Sina hakika kama RC Chalamila anaweza kuligusa kundi hili katika Maandamano ya CHADEMA

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,860
12,293
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Albert Chalamila, jana alitangaza kuwa mkoa wa Dar es salaam utakuwa katika operation ya kufanya usafi siku ya tar 24/01/2024, siku ambayo pia ilipangwa kufanyika maandamano ya chama cha upinzani nchini Chadema.

Watu wengi wamekuwa wakihisi kuwa huenda ratiba hiyo ya kufanya usafi imepangwa ili kuzima maandamano hayo ya Chadema yaliotangazwa kufanyika tarehe hiyo hiyo ya 24, mwezi wa kwanza na mwenyekiti wao taifa mh Freeman Mbowe. Kwa kawaida kwa vile vyombo vyote vya ulinzi na usalama vitashiriki katika operation hiyo ya usafi basi itakuwa ngumu chama hicho kuingia barabarani kuandamana, na ikitokea watu wakaingia kuandamana basi kila mtu anajua nini kitachotokea.

Sasa kutokana na swala hilo la maandamano kuingiliana na ratiba za dola, inasemekana viongozi wa Chadema ambao ndio walioandaa maandamano hayo wameamua kuja na plan B ili kumtoa mh Chalamila mtegoni.

Taarifa nilizopata kupitia kwa mtu wa ndani, na wa karibu wa chama hicho ambae hakutaka kutaja jina lake, ni kwamba mwenyekiti wa chama hicho taifa amepanga kuwaita watoto wake wote waliopo Marekani warudi mara moja nchini kuja kuungana na wazazi wao, pamoja na ndugu zao (wadogo zao na kaka zao) katika maandamano hayo, halikadhalika M/mwenyekiti mh Lisu nae amepanga kufanya hivyo kama Mbowe. Na yeye amepanga kuwaambia watoto wake warudi mara moja kidharura ili kuungana nao katika maandamano hayo kwa lengo la kuonesha mshikamano wao na wazazi wao.

Ikumbukwe kuwa watoto hao baadhi ni raia wa Marekani, lkn pia ikumbukwe kuwa maandamano hayo yamepangwa kuwa ni ya amani, hivyo kushiriki kwao hakutakuwa na athari yoyote kwa uraia wao.

Hii ni baada ya kuona watu wengi kuhofia kushiriki katika maandamano hayo ambayo wanasema yatakumbana na balaa lisilotabirika. Hivyo wao kama viongozi walioandaa maandamano, wameamua kuwa mbele ya maandamano hayo na familia zao hata kama raia wa kawaida hawatojitokeza.

Swali je hivi RC Chalamila akitaka kutumia nguvu siku hiyo, ataweza kuwagusa vigogo hao na familia zao, special wale ambao tayari ni raia wa Marekani?

Mwenye jibu aje ajibu.

Karibuni.
 
Rubbish,
Wanaoumia na udhalimu wa ccm ni watoto wao au watoto wetu waliopo Tanzania?

Stupid (in Samia voice)
 
Maandamano yaanze tarehe 23 ili hao wa 24 wakute tayari watu wanawasaidia kusafisha siasa za nchi.
 
Umekoroga sana, kwamba Chalamila amesema patakuwepo na shughuli za usafi zitakazofanywa na vyombo vya ulinzi, then kwa maoni yako kukabiliana na hali hiyo, unadai Mbowe na Lissu watawaita watoto wao toka nje waje kuungana na wengine kwenye maandamano...

Kwamba kwa akili yako, hao watoto wa Mbowe na Lissu ndio watakaowezesha hayo maandamano kufanyika?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa Chalamira na wenzie wanasoma Academy kwa maana ya english medium schools, huku mamilioni ya watoto wa watanzania wanasoma kajamba nani primary school huku wakiambiwa kiswahili ni lugha ya Taifa na kiingereza hakina maana kwao.
 
Taahira huyo.
 
Denoo
Hujambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish,
Wanaoumia na udhalimu wa ccm ni watoto wao au watoto wetu waliopo Tanzania?

