vpn

  1. U

    Kwanini channel za Afrika kusini zimezuia replay ya goli lililokataliwa isionekane nje ya mipaka, wamepigwa biti au rushwa ? hii nimeipata kwa vpn

    Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554 Hii ndio video iliyowekewa vizuizi (nimetunza nakala)
  2. Dr Matola PhD

    Ni free VPN gani kwa sasa ni nzuri kutumia?

    Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa. Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review naona malalamiko ni mengi, sasa nimekuja hapa Kwa Wataalam mnisaidie nipakuwe VPN ipi iko vizuri? bayankata
  3. Mkwawe

    Oya wanangu wa VPN hebu chungulieni hapa

    nimiokota hukooo, ila wananzengo wamechafukwa jamani duuuh Ok sio kesi hata Mimi nimevutiwa na mambo ya vpn Kama wadau tusambazianw upendo, haya mambo ya vifurushi, nauli yatatutoa roho jamani hadi namkumbuka magufuli
  4. Vincenzo Jr

    Nape ni mdau wa pilau, amefollow ukurasa wa ngono

    Mheshimiwa anafungia VPN kumbe nae huwa anaangalia video za Pilau 😂😂😂 credit by spana konk
  5. sky soldier

    IT wa Tanzania ni "copy-paste" wasioweza kubuni; wanafunzi na wahitimu wote wameshindwa kutengeneza mafaili ya VPN free net?

    Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti wanavyo na wengine wana ufaulu mkubwa sana lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia...
  6. Hismastersvoice

    Nimemsikia Nape kuhusu katazo la VPN ila sijamuelewa kama anajua matumizi ya simu

    Huyu Nape ni waziri wa habari ila sikuelewa jambo alilotaka kuelezea kama lilikua ni lenyewe au la. Nape ametumia muda kueleza nia nzuri ya kudhibiti matumizi ya VPN, ni kuzuia utapeli wa ile hela tuma namba hii unaoendelea nchini kupitia mitandao ya simu. Nape amehusisha utapeli huo na...
  7. BARD AI

    Waziri Nape: Usajili wa VPN unafanyika ili kuwatambua Watumiaji wa Intaneti

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hilo linatokana na ongezeko la Wananchi zaidi ya 50% kutumia Intaneti ambapo kama kuna mtu ana mawazo ya hovyo atatamani kufanya majaribio yake huko, hivyo Serikali imekuwa ikitunga Sheria zitakazowalinda watumiaji wake...
  8. mshale21

    TCRA: Hatujakataza matumizi ya VPN bali ni kusajili na kutoa taarifa ya matumizi ya VPN

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kwa Mkuu wake wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, Rolf Kibaja imesema taarifa kwa Umma iliyotolewa juzi October 13,2023 haijakataza matumizi ya VPN kama baadhi ya Watu wanayopotosha kupitia mitandao ya kijamii. Kibaja ameiambia Ayo TV...
  9. BARD AI

    VPN ndio njia salama zaidi ya kujilinda na Mashambulizi ya Kimtandao

    Kumekuwa na upotoshaji kuwa Matumizi ya Virtual Private Network (VPN) husaidia upatikanaji wa maudhui yasiyofaa pekee Mitandaoni, jambo ambalo halina ukweli kwasababu VPN ni nyenzo muhimu katika kuzuia mashambulio ya Mtandaoni pamoja na Kulinda Taarifa Binafsi za Watumiaji. Kwa mujibu wa...
  10. BARD AI

    JUKATA: Serikali bado inaendelea kubana Haki za Wananchi kupata Habari kwa kuzuia VPN

    Katazo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu matumizi ya mtandao binafsi (VPN) bila kibali maalumu, limewaibua wadau wa mawasiliano na siasa, wakisema hatua hiyo inalenga kubana upatikanaji na utoaji wa habari kidijitali. Katazo hilo lilitolewa juzi na TCRA kupitia taarifa yake kwa...
  11. Nobunaga

