Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa

Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale Bungeni kuna wabunge wa CCM wako vizuri kichwani, mimi mwenyewe nimemaliza chuo Mzumbe wakaning'ang'ania nibaki kufundisha pale kwa sababu nina akili nyingi, nilipata GPA ya juu sana, kwa hiyo hatukupitisha mkataba bila kuusoma, na tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu.

Pia soma - Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

kingu samia.jpg
 
Kwa hiyo ni MKATABA, sio Makubaliano?.....mbona wanatuchanganya sasa...
 
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa

Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale Bungeni kuna wabunge wa CCM wako vizuri kichwani, mimi mwenyewe nimemaliza chuo Mzumbe wakaning'ang'ania nibaki kufundisha pale kwa sababu nina akili nyingi, nilipata GPA ya juu sana, kwa hiyo hatukupitisha mkataba bila kuusoma, na tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu.

Pia soma - Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Wewe kingu ni jambazi tu, hebu kula kwa kutulia ACHA kihere here
 
Mna akili sana gani nyie wakati maprofesa wa vyuo vikuu wabobezi na wanasheria wote wanashangaa kwamba mkataba huo ulipenya vipi ofisi za serikali ya tanzania. Aseme tu wametanguliza tumbo. Wao ni tumbombele.😂😂
 
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa

"kwa hiyo hatukupitisha mkataba bila kuusoma, na tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu".
Mbona awali walitumia nguvu nyingi sana kujitetea ule waliopitisha haukuwa mkataba bali aridhio tu la makubaliano?
Wow!.jpg
Baadhi ya wapiga debe....jpeg
Kumbe ni kweli walichopitisha ni mkataba!
 
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa

Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale Bungeni kuna wabunge wa CCM wako vizuri kichwani, mimi mwenyewe nimemaliza chuo Mzumbe wakaning'ang'ania nibaki kufundisha pale kwa sababu nina akili nyingi, nilipata GPA ya juu sana, kwa hiyo hatukupitisha mkataba bila kuusoma, na tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu.

Pia soma - Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Shida si elimu, si akili wala GPA, Shida ni roho ya uzalendo. Je uzalendo wa dhati wanao? Iki kitu kikikosekana bado hizo akili nyingi elimu kubwa na GPA nene vinaweza tumika kuliangamiza taifa kwa Maslahi binafsi.
 
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa

Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale Bungeni kuna wabunge wa CCM wako vizuri kichwani, mimi mwenyewe nimemaliza chuo Mzumbe wakaning'ang'ania nibaki kufundisha pale kwa sababu nina akili nyingi, nilipata GPA ya juu sana, kwa hiyo hatukupitisha mkataba bila kuusoma, na tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu.

Pia soma - Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Wako vizur kichwa au mKalioni ,ndo maana tulia alichagua watu wa ku hanging akachagua wale vila akawaaacha wale wanaotumuia akili
 
Angekuwa mjinga, angetuuliza wananchi, tunawaonaje wawakilishi wetu wa mchongo upstairs!!!!

Lakini Kutoka na kutuaminisha kuwa Yuko vizuri kichwani,

Inabidi tumwache amalizie kuongea aondoke tu!!!
 
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa

Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale Bungeni kuna wabunge wa CCM wako vizuri kichwani, mimi mwenyewe nimemaliza chuo Mzumbe wakaning'ang'ania nibaki kufundisha pale kwa sababu nina akili nyingi, nilipata GPA ya juu sana, kwa hiyo hatukupitisha mkataba bila kuusoma, na tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu.

Pia soma - Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Mbona spika alisema pale bungeni walipitisha makubaliano na sio mkataba. Sasa mwenye akili timamu ni nani hapo? Huyo Kingu anayesema walipitisha mkataba au Spika aliyesema wamepitisha makubaliano na sio mkataba?
 
Back
Top Bottom