Israel sasa wanatumia bendera ya Tanzania ili kupitisha bidhaa na silaha toka UAE kuelekea Israel

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
47,014
32,462
Wanakumbi.

Hii mpya. Israel sasa wanatumia bendera ya Tanzania ili kupitisha bidhaa na silaha toka UAE kuelekea Israel kupita red sea. Iran imeilazimisha hiyo meli kusarenda kwao huko Gulf area.

Mambo magumu kwa Israel pamoja na Marekani kusema analinda red sea wanawaogopa Houthis. Tanzania wanatumika wanatafuta matatizo na Houthis hii bandari yetu itakosa meli hata moja.
 
Tangu Maguguli atangulie mbele ya haki ndiyo kwanza nakuona umetoka exile
 
Wanakumbi.

Hii mpya. Israel sasa wanatumia bendera ya Tanzania ili kupitisha bidhaa na silaha toka UAE kuelekea Israel kupita red sea. Iran imeilazimisha hiyo meli kusarenda kwao huko Gulf area.

Mambo magumu kwa Israel pamoja na Marekani kusema analinda red sea wanawaogopa Houthis. Tanzania wanatumika wanatafuta matatizo na Houthis hii bandari yetu itakosa meli hata moja.
Yaani UAE wanapeleka siraha Israel ili zikawaue Wapalestina! Waarabu ni wapuuzi sana sijapata kuona
 
Wanatumia bendera yetu kimakosa fault, tukemee, Nchi yetu ni tulivu sana, na haina rabsha popote pale ulimwenguni, tukemee na tuwasamehe bure, imeisha!
 
Kumbe serikali yetu inashirikiana na Israel kuumiza wapalestina, ndiyo maana HAMAS walimuua mtu wetu ambaye it seems alikuwa mamluki.
 
Wanakumbi.

Hii mpya. Israel sasa wanatumia bendera ya Tanzania ili kupitisha bidhaa na silaha toka UAE kuelekea Israel kupita red sea. Iran imeilazimisha hiyo meli kusarenda kwao huko Gulf area.

Mambo magumu kwa Israel pamoja na Marekani kusema analinda red sea wanawaogopa Houthis. Tanzania wanatumika wanatafuta matatizo na Houthis hii bandari yetu itakosa meli hata moja.
View attachment 2870919
Sidhani kama inaongelewa Red Sea hapo.

Nilivyoelewa mimi ni kuwa hiyo meli ya mizigo imeingia Iraq kutokea moja katika bandari za Emirates (UAE) na kutokea Iraq ikawa na bendera ya Tanzania ikaingia Iran ikashushwa bendera ya Tanzania na kupandishwa ya Iran.

Serikali ya Iraq inasubiriwa itowe ufafanuzi.

Haikuongelewa shehena ipi iliyobeba wala sijasikia kuhusu silaha.

Pia Iraq, Iran na UAE hazipo Red Sea zipo Persian Gulf au wengine huiita Arabian Gulf.

Ni mbali mbali kabisa na Red Sea.
 
Wako wapi wayahudi wa Mkuranga waje kutusaidia hapa.
Iweje watumie bendera yetu kuongopa waarabu wa Yemen? Wayahudi si wana silaha za kiparoko zinazoruka kwa nguvu ya paroko. Vipi wajifiche nyuma ya watanzania?
Na kwanini itokee Iraq na bendera ya Tanzania?

Kizungumkuti.
 
Wanakumbi.

Hii mpya. Israel sasa wanatumia bendera ya Tanzania ili kupitisha bidhaa na silaha toka UAE kuelekea Israel kupita red sea. Iran imeilazimisha hiyo meli kusarenda kwao huko Gulf area.

Mambo magumu kwa Israel pamoja na Marekani kusema analinda red sea wanawaogopa Houthis. Tanzania wanatumika wanatafuta matatizo na Houthis hii bandari yetu itakosa meli hata moja.
View attachment 2870919

Kwa hiyo bendera ya Tanzania inatumika na kila nchi? Maana wakati wa utawala wa Kikwete, meli za Iran zilikuwa zinatumia bendera ya Tanzania, hata tukaishia kupewa onyo.

Nchi yenyewe haina hata meli!! Naona ni aheri tuwe tunakodisha bendera yetu.
 
Tuna meli za ubia na China tangu enzi za Mwalimu Nyerere. Ubia huo unaitwa SINOTASHIP kwa wale wanaokumbuka.
 
Wanakumbi.

Hii mpya. Israel sasa wanatumia bendera ya Tanzania ili kupitisha bidhaa na silaha toka UAE kuelekea Israel kupita red sea. Iran imeilazimisha hiyo meli kusarenda kwao huko Gulf area.

Mambo magumu kwa Israel pamoja na Marekani kusema analinda red sea wanawaogopa Houthis. Tanzania wanatumika wanatafuta matatizo na Houthis hii bandari yetu itakosa meli hata moja.
View attachment 2870919
Ushauri wa gwajiboy huo
 
Wanatumia bendera yetu kimakosa fault, tukemee, Nchi yetu ni tulivu sana, na haina rabsha popote pale ulimwenguni, tukemee na tuwasamehe bure, imeisha!
Unafikiri kama ni kweli wanaitumia ni kwa bahati mbaya!!?

Maana take wao ndio wabia halali wamiliki halali was nchi hii Kwa mgongo was america na England hii ardhi ya tz ni ya malkia was uingereza Kwa mgongo was makampuni ya madini na mikataba ya siri ya nchi hii!!
 
Back
Top Bottom