sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka.
Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214 wamekataa.
Mtoto wa Biden, Hunter Biden amekuwa akihusishwa mara kwa mara kwenye kupiga dili hizi kwa mgongo wa baba yake, Kwa sasa ana kesi za ukwepaji wa kodi na kufanya ulaghai kwa mamlaka za mapato na kodi, kabla ya hapo alikuwa na kesi za matumizi ya madawa ya kulevya aina ya crack cocaine baada ya picha zake kuvuja akiwa anavuta.
==
The House voted to formalize its impeachment inquiry into President Biden on Wednesday, taking a critical step that GOP leaders have argued is necessary to force the White House into complying with their investigation.
The measure passed 221 to 212, with every Republican voting in favor of it and all present Democrats voting against. Light cheering could be heard on the GOP side of the chamber after the measure passed, with pin drop silence on the Democratic side.
"We are now at a pivotal moment in our investigation. We will soon depose and interview several members of the Biden family and their associates about these influence-peddling schemes. But we are facing obstruction from the White House," Oversight Committee Chairman James Comer, R-Ky., said on the House floor ahead of the vote.
"The White House is seeking to block key testimony from current and former White House staff. It is also withholding thousands of records from Joe Biden’s time as Vice President. President Biden must be held accountable for his lies, corruption, and obstruction. We have a duty to provide the accountability and transparency that Americans demand and deserve."
Source >> House votes to authorize Biden impeachment inquiry