njaa

Nee Ko Njaa Cha (acronym of Ninnem Kollum Njaanum Chavum) (English:Kill you, then Kill Myself) is a 2013 Indian Malayalam comedy thriller film written and directed by Gireesh. The story, set in Kochi and Goa, follows the lives of three friends played by Sunny Wayne, Sanju and Praveen Anidil. Poojitha Menon, Sija Rose, Rohini Mariam Idicula and Parvathy Nair form the female leads. Shooting was carried out in Goa and some shots in Kochi.

View More On Wikipedia.org
  1. dr namugari

    Kumbe ukinywa energy drinks huwezi sikia njaa

    Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku Leo Sina pesa kabisa ya kula. Asanteni
  2. Miss Zomboko

    Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na njaa kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula

    Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na kitisho cha njaa katika kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula. Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula duniani WFP, Shirika la kuhudumia watoto UNICEF na lile la Chakula na Kilimo, imesema kuwa...
  3. Rio Shabazz

    Rwanda kuna njaa kali sana? Wameficha wee Jumuiya ya mataifa imejua

    Hii kashfa ilikuepo siku nyingi sana sema ndo nchi haina vyombo vya habari hamna wa kureport. --- New fears have arisen about the suitability of Rwanda as a destination to send UK asylum seekers after a damning government assessment about the prevalence of poverty and malnutrition in the...
  4. 0

    Unamletea kisirani anayekula, kwani wewe nani alikulazimisha ushinde na njaa tena ikiwa umekula usiku kucha?

    Hii comment murua kabisa kutoka kwa bwana denoo JG kukemea kinachoendea huko Zanzibar. Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika Ameanza na ushauri Tatizo upeo tu, wale watu wanatakiwa kuwa wanapewa safari za boti bure kuja huku bara kujifunza watu wanavyoishi...
  5. Webabu

    Hivi ndivyo watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa wakati chakula kimezuiliwa kuwafikia

    Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza https://www.aljazeera.com/program/newsfeed/2024/3/27/videos-of-malnourished-children-show-gazas-forced-starvation-crisis
  6. U

    Nisipost chakula na nisile mbele yako kisa jirani umefunga? Ni wazi unajilazimisha kushinda njaa wala hujafunga kwa imani

    Hizi tabia za kulazimisha jambo la watu fulani liwe la wote nazichukia sana, Sio wote ila ni wale wanaofunga kwa kushinda njaa, wale wanaofunga kwa imani wala sina shida nao. Nashangaa nikiweka status za vyakula kuna baadhi ya njemba zinakuja inbox eti huu mwezi mtukufu sio vizuri kupost...
  7. Webabu

    Jaribio la Israel kuitawala Gaza limeshindwa na vita vinaendelea eneo lote katikati ya njaa kali

    Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze. Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo...
  8. GENTAMYCINE

    Yaani Balile wa TEF ni wa kumnanga hivi Hayati Magufuli aliyekusaidia mengi kwa kuendekeza njaa zako?

    "Kwa miaka hii Mitatu Rais Samia ameweza Kukusanya Shilingi Trilioni Mbili tena bila ya Kuzikwapua kwa Watu katika Akaunti zao na kutumia Udikteta kuzipata," amesema Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri (TEF) Deodatus Balile alipozungumza na Amka na BBC leo Asubuhi. Balile wewe leo ni wa Kumfumbia...
  9. M

    Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

    Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu. Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi...
  10. Webabu

    Waziri mkuu Palestina awasilisha Barua ya kujiuzulu. Ataja sababu ni vifo ukanda wa Gaza na vita visivyoisha

    Upepo kuhusiana na Palestina unazidi kushika kasi dunia nzima. Leo Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtieh amewasilisha barua kwa Rais Mahmoud Abbas akiomba kujiuzulu. Sababu alizozitaja kuhusu uamuzi wake huo ni yale anayoyashuhudia kwenye ukanda wa Gaza na maeneo yote ya ukingo wa...
  11. Kamanda Asiyechoka

    Kesho najiondoa rasmi CHADEMA. Nimechoshwa na siasa njaa na kuendekeza matumbo

    Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri. Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi. Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
  12. Sol de Mayo

    Sio njaa wala ukame vitakavyo tumaliza Waafrika bali ni ujinga

    Sio njaa wala ukame vitakavyo tumaliza waafrika bali ni ujinga👆 Maghayo Demi Nelson Jacob Kagame
  13. GoldDhahabu

    Nani alitarajia kina Halima Mdee wangesaliti vyama vyao?

    Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa. Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu kwenye medani za siasa za Tanzania? Alikuwa ni mmoja wa wanachama ambao CHADEMA ilikuwa ikimjivunia kuwa...
  14. The Sheriff

    Uganda: Waziri wa Mambo ya Nje asema Waganda wanaokufa njaa ni wajinga

    Waziri wa masuala ya kigeni nchini Henry Oryem Okello amesema kwamba waganda wanaokufa njaa ni wajinga miezi kadhaa baada ya baadhi ya maeneo kukumbwa na njaa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, umasikini na ukosefu wa usalama miongoni mwa sababu nyengine. Akizungumza na runinga ya NTV...
  15. A

    Kwani kuotea ndevu nyumbani ndio kigezo cha kufukuzwa? Naambiwa nikajitegemee wanataka (wazazi) nife kwa njaa!

    Kiukweli ukishangaa ya Firauni utayaona ya wazazi wa Ki-Tanzania. Mimi bado kijana (kwa ninavyojiona), japo udevu ushaniota ni mtu fulani hivi ambaye kiukweli maisha ya kuzungusha bahasha naona ni uduwanzi na nimeamua kukaa nyumbani mpaka muda huu. Nina miaka 27 na mara chache chache navusha...
  16. mkarimani feki

    Kama hauna njaa acha kazi msinisumbue!

    Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi. Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Wengine wanaingia usiku. Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa...
  17. Expensive life

    Mama tuonee huruma wanao tunakufa njaa huku.

    Mama yetu mpendwa, najua upo humu jamvini kama ulivyosema hapo awali. Mama, hali ya maisha huku mtaani ni mbaya sana. Bidhaaa zote zimepanda mara dufu, sukari kilo moja kutoka 2600 hadi 4000 hivi sasa, mchele ule choka mbaya unaupata 2500 kwa kilo. Maharage choka mbaya unayapata kwa 3600 kwa...
  18. Objective football

    Njaa ilinidhalilisha sana kwenye harakati zangu za kutafuta ajira

    ndugu zangu ukiona giza nene jua kumekaribia kucha. katika safari yangu ya utafutaji wa kazi na ajira nipate ridhiki yangu aiseeeh siwezi sahau. njaa kali,kufubaa, kudharaulika na kukosaa nauli za daladala na basi wakati nasambaza bahasha na usahili ilikua jambo lakawaida. uso wangu ulipoteza...
  19. MK254

    HAMAS waiba chakula cha misaada, njaa mbaya jamaa wanateseka kwenye mahandaki

    Dunia inapiga makelele kwamba watoto wanakuafa kwa njaa, ila kidogo kinachoachiwa kipite yaani HAMAS wanakivizia na kupeleka kwenye mahandaki..... https://www.timesofisrael.com/liveblog-december-17-2023/
  20. JanguKamaJangu

    Ethiopia: Watu 176 wafa kwa njaa kali

    Watu 176 wamekufa katika Jimbo la Tigray kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame, kati yao Wanaume ni 101 na Wanawake 75. Takriban watu 45,000 katika Wilaya ya Emba Sieneti wanakabiliwa na njaa kali, iliyozidishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka miwili. Aidha, kuna...
Back
Top Bottom