tundu lisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Randy orton

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  2. Kaka yake shetani

    Tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu lingefanywa na mtu wa kawaida angekuwa kashakamatwa

    Polisi ni rahisi kujua wahusika kwa haraka na wale wakongwe wa kazi za kuvunja sheria. Tuulizane sisi wana JF tukifanya matukio ambayo kama kumtoa mtu uhai siku mbili si nyingi kukamatwa ila lilofanyika pale tena sehemu za serikali mpaka leo hakuna lolote. Nafahamu maganda ya risasi yana namba...
  3. Tindo

    Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

    Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho. Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi...
  4. R

    Tundu Lissu anasema Tanzania itarudi na kombe la AFCON 2024. Tuungane kwenye mambo ya kitaifa

    Mhe. Tundu Lisu anapasha misuli michuano ya Afrika huko Ivory Cost. Kauli mbiu yake ni moja tu TUTARUDI NA KOMBE. Nimefurahi sana kumwona yeye na familia yake wameungana na vijana wetu. Amefanya nijifunze kwamba kwamba mambo ya kitaifa mzalendo namba moja ni huyu Bwana. Anapigania rasilimali...
  5. S

    Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

    Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
  6. DR Mambo Jambo

    Tundu Lissu: CHADEMA kuna tabia za ovyo zimeanza kujengeka kwa baadhi ya watu; ukikosolewa unasema umetukanwa unatuma chawa kushambulia. Kwanini?

    Baada ya kuibuka Mnyukano ndani ya Chama na sintofahamu mbalimbali baina ya Viongozi wa chama na Baadhi ya Wanachama. Jambo hilo limemuibua Makamu Mwenyekiti Bara akielezea sintofahamu hizo. Hali hii imetokana na wiki kuibuka mnyukano kati ya Mariastella na martin na Ntobi kurushina maneno...
  7. Mapensho star

    Kwanini Tundu Lissu huondoka nchini bila kuaga?

    Tangu Tundu Lissu tangu arudi nchini hii nadhani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kusema sababu yoyote hali hii sidhani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya urais. Maoni yangu ni vyema awe...
  8. D

    Tundu Lissu, acha kumshambulia Hayati Magufuli

    Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli. Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi. Hata hivyo, kuendelea...
  9. S

    Ombi la wazi kwa Mheshimiwa Tundu Lisu

    Ni mfuatiliaji na mshabiki halisi wa Mheshimiwa Tundu Lisu, na namuhesabu kati ya wasomi waliosheheni elimu ya sheria. Ninachohitajia kwake ni kutumia hekima na busara amuombe radhi na msamaha Raisi Samia. Photos speaks thousands word.
  10. Nsanzagee

    Watanzania, ni muda umefika wa kumpa nchi Tundu lisu, hatuhitaji kupoteza muda tena, Tutajikuta mateka!

    Ukweli usiopingika, watanzania wanyonge wananyongwa haswaa ili tu kufanikisha misheni za wana ccm wachache, bora hata kipindi cha mwendazake wanyonge walithaminiwa, Nachukulia mfano mdogo tu wa juzi juzi ndio uone kabisa, ccm inawatafuna watanzania, Hivi majuzi, tarifa kupitia ITV...
  11. Dr Akili

    Taaluma isiyo na maadili sio taaluma. Hongera AG kwa kulisimamia hili lakini kwanini usimfutilie mbali Uwakili wa Tundu Lissu badala ya Mwabukusi?

    Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma. Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa...
  12. R

    Tundu Lissu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui

    Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine. Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
  13. R

    Twende tukampokee Tundu Lissu leo saa sita JKNIA

    Mwamba anarudi leo kutoka ugaibuni. Tumpokee tumsindikize kwa Kingai.
  14. Asante CCM

    Kumchokoza Tundu Lissu ni sawa na kuwasha moto nyikani

    Kama lipo jambo la hatari ambalo wenye Mamlaka wanataka kulifanya, basi ni kuanza kumfuatilia Tundu, huku wakimwandikia barua za miito ya mashtaka. Jamani, Lissu hana cha kupoteza hapa Duniani. Tundu, ni mfanya siasa aliyepitia kiwango cha juu na cha mwisho kwa mwana siasa wa upinzani kuteswa...
  15. GRAMAA

    TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  16. MWANDAMBO

    Undumilakuwili wa Zitto Kabwe

    Wakati Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar kikijipambanua kupitia sakata la Bandari kumtetea Rais Samia kwa misingi ya Uzanzibari, Kiongozi wa chama hicho Ndugu Zitto ametumia mwanya huo wa kimsimamo kutetea Mradi wa DP World wa Bandari za Tanganyika chini ya kivuli cha Faida za bandari na mtazamo...
  17. Mnada wa Mhunze

    Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  18. R

    Swali la kizushi: Kwanini Tundu Lisu na Mbowe hawako active humu JF?

    Nikisema hawako humu namaanisha by their true identity. Wanaweza kuwepo kwa fake IDs, but to me , it is most unlikely kuwa wapo kwa fake IDs.
  19. M

    Tundu Lissu agombee tu Ubunge, hiyo ndiyo saizi yake ili akachangamshe Bunge. Urais maji marefu kwake!

    Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
  20. T

    Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

    Inasikitisha na kutia aibu sana! Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho. Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku...
Back
Top Bottom