maana hivi karibuni wataondolewa kabisa, wamekufa zaidi ya 100,000 After the successful offensive actions, the Armed Forces of Ukraine...
  10. Camilo Cienfuegos

    Tumalize utata: Simba Vs Yanga nani ana uzi mkali?

    Piga kura yako kwa kuandika jina la timu yenye jezi kali kati ya Simba Vs Yanga.
  11. Nyuki Mdogo

    Biashara yoyote ili ikue na kukomaa inahitaji ulinzi Mkali sana

    Biashara is a hard game, very risk. Kuanzia usimamizi unahitaji ulinzi, wafanyakazi wote wanahitaji ULINZI ili wafanye kazi. Uli usiibiwe unahitaji ulinzi. Mapato na matumizi unahitaji ulizni hasa. Al in all tafuta mfumo thabiti wa kulinda biashara ikue na ikuletee faida.
  12. BARD AI

    Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani kupigwa na Upepo mkali kwa siku 5

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wakazi wa mikoa ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani pamoja na wale wa Visiwa vya Pemba na Unguja kuchukua tahadhari na kujikinga na upepo mkali kwa siku tano mfululizo. Ushauri huo wa tahadhari umetolewa na leo Alhamisi ya Julai 13...
  13. M

    KAMIKAZE DRONES za Urusi ni mwiba mkali kwa Ukraine: Ni za bei rahisi lakini zinaangamiza mamilion, ukitaka kuidungua utumie missile ya mamilioni!!

    Majeshi ya Ukraine yanashindwa yaamueje kushughulika na kamikazer drones za Urusi. Ni drones za gharama chee (dola 20,000 za marekani kwa kila moja). Ina uwezo wa kuangamiza vifaru, magari ya kivita, na vifaa vingine vya kijeshi, kubomoa majumba makubwa nk. Ukkraine wanaweza kuzidungua lakini...
  14. TPP

    TPP KULETA UPINZANI MKALI UCHAGUZI MKUU TAIWAN MWAKANI(2024) ?

    ( Mgombea kiti cha urais 2024 bwana Ko Wen-je kupitia chama cha TPP ). Chama cha kisiasa cha Taiwan ambacho kiliundwa miaka minne(2019) iliyopita kimepanda nafasi mbele ya chama kikuu cha upinzani Kuomintang na kuwa chama cha pili maarufu zaidi katika kisiwa hicho. Chama cha watu wa...
  15. R

    Tahadhari ya vipindi vya upepo mkali na mawimbi makubwa Dar, Ukanda wa Pwani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa taarifa hiyo leo Jumapili Juni 25, 2023 kuwa kutakuwa na vipindi vya upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa katika Pwani ya Bahari hindi na kutoa angalizo kwa watu kuchukua tahadhari. “Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzanzania inatoa angalizo la vipindi...
  16. kyagata

    Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
  17. The Eric

    Ukikutana na demu mkali ghafla anakuwa Maskini kwako

    😁😁😁 Salaam jukwaa la MMU, Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki? Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti. Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo...
  18. BARD AI

    Miaka 10 ya kifo cha Albert Mangwair, unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu?

    Leo Mei 28, 2023 imetimia miaka 10 tangu kutokea kifo cha ghafla cha Nyota wa Hip Hop, Bongo Flava na Mkali wa "Freestyle" kutoka East Zoo Dom, Mangwair au Ngwair au Cowbama Wakati wa uhai wake, alijizolea sifa ikiwemo kuwa na uwezo kuingia studio na kurekodi 'Ngoma' bila kuandika (Freestyle)...
Back
Top Bottom