    TCRA hili la VPN nalo litawashinda kwa sababu hamtaki kuukabili uhalisia wa mambo

    Swali kwa TCRA: Mnajua sababu ya matumizi ya VPN kuwa makubwa nchini? Uhalisia ulivyo: Kwenye teknolojia ukiwabinya sana wananchi pale, wao wanatokea kule kwa sababu ya kukua kwa teknolojia kila siku, kila kitu kina option B. Katika mambo ambayo serikali ilikuwa haijawahi kuwaza basi ni...
  12. P

    Tuma kwa namba hii wamewatoa knock-out mpaka sasa, mmeona la msingi ni kuzuia VPN?

    Wakuu, Inasikitisha sana na kutia uchungu kuwa na Waziri mzigo kwenye wizara muhimu kama hii. Badala ya kuwa vinara wa kutetea uhuru wa maoni na kukinda taarifa binafsi na faragha za wananchi wenyewe ndio wanakuwa wa kwanza kuminya uhuru wa maoni, kuingilia faragha za watu na kutunga sheria...
  13. Mhaya

    Tanzania tuna safari ndefu na ngumu sana chini ya CCM

    Wakati Tanzania tukiwa na mawazo ya KIJINGA kufikiria kukamata wanaotumia VPN kisa huduma ya internet bongo ni mbovu na TZ inazuia baadhi ya mitandao ya kijamii kupatikana nchini bila sababu za msingi. Wenzetu wanajenga vinu vya nyuklia kwaajili ya nishati ya umeme. Juzi kati serikali ya...
  14. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini

    Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA ya kukataza matumizi ya Mtandao binafsi maarufu kama VPN (Virtual Private Network) iliyotolewa jana Oktoba 13, 2023. ACT Wazalendo tunaona taarifa hiyo pamoja...
  15. ACT Wazalendo

    Macheyeki: Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini

    Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini. Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA ya kukataza matumizi ya Mtandao binafsi maarufu kama VPN (Virtual Private Network)...
  16. Replica

    Yajue mataifa yaliyokataza matumizi ya VPN duniani na sababu zao

    VPN(Virtual Private Network) huwa inaficha utambulisho wa vifaa vya mtandaO(IP address) na kuimarisha hata usalama wa mtumiaji kuingiliwa mawasiliano yako na mtu mwenye nia ovu. Serikali nyingi duniani hazijakataza matumizi ya VPN ikiwemo Ulaya na Marekani lakini zipo Serikali chache zimeweka...
  17. Roving Journalist

    Tanzania Digital Rights Coalition: Official Statement Against Restriction of VPN Use In Tanzania

    The Tanzania Digital Rights Coalition, a united front of organizations committed to upholding and promoting digital rights, unequivocally condemns the recent statement issued on Friday, 13 October 2023 by the Tanzanian Communication Regulatory Authority (TCRA) restricting the use of Virtual...
  18. Roving Journalist

    Tanzania Digital Rights Coalition: Tamko Rasmi Dhidi ya Zuio la Matumizi ya VPN nchini Tanzania

    Tanzania Digital Rights Coalition, umoja wa mashirika yanayojitolea kusimamia na kukuza haki za kidijitali, kwa dhati unakemea taarifa ya hivi karibuni iliyotolewa Ijumaa, tarehe 13 Oktoba 2023 na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayokataza matumizi VPNs nchini Tanzania...
  19. M

    TCRA watakagua simu za Watanzania wote kuwajua wanaotumia VPN?

    Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha . Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi. Msaada wa kitalaamu
  20. Mr Lukwaro

    TANZANIA: Ukitumia VPN faini Milion 5

    Taarifa rasmi ni kwamba. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi kwa ujumla na kampuni ambazo kwa asili ya majukumu na kazi zao, matumizi ya mtandao binafsi (VPN) hayazuiliki, kutoa taarifa TCRA juu ya VPN wanazotumia na taarifa zote muhimu ikiwemo anuani ya itifaki ya mtandao...
Back
Top Bottom