Stupid (in Samia voice)
Kumbe kupinga mapendekezo yanayotaka kila jimbo moja liwe na wabunge wawili ni udhalimu 😂😂 ,
ama kweli kurogwa sio lazima mtu kutupiwa uchawi au tunguli, hata kushikiwa akili na wanaokuzidi akili pia ni kurogwa vile vile.
 
Rubbish.
 
Sina uzoefu sana na siasa ila nachojua wao huwa hawaumii, mtaumia nyie akina sie na hutoona kitu zaid ya pole. Bora nipambanie ugali wangu na watoto mambo ya madaraka waingie weneyewe na watoto wao front. Kumbe familia zipo Marekani.
Ni kwamba wataamua kuwa frontline na watoto wao baada ya kugundua kuwa watanzania wa kawaida hawatoshiriki maandamano hayo.

Ila sina uhakika wa mia kwa mia kama Mbowe, Lisu na familia zao watahusika na maandamano hayo mpaka pale tutapowaona na macho yetu wakiwa mbele ya camera.
 
Maandamano yaanze tarehe 23 ili hao wa 24 wakute tayari watu wanawasaidia kusafisha siasa za nchi.
Tarehe 23 itakuwa siku ya ukaguzi wa magari barabarani. Hivyo haitahitajika maandamano yoyote ambayo mwisho wa siku yatasababisha askari washindwe kufanya kazi yao kwa ufasaha.
 
Sina uzoefu sana na siasa ila nachojua wao huwa hawaumii, mtaumia nyie akina sie na hutoona kitu zaid ya pole. Bora nipambanie ugali wangu na watoto mambo ya madaraka waingie weneyewe na watoto wao front. Kumbe familia zipo Marekani.
Umeingia mkenge
 
Umekoroga sana, kwamba Chalamila amesema patakuwepo na shughuli za usafi zitakazofanywa na vyombo vya ulinzi, then kwa maoni yako kukabiliana na hali hiyo, unadai Mbowe na Lissu watawaita watoto wao toka nje waje kuungana na wengine kwenye maandamano...

Kwamba kwa akili yako, hao watoto wa Mbowe na Lissu ndio watakaowezesha hayo maandamano kufanyika?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwa vile wananchi wameonekana kuogopa kuingia barabarani kuandamana, na kwa vile viongozi wa Chadema hawataki kuona siku hiyo inapita bila maandamano. Ndo wameamua kuja na mpango huo ambao utaonesha kuwa kweli watu wameandamana japo kwa uchache wao.
 
Watoto wa Chalamira na wenzie wanasoma Academy kwa maana ya english medium schools, huku mamilioni ya watoto wa watanzania wanasoma kajamba nani primary school huku wakiambiwa kiswahili ni lugha ya Taifa na kiingereza hakina maana kwao.
Kwahiyo kwa vile Chalamila anasomesha watoto wake english medium ndo na kina Mbowe na Lisu waamue kuwapeleka watoto wao Marekani kabisa wakawe raia wa huko?

Hivyo unakubali kuwa Chalamila na hao kina Mbowe wote lao ni moja, kila mtu anapigania future ya watoto wake, huku wakiwataka nyie watoto wa kina kajamba nani muingie barabarani mkaiombe serikali iruhusu jimbo moja kuwa na wabunge wawili ili kesho kila kiongozi wa upinzani mwenye ushawishi chamani achaguliwe yeye na mkewe kuwa wabunge, na kama hiyo haitoshi kwenye viti maalum pia waweke mahawara zao!!

Ebu tumia hata akili ya kawaida kufikiri kile unachoandika, sio kukurupuka tu.
 
Kumbe safari hii na watoto wao wanaingia barabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawalazimu kuwaingiza na wao barabarani maana hayo mapendekezo ya kutaka kila jimbo liwe na wabunge wawili yanalengo kuwaingiza bungeni baba zao na mama zao.

Watanzania wa kawaida wamegoma kuingizwa barabarani kwa faida ya wajanja wachache ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom