Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni .sehemu nyeti kama hizo huwezi kusikia rocket au bomu limepita.
Iran katuacha vinywa wazi jumamosi...
Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana..
Walau hata kwa 40%
Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50% au hata zaidi ya hapa katika uchambuzi wangu binafsi..
Nimegundua Tatzo ni Sera,Ilani na Hata katiba...
Wanakumbi.
Naona hali tete huko Marekani Israel kaishiwa pesa kaomba msaada dharura wa pesa, Netanyahu kamuomba Biden pesa Biden kapeleka mswada bungeni Wamarekani wamekataa kutoa pesa ni muda sasa Waisrael weuisi ya Majji matitu, Ngudu, Kimara kupelekq pesa Israel...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Dodoma
==
Ameandika Mnyika katika ukurasa wake wa X, "Maoni yetu na ya wadau yamepuuzwa. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa kwenye tovuti ya Bunge, miswada mibovu ya uchaguzi na vyama itajadiliwa kuanzia leo mpaka tarehe 2 Februari 2024. Tafsiri rahisi ni kuwa...
Wanakumbi.
Hii mpya. Israel sasa wanatumia bendera ya Tanzania ili kupitisha bidhaa na silaha toka UAE kuelekea Israel kupita red sea. Iran imeilazimisha hiyo meli kusarenda kwao huko Gulf area.
Mambo magumu kwa Israel pamoja na Marekani kusema analinda red sea wanawaogopa Houthis. Tanzania...
Kumekuwa na matangazo mbalimbali yanayohusiana na mikopo kwa wafanyakazi nadhani ni Tanzania Nzima.
Mfano kwa wilaya ya Uyui kuna 400, Tabora manispaaa kuna bilion 3, kwanza tunashikuru viongozi wa wilaya na mkoa kwa kutangaza mikopo hiyo kwani kuna wilaya ya nyingine na mikoa hakuna kabisa...
Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka.
Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
Inasemekana huko mitandaoni kuwa Serikali ya China imepitisha Sheria ya kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja(ushoga), na Adhabu kali kwa yeyote atakaye jihusisha na na Mapenzi ya Jinsia Moja ndani ya nchi hiyo.
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa
Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
Salamu Wakuu,
Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!
Hii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV.
This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa...
Hello wana jf.
Kama kichwa cha uzi kisemacho kuwa kuna tetesi kuwa bunge halitakuwa mubashara na waandishi wa habari watazuiliwa au kudhibitiwa ili wananchi wasijue linaloendelea bungeni.
Soma hapo chini
Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa.
Wabunge hao inasemekana...
Swali la msingi ni kwenye kuridhia mikataba ya kimataifa, Bunge linauwezo wa kuukataa mkataba ambao umekwisha sainiwa na serikali? Na Je, Bunge likiukataa huo mkataba Nini kitatokea?
Naomba mtaalamu wa sheria za Kimataifa kwenye ratifications of treaties atusaidie.
Habari JF.
Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote.
Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.
Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
Kwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa.
Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.